Maandamano ya Wanahabari kesho Ruksa!

Status
Not open for further replies.
Polisi wangekuwa waungwana kama hivi wasingechukiwa na mtu, lakini hakika wameruhusu maandamano kuepusha shari. Maandamano ya Iringa barua imepelekwa jumatatu na maandamano jumanne, wao wanaogopa kukataa kupunguza tension!.. Sheria inasema utoe taarifa masaa 48 kabla ya mkutano au maandamano. Wanajua wakibip, waandishi watapiga!...
 
nchii hii cjui ikoje..........walipouliwa wazanzibar maelfu kwa maelfu,chadema na wakristo wenzao wamekaa kimya na kuipongeza serikali na jeshi la polisi kwa kufanya kazi nzuri.leo ameuawa mkristo mmoja tu,mapadri,wachungaji,wakristo na chama chao chadema wanaandaa maandamano chini ya kivuli cha waandishi wa habari.
akiuawa muislam polisi wanapongezwa kwa kazi nzuri,but akiuawa mkristo chadema na kanisa katoliki wanaandamana.
 
Maandamano ya waandishi wa habari yasipotoa uelekeo wa mambo hakuna kesi yenye uzito. Utamchunguzaje Chagonja au RPC wakiwemo ofisini?!
 
Wanaandamana ili iweje? Na kwann waishie jangwani? Waandamane mpaka ikulu maana huko ndio kila kitu kinapoanzia...
 
Tumesikia Waandishi wana nia ya kuandamana leo!

Waandishi wanasema wanaandamana leo kudai protection wakati wa kutimiza wajibu wao, do they really know kuwa wajibu wa kwanza katika ulinzi ni wa waandishi wenyewe, halafu mwajiri halafu the rest which includes protective gear, knowledge on how to protect yourself kwenye kazi kama maandamano, vita, mafuriko na moto?

Je waajiri wao washawahi kuwapa mafunzo haya au wanatafuta tu pa kuongelea lakini hawajui wajibu wao?
Je waandishi wakiingia kwenye maandamano wanavaa nguo za kutofautisha na waandamanaji wengine au wanavaa kama waandamanaji na utawatofautisha vipi?
 
Hoja yako ni nzuri, ila umetumia mazingira mabaya. Wanachodai usalama wao siyo vitani, bali ni kwenyeshuguli za kawaida ambapo walinzi wetu wa amani wanakuwa na taarifa na wanakuwepo kwa ulinzi. Ila inashangaza kuona walinzi hao wa amani wenye dhamana, ndiyo wanasababisha uvunjifu wa amani na kusababisha madhara makubwa. Labda kama utatuambia kuwa, kuhudhuria mikutano ya CDM hapa nchini, ni sawa na kwenda vitani.
 
Kila mtu ana uhuru wa kwenda kwenye mkutano wa chama chchote kile kwa uhuru na amani. Hoja yangu ipo kwenye MAANDAMANO. Hivi kweli nchi inaweza kuendeshwa kwa MAANDAMANO!?
 
Kila mtu ana uhuru wa kwenda kwenye mkutano wa chama chchote kile kwa uhuru na amani. Hoja yangu ipo kwenye MAANDAMANO. Hivi kweli nchi inaweza kuendeshwa kwa MAANDAMANO!?

Bado hujajenga hoja. Kwani wanaoandamana ndio viongozi wa nchi?
 
haya waandishi leo ndio leo yamwageni yote hadharani.na wengine tutaunga mkono.
 
Kila mtu ana uhuru wa kwenda kwenye mkutano wa chama chchote kile kwa uhuru na amani. Hoja yangu ipo kwenye MAANDAMANO. Hivi kweli nchi inaweza kuendeshwa kwa MAANDAMANO!?

mengine yakishindwa hiyo ni njia pekee ya watu kuonesha kutoridhika kwao kwao umoja wao kuhusu jambo fulani.serikali ingekuwa sikivu kusingekuwa na maandamano. kwani watu wanaandamana kwa raha? si kuna lililowasibu ni kama mgomo vl ktk sehemu za kazi au vyuoni, ikibidi hakuna budi.
 
Tumesikia Waandishi wana nia ya kuandamana leo!

Waandishi wanasema wanaandamana leo kudai protection wakati wa kutimiza wajibu wao, do they really know kuwa wajibu wa kwanza katika ulinzi ni wa waandishi wenyewe, halafu mwajiri halafu the rest which includes protective gear, knowledge on how to protect yourself kwenye kazi kama maandamano, vita, mafuriko na moto?

Je waajiri wao washawahi kuwapa mafunzo haya au wanatafuta tu pa kuongelea lakini hawajui wajibu wao?
Je waandishi wakiingia kwenye maandamano wanavaa nguo za kutofautisha na waandamanaji wengine au wanavaa kama waandamanaji na utawatofautisha vipi?

Waandishi wataandamana kulaani mauaji ya Mwandishi mwenzao. Watavaa mavazi meusi au watafunga kitambaa cheusi mikononi kuonyesha maombolezo yao juu ya mauaji yale. Hilo jingine ulilosema hapo ni la nyongeza.
 
Clouds na Channel 10 wametangaza mfanyakazi wao yeyote atakayeshiriki kwenye maandamano ya leo atakuwa amejifukuzisha kazi. Kwa kweli mimi nakiona kitendo hicho kama ni ukiukwaji wa haki za wafanyakazi na ni kinyume cha haki za binadamu.
 
Duh! Kama ni kweli basi hii ni habari kubwa. Kibonde naye alikuwa aandamane? Manaki kila siku anajitapa kujiita "sisi waandishi" Sijui alisomea wapi huo uandishi wa habari.
 
nitafurahi sana kama Said Kubenea atakuwepo na team yake,wakiwa wamejipanga vizuri..........i miss his papers
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom