Machozi hayaniishii !!!!!!!!!!!!

Mh!Umetaja kazi tu hapo,inaonekana unamtazama mkeo kama mashine ya kukufanyia kazi na sio mke,ndo maana unamkumbuka kwaajili ya kazi na sio mapenzi na upendo.Hata kwenye kufunga umemkumb kwenye kukupikia futari. . . .

umemshtukia eh!! mama mwenyewe alishtukia kua anafanyishwa uhouse girl na kaondoka na watoto kamuachia
 
Asalam Alaykum Waungwana, Naombeni mnisaidie mawazo yenu ili niweze kumrudisha mke wangu aliyeondoka nyumbani yapata mwezi sasa. Tumejaliwa watoto wa wili na ndoa yetu ina miaka 6 sasa. Tulikorofishana nyumbani akaondoka. Mke alikuwa mama wa nyumbani hivo sina hata house girl. Kupika sijui so nawalisha hoteli na junk food wakati wote. Kuwatayarisha waende shule asubui naona kazi nadhani na leo hawatoenda shule. Nahangaika bila mama yao na nimeshajaribu kumfuata kuongea naye imeshindikana. Ramadhani ndo imeshafika hivyo sijui nitafturu wapi. Nimemkumbuka sanaaaaaaa Mke wangu.

Perhaps Mkuu, huu ndio muda muafaka wa kuwa insight ya mambo yanayoendelea nyumbani kwako...Kwa sababu umetaja shughuli mbili 2 na zimekushinda bado usafi wa nyumba na mazingira, bado kufua nguo zote na bado hawajaja wageni ukawahudumia. Try to do all those things ili uone ugumu wake na ujifunze kujitegemea na kuwalea wanao (They're your children so ni jukumu lako kabisa...tena just two kids?)...
Ukishafanya hayo yote next time unagombana na mkeo utakuwa na busara coz you know what is at stake. Pia utakuwa mume bora because if u walk in her shoes then u will be able to understand when she says the shoes are tight.
U will ask me: Na yeye asipokuwa na busara?
I will say: Ugomvi ukiwa na upande mmoja tu wenye busara basi hakuna tena ugomvi hapo...hebu ishini na wake zenu kwa akili..
 
Ndio maana mkeo anakataa kurudi inaonyesha huzungumzii kiini cha ugomvi wenu wala kuomba msamaha na kuahidi kujirekebisha. Badala yake unazungumzia tu tabu unazopata kwa kuhudumia watoto.
 
Mmh... Kama ni hizo tuu kazi za hapo home kwako, mie naweza kuwa housegirl ila majukumu ya mke siyawezi..!
 
Mh!Umetaja kazi tu hapo,inaonekana unamtazama mkeo kama mashine ya kukufanyia kazi na sio mke,ndo maana unamkumbuka kwaajili ya kazi na sio mapenzi na upendo.Hata kwenye kufunga umemkumb kwenye kukupikia futari. . . .

Nimechekaje? I have observed the same. Yaani to him, wife = chores. Ndo maana alikimbia. I guess u were treating her really bad. Ungekua na housegirl hata usingemkumbuka!
 
Asalam Alaykum Waungwana, Naombeni mnisaidie mawazo yenu ili niweze kumrudisha mke wangu aliyeondoka nyumbani yapata mwezi sasa. Tumejaliwa watoto wa wili na ndoa yetu ina miaka 6 sasa. Tulikorofishana nyumbani akaondoka. Mke alikuwa mama wa nyumbani hivo sina hata house girl. Kupika sijui so nawalisha hoteli na junk food wakati wote. Kuwatayarisha waende shule asubui naona kazi nadhani na leo hawatoenda shule. Nahangaika bila mama yao na nimeshajaribu kumfuata kuongea naye imeshindikana. Ramadhani ndo imeshafika hivyo sijui nitafturu wapi. Nimemkumbuka sanaaaaaaa Mke wangu.
Unashindwa na nauli tukuchangie au vipi?
 
ungefunguka kidogo ili tujue kwa nn aliondoka ili 2pate pa kuanzia
 
[h=3]Here are vitamins, nutrients and foods that are known to increase sexual drive...[/h]B-Complex Vitamins – vitamins B-1, B-2 and B-3 are necessary for healthy sex drive. You can find vitamin B-1 in grains and nuts.
Vitamin B-2 is found in bananas, broccoli and lean meats. Vitamin B-3 creates improved blood flow and is important for sex hormones and to increase sexual desire.
Vitamin E helps with sex hormone production and improves circulation - it is found in whole grains, fruits and vegetables.
Zinc is required for testosterone production and is found in oysters, pumpkin seeds, spinach and garlic. Oysters are loaded with zinc, so oysters may help you increase sexual desire.
Androsterone - the male hormone - is found in celery. When you eat celery, you can release the androsterone through your perspiration and women can be attracted to this. Pumpkin pie - the aroma of pumpkin pie can increase blood flow to the penis according to a study.
With all this focus on foods and nutrition that increase sexual desire, remember that the most important thing you can do is to pay attention to your partner.
 
Mh!Umetaja kazi tu hapo,inaonekana unamtazama mkeo kama mashine ya kukufanyia kazi na sio mke,ndo maana unamkumbuka kwaajili ya kazi na sio mapenzi na upendo.Hata kwenye kufunga umemkumb kwenye kukupikia futari. . . .
umesema sana mkuu, so anamtaka house girl wake arudi.
 
Ninyi wote Mliotoa mawazo yenu hapo chini mbona mnaniponda badala ya kunishauri? Embua angalieni tena mlichokiandika. Nimekuja hapa kufarijika kutokana na Majonzi nliyonayo nyie mnazidi kuniumiza.

Mh!Umetaja kazi tu hapo,inaonekana unamtazama mkeo kama mashine ya kukufanyia kazi na sio mke,ndo maana unamkumbuka kwaajili ya kazi na sio mapenzi na upendo.Hata kwenye kufunga umemkumb kwenye kukupikia futari. . . .

mh, mbona unaonekana ni mbinafsi sana wewe, kwa sababu unaweka interests zako mbele tu mbona huongelei kuhusu furaha ya mkeo utairudishaje?....umesema hata housegirl huna sasa ina maana angekuwepo basi usingekuwa na shida tena na mkeo, mara ramadhani inakuja utafuturu wapi, oh, watoto hawaendi shule, nk...kaka jiangalie muenendo wako na ujiulize kwa nini mkeo ameondoka isijekuwa ni wewe mwenyewe ndiye uliyesababisha akaondoka...huo ugomvi wenu sisi hatuujui wala hatuna haja ya kuujua, muhimu ni ukae chini jifikirie na ujiangalie umekosea wapi kisha fuata moyo wako....

nikweli kabisa jamaa ana ubinafsi sana..nakuunga mkono mkuu! ajiangalie na kuchunguza nafsi yake kwanza...

Hacha mfumo dume wewe, mkeo kakimbizwa na kazi pia, sitoshangaa wewe kuficha kwamba ulimpiga!

Umelelewa vibaya ata kupika ugali ujui!

mi ndio amenichosha hapo. kazi mwanzo mwisho. mke anakumbukwa kwenye shida tu.

Bora umemsome...nakupa like 101!!, yaani watu wengine unashindwa hata kuwashangaa!

umemshtukia eh!! mama mwenyewe alishtukia kua anafanyishwa uhouse girl na kaondoka na watoto kamuachia

mi ndo mana sitakagi waume wavivu hata kuchemsha chai huwez!:eek2:

Nimechekaje? I have observed the same. Yaani to him, wife = chores. Ndo maana alikimbia. I guess u were treating her really bad. Ungekua na housegirl hata usingemkumbuka!

umesema sana mkuu, so anamtaka house girl wake arudi.
 
Mh!Umetaja kazi tu hapo,inaonekana unamtazama mkeo kama mashine ya kukufanyia kazi na sio mke,ndo maana unamkumbuka kwaajili ya kazi na sio mapenzi na upendo.Hata kwenye kufunga umemkumb kwenye kukupikia futari. . . .

ma swt lito bro Eiyer, you said it well. nafarijika sana kwa sababu ya kuwa na mdogo kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Ni kawaida yake mkikosana kidogo tu kwao. Sasa wazazi wake watu wa dini hivo bila talaka wanamrudisha siku inayofuata. Na wazazi wangu hivyo hivyo. Sasa kampata mdada rafiki kamuhifadhi. Mimi kanitambulisha kuwa anaitwa Shosti huyo dada. Na jinsi alivyo dada mwenyewe huyo anatembea uchi bila maadili yoyote ya kiislam. Natakiwa nimuondoe mke wangu pale mapema iwezekanavyo.

ungefunguka kidogo ili tujue kwa nn aliondoka ili 2pate pa kuanzia
 
Tutakusaidiaje na wakati hujatuambia ugomvi wenu ulisababishwa na nini?? By the way alikua mkeo au housegirl??wanaume kama wewe ni mzigo for sure!
 
Hapa sitopata ushauri wa kuufanyia kazi. Nabeba watoto nampekea kule aliko sasa hivi. Ndo nlichowaza mimi. Naimani anaweza akaamua kurudi nkifanya hivyo. Ngoja nijiandae waungwana. Usiku mwema.

Tutakusaidiaje na wakati hujatuambia ugomvi wenu ulisababishwa na nini?? By the way alikua mkeo au housegirl??wanaume kama wewe ni mzigo for sure!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom