mnazi 1 ipo karibu sana na ikulu?Awali walikuwa wamezuia lakini baada ya 'Vuta nikuvute' wamekubaliana kwa sharti la kubadilisha location na sasa watakutana Jangwani (Taharir Square).
yanaanza saa ngapi ili tuwe stand by kuwaunga mkono.
Inaitwa Chadema Square
Kila mtu ana uhuru wa kwenda kwenye mkutano wa chama chchote kile kwa uhuru na amani. Hoja yangu ipo kwenye MAANDAMANO. Hivi kweli nchi inaweza kuendeshwa kwa MAANDAMANO!?
Kila mtu ana uhuru wa kwenda kwenye mkutano wa chama chchote kile kwa uhuru na amani. Hoja yangu ipo kwenye MAANDAMANO. Hivi kweli nchi inaweza kuendeshwa kwa MAANDAMANO!?
Tumesikia Waandishi wana nia ya kuandamana leo!
Waandishi wanasema wanaandamana leo kudai protection wakati wa kutimiza wajibu wao, do they really know kuwa wajibu wa kwanza katika ulinzi ni wa waandishi wenyewe, halafu mwajiri halafu the rest which includes protective gear, knowledge on how to protect yourself kwenye kazi kama maandamano, vita, mafuriko na moto?
Je waajiri wao washawahi kuwapa mafunzo haya au wanatafuta tu pa kuongelea lakini hawajui wajibu wao?
Je waandishi wakiingia kwenye maandamano wanavaa nguo za kutofautisha na waandamanaji wengine au wanavaa kama waandamanaji na utawatofautisha vipi?
Tabia ikizoeleka sana huwa kama sheria
Tupe jipya wewe
acha majibu mepesi kwenye
hoja nzito.......
Duh! Kama ni kweli basi hii ni habari kubwa. Kibonde naye alikuwa aandamane? Manaki kila siku anajitapa kujiita "sisi waandishi" Sijui alisomea wapi huo uandishi wa habari.Clouds na Channel 10 wametangaza mfanyakazi wao yeyote atakayeshiriki kwenye maandamano ya leo atakuwa amejifukuzisha kazi. Kwa kweli mimi nakiona kitendo hicho kama ni ukiukwaji wa haki za wafanyakazi na ni kinyume cha haki za binadamu.