Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

NAWASHANGAA SANA WANA JF WANAOONGEA NA KUJJIBISHANA NA NAPE;KWA SABABU ZIFUATAZO


-NAPE HANA HADHI YA JF,KAMA JF WANGEAMUA KUWEKA VIWANGO VYA KUJIUNGA HAPA NAAMINI NAPE ASINGESAJILIWA KWA SABABU HANA VIWANGO,NITAFAFANUA

.MTU MWONGO,MFITINI,MNAFKI,KATIKA UMRI WA KIJANA KAMA HUYU LAZIMA AKIFIKIA UMRI WA KIKWETE ATAKUWA TAAHIRA

.MTU ASIYEWAPENDA WATANZANIA,ASIYEWATAKIA MEMA NA ANAYETUMIA MWANYA WA VUVUZELA ALILOPEWA KUWADANGANYA HASTAHILI KUWA MMOJA WETU SIO TUU HAPA JF HATA KATIKA ARTHI YETU HASTAHILI


.MTU MWENYE NJAA KALI TAMAA YA MADARAKA NA TABIA ZA KULAMBA MIGUU ILI APEWE NAFASI(Boot Leaker)HATUSTAHILI.


.UWEZO WAKE WA KUFIKIRI NI MDOGO SANA MAANA KAMA MTU HUWEZI ONA UPEPO UNAKOELEKEA MPAKA SASA NAAMINI HUNA MAARIFA MTAMBUKA

.MWANAUME ANAYEVAA KIKUKU MKONONI NA SHINGONI LAZIMA ANAVAA KIUNONI PIA NA MTU HUYU ATAKUWA NA TABIA ZA KIKAMERUN

NAPE NI BOOTLEAKER,CHIZI,VUVUZELA ,MNAFKI,NA SIFA NYINGINE KEM KEM ZISIZO ZA KIUME.MNAMPA CHAATI MNAPOMJIBU MWACHENI ABWABWAJE MWISHO WA SIKU ATALILIA KUHAMIA CDM KWA MACHOZI NA JASHO
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Tatizo lako ni hapo tu, sasa taarabu ya nini hapa, tuondolee povu lako bana..!
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Dr feki ni nani? Kikwete au Slaa? maana Dr slaa amesoma ana PhD. Kikwete aliisomea wapi? Ukubali ukatae, Mimi siwezi kumwita Kikwete dokta kwa sababu hajaenda shule kufikia kiwango hicho. Aliyesoma, amesoma! huna la kubadilisha. UKWELI UNAUMA.
 
Aaah afadhali we umesema ukweli! M4C ni kwa ajili ya kukusanya chenji ya walalahoi. Inasikitisha kuwa hamuwaonei huruma watu wanahangaika kujitafutia kipato nyie mwaja kukusanya vijisenti vyao! Wizi mkubwa.

wananchi tunaamini bora tutoe leo sh 1000 ili baada ya mapinduzi tuwe na uwezo wa kuzalisha 100,000/=, sio tupokee elfu 1 leo na baada ya miaka 5 tunaendelea kuzalisha hiyo hiyo elfu 1 na maisha yako juu.
 
Yaani hivi vyeo vya kupeana ni vibaya sana.mtu anapewa uenezi kwa sababu tu ya baba yake alikuwa Nauye.Mimi uwa nasikitika sana kuona nape ndio mkuu wa uenezi wa kikubwa kama chama cha mapinduzi.hivi hakuna mtoto wa masikini katika ccm yote mwenye kuongea vizuri kama wakuu wa uenezi wengine naongelea john john mnyika na moses machali-basi wampe hata kaka yangu au kwa sababu ajatokea katika ''family elite za ccm''?hii nafasi baadae napendekeza iwe inagombaniwa openly na watu wawe wanahojiwa kuona kama wana sifa zifuatazo (i)uwezo wa kujenga hoja-sio kuimba taarabu(ii)mvuto kisiasa(iii)na kuwa na matamshi ya kutumia common sense tu jamani.yaani ccm kwa nape watajibeba.
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Nape tuwe wa kweli zungumza na moyo wako - CCM is no more as it was - najua hayo yote ni mhumuko wa kisiasa tu - ukweli halisi unujua
 
Viwanja vya turbo njombe tunavijua nape!unapobisha at last utakana ht sura yako!makada wenzio na viongoz wanakir hata hao wachache walikuwa m4c na ndo ukweli huo,tunapokwambia haya mambo toka field kubaliana because sisi tunaoishi njombe tunafahamu status ya chama chako kwa sasa
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Acha kubwabwaja hadi unatoa mapovu..:ivi ukiwatoa hao wa pikipiki uliowapa buku 5000 waliobaki wanafika hata 100??kusoma huwezi hata picha tu inakua shida?umefulia kama ze komedi mzee!
 
CCM walikuwa wanaandamana kuhusu nini? mie naona ni msafara tu huo.

Halafu hoo hakuna maendeleo, lami utafikiri tuko Switzerland.
 
01.jpg


1.jpg


Watoto ndio imekuwa target ya CCM kujazia nafasi kwenye mikutano yao. Hawa ni malaika wasiojua yanayoendelea, wakishakua watakuwa na fikra nyingine dhidi yao.

Nakumbuka bado maneno aliyotoa mwandamizi Mzindakaya alipojing'atua kugombea ubunge jimboni kwake, kwamba anataka kupumzika. Aliishoshea CCM na kusema imepotea njia na hawa tunaowasomesha shule za Kata ndio watakao iondoa CCM madarakani. Maneno ya mzee huyu ni kama mwiba kwani yanayojilia sina haja ya kuyaanika hapa.


Duuu inasikitisha kwa kweli, hivi ni kwanini hawasomi alama za nyakati. We nape wewe poteza muda tu huko!!!!!!
 
I gues this boy has something missing! Mbona mambo yako clear? Kweli huyu bwana ni el sahaf!
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Angalia usianze kutoa matusi kama walivyofanya wenzako Lusinde na Wasira. Hapa hatuangalii jinsia bali kinachozingatiwa ni hoja pekee tena za msingi na zenye mashiko.
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Nape hii kazi aliyokupa JK alikuonea kwa sababu huiwezi,
Wewe unachokiweza ni mipasho na kejeli kama hizi,
unajidharirisha kwa kutoa kejeli kama hizi jifunze kuwwa na busara bana,
Achana na siasa za maji taka.
 
Mbona NEPI hatoi ufafanuzi wa kadi yake ya ccm na uhai wake kwenye chama ,leo analeta matusi tu kwa Dr wa Ukweli.?Pia ajiulize kwa Dr wake wa Gentleman pass pale mlimani mbona hata kutafasiri sera ndogo tu za uchumi kashindwa anabaki anabwabaje tu kwenye mazungumzo with low mind.? CDM itawatesa tu mlisema chama cha msimu ,ikaprove failure na mmeokoteza sasa kuwa ni wanaharakati napo mtashindwa.Maana hakuna mwanaharakati ambaye aliwahi kuprove failure aanzia kwa mwalimu, Mandela,Neru,Thereza,Castro,Guevara na wengineo wanaharakati pia ni wakombozi na huwezi kuwa mwanaharakati kama huna vision the same to CDM.Kwa ujumla NEPI anacheza muziki asioujua.
 
Mbona wahudhuriaji wachache mno au watu wanaona aibu siku hizi kuonyesha uCCM vinginevyo uwe unajiamini sana.

Mkuu sio kwamba tu uwe unajiamini sana, watu wameshaamka siku hizi wanaona kuonyesha u CCM ni kujitangaza kuwa wewe hamnazo,mtambo au akili zimeruka kidogo
 
picha na watoto angepiga mbowe au dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! Ccm ipo leo kesho na hata milele!!


aibu imekujaa usoni, utajuuuuuuuuuuuuuta kuijua chadema
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Ninachokupendea Nape una nguvu ya ziada ya kukomaa kwenye siasa yetu ya Tanzania huo ndiyo uana siasa makini tunaouhitaji nchini mwetu, kwani umekuwa mstari wa mbele kutetea chama chetu cha mapinduzi, kweli moyo unao na nakupendea sana kwa hilo, lakini upande mwengine wa shilingi naamini huna njia zaidi ya ufanye hivyo kwani kuna hata vijiposho unavyopata kwa kuwa ndiyo kazi yako, sasa kazi inaanza pale shillingi ikisimama na ukiwa unajiangalia kwenye kioo wakati wa kupaka mapouda na kwa uwezo mkubwa wa kufikiri lazima unafahamu kuwa chama ndiyo kinaondoka hata kama kitabaki milele lakini je kitakuwa na nguvu kilichokuwa nacho, nadhani hilo ndiyo suala la muhimu la kujiuliza, na naamini utakuwa unajiuliza na kwa umakini ulionao utakuwa umeshapata jibu kuwa HAPANA HAKIWEZI KUWA NA NGUVU KILICHOKUWA NACHO na sababu unaijua ni UFISADI ULIOPITILIZA wa kuimaliza nchi kiuchumi Nape najua utakubali tu kwani si ndiyo SERA YA KUVUANA MAGAMBA ilipoanza, nashukuru kwa kukokotoa.
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Kwani wewe ulilazimishwa kutumia jina lako? jenga hoja ukishindwa kula kona,unazidi kuthibitisha hapa kwamba una upeo mdogo wa kufikiri.halafu acha kujifanya wewe ndio mwenye CCM utajizolea aibu kubwa siku za usoni
 
Sasa hawa watoto kuwatoa shule kwa ajili ya siasa hivi kweli ni ubinadamu au ilikuwa jumapili?, hawa wanajua kitu kinachoendelea kweli??!! Hivi hawa watoto wanajua maana halisi ya UFISADI ??!? , hivi hawa watoto wanaweza KUPIGA KURA 2015?!!?? hivi hawa watoto wanajua kuwa mashamba makubwa yanauzwa kwa bei ya kutupwa kwa wawekezaji na wananchi wanahamishwa kupelekwa kuanza upya ulimaji kwenye mapori?!?!?! hivi hawa wanajua kuwa juzi juzi tu nyumba za serikali ziliuzwa kwa bei ya kutupwa na leo hii baadhi ya viongozi wanaishi kwenye mahoteli !?!?!??, hivi wanajua kuwa kuna wanyama pori wanaouzwa nje waziwazi kupitia airport zetu?!!?, Hivi wanajua kuwa hali ya uchumi wa Tanzania inazidi kuwa duni kila kukicha chanzo kikiwa hicho chama wanachokipigia dole gumba??!?!?!, Ebwana Nape wewe mtu mzima, hao hawajui zaidi ya kuwa siku hiyo alikuja mtu sana sana aliwapa mabakuli ya uji na slice za mikate kama walipewa baada ya kupiga picha ya pamoja. Nape ongeza bidii, utafanikiwa tu. Ila angalia kuna Mungu ambaye anaweza kukupa dhambi kwa kuwatumia watoto kwenye mambo yasiyowahusu. CCM juu juu zaidi. Mimi siyo mfuasi wa chama chochote ila ni mwananchi mwenye uchungu na maendeleo ya nchi yangu na ni mpiga kura tangia nilipofikia umri wa kuanza kupiga kura.
 
Back
Top Bottom