Maandamano ya Wanahabari kesho Ruksa!

Status
Not open for further replies.
Anyway ni utani wenye ukweli usiopingika, hebu kila chama kifanye mkutano pale, wahudhuriaji wasibebwe na na magari aina ya costa toka maeneo ya mbali. Wawe wa meneo ya karibu halafu tufanye tathmini.
 
Wananchi wa kawaida tusio waandish wa habari tunaruhusiwa kuja kwenye maandamano kuwaunga mkono?
 
Clouds na Channel 10 wametangaza mfanyakazi wao yeyote atakayeshiriki kwenye maandamano ya leo atakuwa amejifukuzisha kazi. Kwa kweli mimi nakiona kitendo hicho kama ni ukiukwaji wa haki za wafanyakazi na ni kinyume cha haki za binadamu.

Mkuu kuna ukweli hapa?
 
Hivi Ruksa wanotoa Polisi? Sure hii nchi ipo chini ya Polisi hata Siku WAnajeshi wakitaka kuandamana Wataomba Ruksa kwa Polisi...

Raisi akitaka kwenda Sehemu fulani anawaomba Polisi Kwanza...
 
Hatimaye jeshi la polisi limeruhusu kufanyika kwa maandamano ya
waandishi wa habari mkoani Dar es salaam kesho,kilele chake kitakuwa ni katika viwanja vya Jangwani, awali yalikuwa yaishie viwanja vya mnazi mmoja.

Hayo yamo kwenye Taarifa ya Suleiman Kova aliyoitoa hivi punde.

Jeshi la Polisi chini ya IGP dhaifu kabisa tuliyewahi kuwa naye Tanzania wamenusa harufu wakaona wasije wakarudia ujinga wa kilichotokea Iringa. Imebidi lazima tu wakubaliane na haki ya Wanahabari ya kuandamana.

Watanzania wote pamoja na Waandishi wa Habari tunapaswa KUJUA YA KWAMBA KAZI YA JESHI LA POLISI SIYO KUTOA KIBALI/VIBALI VYA MIKUTANO AU MAANDAMANO BAALI KAZI YA POLISI NI KUTOA ULINZI WAKATI WA MAANDAMANO NA MIKUTANO YA VYAMA VYA SIASA,DINI,TAASISI n.k.

Tatizo la nchi yetu ni kwamba watu hawataki kusoma na kujua Katiba na sheria ili wajue Haki zao na namna ya kuzidai. Kwa kutumia udhaifu huu wa Watanzania wa kutokujua katiba na Sheria,SERIKALI YA CCM KWA KUJUA UDHAIFU HUU WA WATANZANIA WANALITUMIA JESHI LA POLISI KUWANYANYASA WATANZANIA KWA KUJICHUKULIA MAMLAKA YA KUTOA VIBALI VYA MIKUTANO NA MAANDAMANO BADALA YA KUTOA ULINZI.

BINAFSI NAWAOMBA WAANDISHI WA HABARI WATUMIE KALAMU ZAO KUWAELIMISHA WATANZANIA KUJUA HAKI ZAO NANAMNA YA KUZIDAI NA KUIJUA MIPAKA YA JESHI LA POLISI. KWA SASA POLISI WANAJIONA WAKO JUU YA SHERIA NA HIVYO WANAWEZA KUFANYA CHOCHOTE KWA KUTUMIA UDHAIFU HUU.

 
Tatizo wakisikia CDM, Magamba yanatafuta choo(Polisi) kiko wapi coz matumbo yao yanachanganyikiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom