Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

we nape uwe unatumia akili kijana,,,kwani tukiweka majina ndo tunabadilisha maada iliyopo??AU NDO UNAPOTEZEA??:A S thumbs_down:
 
Polepole tu utaelewa kwanini wanakuita vuvuzela,
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!
 
Aaah afadhali we umesema ukweli! M4C ni kwa ajili ya kukusanya chenji ya walalahoi. Inasikitisha kuwa hamuwaonei huruma watu wanahangaika kujitafutia kipato nyie mwaja kukusanya vijisenti vyao! Wizi mkubwa.

Sisi tunatoa 'willingly' kwa ajili ya kazi ya ukombozi wetu na vizazi vyetu. Wezi ni nyie mnaokula kodi zetu through EPA, Richmond, Meremeta..(the list goes on) then mnakuja kutukebehi na kanga na T.shirt. Shame on you gghhrrrr!!!
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

nape kweli mipasho unaiweza
 
Duh mh Nape bajeti ya kuwalipa watetezi wako imekata au?au umeshtuka kuwa ni wanafiki?hapa simuoni mafilili,kiboko yenu,rejao wala ma fox,unapambana peke yako mkuu!!sio dalili nzuri ninayoiona upande wako.
Kaka si kwamba akina Faiza Fox hawana akili kabisa kwa jinsi unavyowafikiria, lakini kwa kitu kama hii ya leo watakuja kutetea nini! Nao wakati mwingine huwa zinakuwepo kichwani.
 
3.JPG

03.jpg

Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
Duh hata balozi wa nyumba kumi, angepata watu zaidi ya hawa labda angezidiwa magari....
 
  • Thanks
Reactions: ral
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!
Hatimae umeikubalia ID yako, wewe ni mnafiki tu, mwanaume gani unajichubua kama shoga....hivi tukiitwa wanaumea na wewe utatoka?
 
Aaah afadhali we umesema ukweli! M4C ni kwa ajili ya kukusanya chenji ya walalahoi. Inasikitisha kuwa hamuwaonei huruma watu wanahangaika kujitafutia kipato nyie mwaja kukusanya vijisenti vyao! Wizi mkubwa.

UOTE=Daudi mchambuzi;4001293]
Nnauye Jr a.k.a nape hebu jaribu kuongea kama katibu muenezi.
The way you sound ni kama wale kina mama wanaoimba mipasho.
Wakati wewe unapita kugawa pesa kwa wapiga kura kwa nia ya kukwamisha mageuzi, chadema wanapita kukusanya pesa za michango ya kusaidia mageuzi, hebu ona iyo tofauti kati ya kichwa maji na werevu.
Hebu re-think namna ya kukabiliana na werevu bwana nape.[/QUOTE][/QUOTE]
nape kweli akili hunazo umequote Daudi mwenzake amekuponda usivyo na uwezo wa kufikiri unaona amekusapoti.
alafu mbona unajibu hoja zako kitaarabu taarabu.
Badilika bwana ikiwezekana tafuta mtu awe anakujibia kwa id yako other wise unajiaibisha
 
I can see Nape with crocodile smile.
Nafurahi sana kuona ccm inavyokufa mikononi mwake kwani layman solutions anazozitumia zitakumbukwa siku ya mazishi na yeye pia atakumbukwa kuwa ndiye mshiriki mkubwa ktk mauaji haya ya marehemu ccm.

Kumbe unaweza kumuua marehemu.
 
Mheshimiwa Nnauye Jr usikate tamaa endelea kuimarisha uhai wa chama tawala. Wapinzani wako wanakwenda kwenye uwanja wa mapambano kama "team" ikijumuisha mtendaji mkuu (Katibu Mkuu) na wabunge wao; wewe mbona kama wamekuacha peke yako "Front line"?
Napendekeza kwenye team yao asikosekane Lowasa, Mwakyembe, Sita, Nape, Membe........
 
Too Low ... Bro fanya vitu vya msingi, uchumi unaporomoka, ajira hakuna, gharama za maisha zinazidi kupanda.. Sekta ya afya hovyo, elimu hovyo almost kila kitu hovyo hovyo.. We unahangaika na kujikosha kwa wingi wa watu???

Leteni maendeleo kwa watu, acheni ufisadi, fateni utawala wa sheria, futeni viti maalum, ondoeni upendeleo, futeni ukuu wa wilaya na mikoa, wekezeni katika elimu na afya, lindeni raslimali.. Tutawaunga Mkono, ila kama mtaendelea kutukandamiza, na sisi tutawasagasaga, wananchi tuna hasira. Maneno kama haya hayafai kwa mtu kama wewe. All the best

Naomba ni LIKE mara ya 2. Nimependa hii: waondoe viti maalum, waondoe wakuu wa mikoa na wilaya, la sivyo tutaendelea 'kuwasagasaga'
 
Okey! Embu tuongee mambo ya msingi. Hivi swala la chama kujivua gamba kwa EL na CH limeishia wapi?

Chenge kawa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya fedha na uchumi- unacheza nini. Kina chenje na lowasa sio oil chafu, isipokuwa kina Ole Ndesambu wa kawaida ambao ni wanachama wa kawaida wanaohamia CDM ndio oil chafu. Now i get it, ukiwa mwanachama wa ccm na ni mkulima huna fedha basi wewe ni oil chafu. Great Nape!!! Got it
 
Mheshimiwa Nnauye Jr usikate tamaa endelea kuimarisha uhai wa chama tawala. Wapinzani wako wanakwenda kwenye uwanja wa mapambano kama "team" ikijumuisha mtendaji mkuu (Katibu Mkuu) na wabunge wao; wewe mbona kama wamekuacha peke yako "Front line"?
Wajanja walishajua kwamba halifiki 2015 wamewaachia Mazoba tu ambao wamebaki kuwa Matomaso mpaka waone CCM ikiingia kaburini. Ndo maana wengi hawampi ushirikiano wamesha-switch mind zao kwa CDM 2015, hata huyo jamaa analijua hilo. Halafu anatawanya nguvu zake sana, mara kwa Lowasa na Chenge, mara kwa Maige, ambao tayari ameshawashindwa.
 
Last edited by a moderator:

Hoja yangu Wilson Mukama ni "Director of Finance" kwamba lazima akae ifisini siku 365 kuidhinisha malipo yote yanayofanyika? kwa nini asiunganishe nguvu na mwezake pamoja na kuwatumiw wabunge wa kanda husika? Watamkumbuka Mangula kwani enzi zake Upinzani haukuweza kabisa kufurukuta
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Hivi we Nape unajua hata majukumu yako kweli, we ID za nini, jibu hoja ww, cyo unambwerambwera badala uimarishe chama chako unabaki unaleta sound hapa, eti Dr wa chadema feki afu huyo gamba lenzio linalokubeba ingawa hubebeki JK ni nani, ndo mana masaburi huwa anawatukana, badilika kijana sysytem itakutema soon so jiandae kujiunga cck mana ccj ilikushinda, kijana mdogo mawazo ya miaka 1890
 
Kwa vijana wa CCM Mwigulu is Smart,Mzee Mkama hakukosea aliposema Nape hovyo na akamsifia Mwigulu kwamba ni kijana msikivu.Makama kiasi ingawa naye ni mnafiki

May be Mwigulu has an open mind which can filter and consider advise but calling him smart is at the moment very subjective.

Follow hereunder to gauge how smart is your Boy!

Kusisitiza umoja wa wanairamba ni jambo la muhimu, linalonishangaza wewe Mwigulu Lameck Madilu Nchemba kwanini umekwepa kutumia jina lako badala yake umetumia hili la YANGTZE. Hii ni dalili ya kutojiamini na ni old fashioned strategies za propaganda ambazo walisoma akina Lyatonga enzi hizo. Kutokana na dhana ya modus operandi nina uhakika 100% hii kitun umeandika wewe mwenyewe Mwigulu because i know you and your art of writing. Ukiwa kiongozi you have to be bold na kukabili changamoto kwa ujasiri usitafute huruma. Shauri yako 2015 si mbali usijekujuta kuacha kazi BOT

Great thinkers heshima kwenu! Sikuhizi baadhi ya watu wamekua na kasumba ya kutuhumu wengine kwa lengo la kuwapaka matope mbele ya jamii huku wakujua dhahiri kwamba tuhuma hizo nizakuzusha tu. Mimi ni mwana-Iramba na imenilazimu kujibu tuhuma za uongo, zilizotolewa na Patriq kuhusu Mh. Mwigulu Nchemba.

Mimi namashaka sana kama Patriq yuko hapa Iramba, otherwise asingekuja na siasa hizi za majitaka. Personally, nimewasiliana na Mh. Mwigulu na ameonesha kushangazwa sana madai haya. Pamoja na kwamba ilimlazimu Nchemba kujibu madai haya hapa jamvini, lkn bado nimeona nisiliache hili jambo lipite hivi hivi. Mbunge alikuwepo jimboni mwezi April na kama kweli Patriq alikuwepo basi angekua anafahamu hili kwani tuhuma hizi alizitoa tarehe 30 April siku chache baada ya ziara ya mbunge.

Mbunge alifanya ziara katika maeneo yafuatayo:- Tarehe 23/04 alikuja Ng’anguli na Maluga Tarehe 24/04 alikuwa kitusha na Uwanza Tarehe 25/04 alikuwa Galangala na KBI ambapo alizunguka sokoni akiongea na vijana pamoja na watu wa rika mbalimbali kuhusu njia bora ambayo wangependa kuwezeshwa katika ujasiriamali wao.

Mbunge pamoja na kwamba Chama kimempa majukumu ya kutunza fedha za chama ambayo kwake ni mepesi kutokana na taaluma yake ya uchumi na uzowefu wake pale BOT bado ameendelea kuwa pamoja na wanachi wake na imani yake kwa wana-Iramba bado iko juu.

Sisi wana Iramba kama kweli tunataka maendeleo kwa ajili yetu na vizazi vijavyo basi tuna kila sababu ya kushirikana kwa umoja wetu kuleta maendeleo yetu. Ni wazi tunaweza tukawa na different political Ideologies lakini tusiziruhusu zikatugawa bali tuzitumie kama chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo jimboni kwetu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI IRAMBA MAGHARIBI

Mkereketwa wa Maendelo ya Iramba
 
Wengine nape hatuna tv wala hatuko kwenye msafara wako alafu unauwezo.WA kila kitu,pesa vituo vya redio,TV,magazeti mbona vyote havikusaidi hebu tuwekee.wewe mwenyewe video,au picha Bosi Kaka nape Ccm isha kufa utaumbuka nape nakuapia utaumbuka
 
Hahahaa! KUJIDANGANYA WENYEWE NA KUJARIBU KUWADANGANYA WAFADHILI WENU NI SIFA HALISI YA VYAMA VYA WANA HARAKATI.... NA HASA BAADA YA KUONA KUWA UONGO WA MWANZO UNAKOSA MASHIKO. OOOH CCM IMEKUFA!!!NIMEINGIA SONGEA WENYEWE MMEFYATA MKIA KWA MSHANGAO JINSI WATU WALIVYOJITOKEZA MKUTANONI, HALAFU HAKUNA MATUSI SERA TU.
MKAWA MNADANGANYA WATU MNAYO NJOMBE YOTE, MKUTANO WA JANA NJOMBE UMEWAUMBUWA SANA SANA.
MMEBAKI NA DUA LA KUKU, POLENI SANA.
NARUDIA SIWASHANGAI KWANI NDIO TABIA YA VYAMA VYA WANAHARAKATI.

UOTE=Candid Scope;4001152]
3.JPG

03.jpg

Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
[/QUOTE]

Sawa Mzee wa Mipasho, tumekusikia, tumekuelewa. Nilitarajia uje hapa useme hiyo picha imechakachuliwa na hilo sio tukio halisi? Kumbe huo ndio uhalisia wenyewe na huo ndio umati unaokufanya utembee kifua mbele kwamba CCM itaendelea kuwepo milele?

Tiba
 
Mkuu Nauye Jr. katika wana CCM wewe ni mmoja wa kuheshimiwa sana. You have to demonstrate political maturity and tolerance. Kumuita Dr. Slaa (Dr wa ukweli) kuwa ni feki, ni ku-stoop too low for your caliber. shape up man! dignify your self by what you do and say!

Umesema kweli kabisa. Kumpinga Dr.Slaa kisiasa hakuna sababu ya kumtukana. Ndio kama akina Ole Sendeka leo anamtukana Lisu hajui sheria, kesho anamsifia anajua sana sheria. Nchi hii watu wapo radhi wafanye lolote in the name of politics...ukimwita Dr.Slaa ni Dr.Feki unataka kutuambia ni hatua gani mtu anapitia kupata PhD?
 
Back
Top Bottom