Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Mwanzo mzuri huo.
Hatimaye jeshi la polisi limeruhusu kufanyika kwa maandamano ya
waandishi wa habari mkoani Dar es salaam kesho,kilele chake kitakuwa ni katika viwanja vya Jangwani, awali yalikuwa yaishie viwanja vya mnazi mmoja.
Hayo yamo kwenye Taarifa ya Suleiman Kova aliyoitoa hivi punde.

Na wale wa Uhuru Publishers nao vipi?
Ilitakiwa iandikwe hivi; HATIMAYE JESHI LA POLIS LIMETAARIFIWA JUU YA MAANDAMANO YA WANAHABARI NA LITATOA ULINZI. Zaidi ya hapo ni policcmtics
nasubiria ya kushinikiza IGP, NCHIMBI NA RPC iringa kujiuzuru.
Hatimaye jeshi la polisi limeruhusu kufanyika kwa maandamano ya
waandishi wa habari mkoani Dar es salaam kesho,kilele chake kitakuwa ni katika viwanja vya Jangwani, awali yalikuwa yaishie viwanja vya mnazi mmoja.
Hayo yamo kwenye Taarifa ya Suleiman Kova aliyoitoa hivi punde.
Awali walikuwa wamezuia lakini baada ya 'Vuta nikuvute' wamekubaliana kwa sharti la kubadilisha location na sasa watakutana Jangwani (Taharir Square).
Hawana lingine zaidi ya kujiuzulu.
Awali walikuwa wamezuia lakini baada ya 'Vuta nikuvute' wamekubaliana kwa sharti la kubadilisha location na sasa watakutana Jangwani (Taharir Square).
Kumbuka kuna mabom yatakuwa yanatafuta watu kesho namjua Kova.
Kuweni makini jamaa zangu hasa wale wanaoshukiwa na kutafutwa.