Machozi hayaniishii !!!!!!!!!!!!

mkeo akiumwa akalazwa hospitali utabeba watoto umpelekee hospitali, no wonder mkeo kala kona...
usikute hata mtoto akilia unamuita mama yake ambembeleze.........

Hapa sitopata ushauri wa kuufanyia kazi. Nabeba watoto nampekea kule aliko sasa hivi. Ndo nlichowaza mimi. Naimani anaweza akaamua kurudi nkifanya hivyo. Ngoja nijiandae waungwana. Usiku mwema.
 
Ninyi wote Mliotoa mawazo yenu hapo chini mbona mnaniponda badala ya kunishauri? Embua angalieni tena mlichokiandika. Nimekuja hapa kufarijika kutokana na Majonzi nliyonayo nyie mnazidi kuniumiza.

Mkuu ndiyo ukae chini na kufikiria ufanyavyo si vizuri. Hivi kwa jinsi ulivyoileta mada ulitegemea watu wakuambiaje?! Nampa pole sana mkeo maana unamfanyika kazi kweli kweli. Badilika!!
 
Asalam Alaykum Waungwana, Naombeni mnisaidie mawazo yenu ili niweze kumrudisha mke wangu aliyeondoka nyumbani yapata mwezi sasa. Tumejaliwa watoto wa wili na ndoa yetu ina miaka 6 sasa. Tulikorofishana nyumbani akaondoka. Mke alikuwa mama wa nyumbani hivo sina hata house girl. Kupika sijui so nawalisha hoteli na junk food wakati wote. Kuwatayarisha waende shule asubui naona kazi nadhani na leo hawatoenda shule. Nahangaika bila mama yao na nimeshajaribu kumfuata kuongea naye imeshindikana. Ramadhani ndo imeshafika hivyo sijui nitafturu wapi. Nimemkumbuka sanaaaaaaa Mke wangu.

....lakini hukufunguka kuhusu chanzo cha ugomvi wenu, labda una sababu zako za kufanya hivyo. Usikate tamaa haraka kiasi hicho. Mfuate tena mkaongee ili msameheane na kuweza kuendelea na ndoa yenu jaribu pia kushirikisha wazazi wa pande zote mbili kama bado wapo hai au ndugu na jamaa wa karibu wawasaidie kumaliza kasoro zenu ndani ya ndoa. Kila la heri.
 
yes jamaa amechemsha halafu anataka tumsapoti katika zengwe lake...kaka kubali makosa yako kiri kwa mkeo na ufukirie zaidi furaha yake na sio ubishoo wako wa kutojua kupiga, sijui kuandaa watoto shule, oooh nitafuturu wapi, nk...kaa chini jifikirie wewe umekosea na kuchemka sana...ukiambiwa ukweli unawaka! akusapoti nani hapo???????
Mkuu ndiyo ukae chini na kufikiria ufanyavyo si vizuri. Hivi kwa jinsi ulivyoileta mada ulitegemea watu wakuambiaje?! Nampa pole sana mkeo maana unamfanyika kazi kweli kweli. Badilika!!
 
Una kila sababu za kuachwa...Mods wawe wanatoa ruhusa ya watu kama hawa watolewe uvivu....
 
My wife is back home now. Nimeongea naye kuhusu kazi za nyumbani nimtafutie housegirl wa kazi kasema nyumba yetu haina kazi nyingi za kufanya hivo hana matatizo. Nikarudia kumuuliza kakataa. Sasa mi nimfanyaje? Lakini yeye ni mama wa nyumbani akishinda nyumbani mlitaka awe anafanya nini? Pia mimi sijamkataza kufanya kazi au kujishughulisha haya maisha ya kushinda nyumbani kayachagua mwenyewe. Karudi tufunge wote ramadhani.
 
u sounds so pathetic jamani! Me ningekuwa na mwanaume ako na thnking capacity km yako...angeshakuwa chakula cha mbwa zamani! Huyo mkeo seems unamtreat km karobot flani hv, afu pia inaonesha umetoka ktk jamii ambayo wanaume kujifunza japo kukoroga uji ni mwiko! Cpati picha atesekavyo mkeo! Kha!
 
Hapa sitopata ushauri wa kuufanyia kazi. Nabeba watoto nampekea kule aliko sasa hivi. Ndo nlichowaza mimi. Naimani anaweza akaamua kurudi nkifanya hivyo. Ngoja nijiandae waungwana. Usiku mwema.

Umpelekee watoto kwani yeye alikuja hapo na watoto? watoto si wako wewe?
 
Kwanza kabisha badili tabia, mpende mkeo na kumjali na hata kama hatarudi utakaeoa umpende na naamin utakuwa umejifunza.
 
Hongera ila maelezo yako ya mwanzo ndiyo yaliyoyakwaza watu humu............Ingawa mpaka sas hujasema tatizo la msingi
 
Hujanieleza ukwl kilichokufanya mpaka akaondoka tunashindwa kukusaidia kwa sababu cjui ulimkosea nn na kumbuka huyu mwanamke mmedumu kwenye ndoa muda mrefu kama makosa ya kawaida jaribu kuwakutanisha wazazi pande zote mbili uwaeleze ukwl huenda wakakusaidia ndugu yangu kwa mtazamo wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom