Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

lakini mkuu unafahamika kwa kuikana Id yako pindi mambo yakikuendea vibaya, tumeona huko nyuma uliwahi kuiruka Id yako futi 100.
 
Mkuu Nauye Jr. katika wana CCM wewe ni mmoja wa kuheshimiwa sana. You have to demonstrate political maturity and tolerance. Kumuita Dr. Slaa (Dr wa ukweli) kuwa ni feki, ni ku-stoop too low for your caliber. shape up man! dignify your self by what you do and say!
Nnauye Jr, nadhani huu ni ushauri wa maana kwako. Binafsi nikupongeze kwa ujasiri wako wa kujenga na kujibu hoja, big up guy!
Wenzako wengi wameshaukimbia huu mtandao kwa aibu yao!
 
Last edited by a moderator:
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Ha ha ha.Nape,you have lost your temper my friend.Kiongozi,miliki hasira yako.Kubaliana na ukweli,pia ni ukomavu.Usiwe kama yule waziri wa Propaganda wa Sadam Husein.Jibu hoja mkuu,mambo ya ID yanahusu nini hapa,hakuna anayejadili personalities hapa,au mnataka mlete mambo yenu ya taarab ya Ki CCM.Anyway ntakuja Jangwani kumwona Diamond akitumbuiza
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu

poor you......
Badala ya kutoa povu, ni vyema ungetafiti wapi mlipoangukia ili mkarekebishe mapungufu kujenga chama chako.

Hao unaowaita wanaharakati ndo wanaota mizizi huku mtaani, hao mnaodharau maandamani yao ndo wanachukua wanachama toka wazee mpaka vijana.........

Ccm mnahitaji mpango wa dharura kukinusuru chama, na muachane na sera za kutaka kugawanya watu kidini, divide and rule haifanyi kazi siku hizi...... Hata kundi mnalolitumia kufanya hivvyo linaelekea kuamka......

Huu ni mtazamo wangu,ukikufaa uchukue, usipokufaa uache
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Ni kweli je nikija kukana ID yangu yenye jina la ukweli? actual kama ulivyofanya wewe hapo nyuma...
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Jamaa wewe una roho ngumu kweli kweli, unajua kuitangaza CCM kwa sasa inakubidi uwe na moyo kama wa mwendawazimu...
 
Ama kweli Nape na ccm ni kama kupe:
Ng'ombe anachinjwa kupe hana habari!!!
Ng'ombe anachunwa kupe hana habari!!!!
Ngozi inawambwa kupe hana habari!!!!
Ngozi ikianza kukauka kupe ndo anastuka!!!!"

Alaa! Huyu ngo’mbe kumbe keshachinjwa!!!

Hii nimeipenda.....safi sanaaa
 
Nape,hebu jaribu kuwa muwazi na mkweli!...kweli hakuna tofauti ya hizo picha zako na za Dr slaa?...khaaa!
 
aisee we jamaa ni mbishi mpaka unafurahisha...dokta feki? are you sure..na madokta wa kutunikiwa wasemaje....ila ubsihi wako unafurahisha sana kama comedy vile

Bwana Nape hana tofauti na yule waziri wa Saadam Hussein aliyeitwa Alli "the comedian".
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Nape wewe ni kiongozi mkubwa, anza kuwact kama kiongozi, hizo kauli za oh Dr Feki hazitakusaidia, jaribu kujaza viatu ulivyopewa, maoni mengine hapa yana lengo la kukusaidia!
 
01.jpg

1.jpg

Watoto ndio imekuwa target ya CCM kujazia nafasi kwenye mikutano yao. Hawa ni malaika wasiojua yanayoendelea, wakishakua watakuwa na fikra nyingine dhidi yao.

Nakumbuka bado maneno aliyotoa mwandamizi Mzindakaya alipojing'atua kugombea ubunge jimboni kwake, kwamba anataka kupumzika. Aliishoshea CCM na kusema imepotea njia na hawa tunaowasomesha shule za Kata ndio watakao iondoa CCM madarakani. Maneno ya mzee huyu ni kama mwiba kwani yanayojilia sina haja ya kuyaanika hapa.

ubwabwa hakuna? watoto ndo huwa kiu yao. halafu wamewashonea green
 
kizuri hakìhitaji kujiuza,kibaya lazima kijiuze, cdm jitahidini lakini ukabila na ukanda WENU utawafanya mfe kifo cha kawaida tu. Wapi nccr ya mrema.

Huyu na ye katoka wapi?? Au ni mgeni JF, wenye kutumia PC watujuze mi natumia simu..

Kama amekurupushwa vile.. Na kweli maoni yake ni ”juu kwa juu” anafikiri kwa miguu!
 
Napeeeeeee...........
unabwabwaaaaaaaja kama umelishwa *****?????
we tulia, kama watoto mnao sasa unawasiwasi gani wa kuendelea kutumika na magamba????????
kwani huko uliko sijui ni mtwara sijui ni wapi, upo na nani??????
wewe unaeneza siasa chafu za maslahi kwa baadhi ya wakoloni wenzetu, wao wakubwa zako wako wapi????kama sio wanabeembea na kunywa mbege hko Moshi??????
jitizame wewe, wajanja wanakula na wewe unajimiiiiiiinya kupingana na nguvu ya umma, ila sio kosa lako, kosa ni kwamba UMESHIKIWA REMOTE, so wale wanakupeleka vile wanavyoweza na wew unaenda tu kama jing'ombe
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu

Pole Nape, the problem is you wanted all the glory to yourself, si ungeambatana na makada wengine kama kina Deo Fili, mkutano ungejaa. but you are so selfish...
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

nape kwel mipasho unaiweza yaan nimecheka sana the way unavyo deffence hoja zako.
Kutoficha ids au kuficha ids kuna uhusiano gan ktk kutetea ama kujenga hoja?
Mkuu wewe kwel ni katibu mwenezi wa ccm hii ya nyerere?du!inatia mashaka
 
Okey! Embu tuongee mambo ya msingi. Hivi swala la chama kujivua gamba kwa EL na CH limeishia wapi?

kweli bwana filipo ngoja niongezee kidogo hoja yako
nape na ccm yao wanasubiri tu muda ufike kwani haijulikani wanafanya nini kila siku wanakuja na mambo mapya hakuna la maana yaani ukiunganisha matukio na maneno na matendo ya serikali hata hawajui nini wanatakiwa kufanya.
nape na wote mmekaa kikao dom mkasema wajivue gamba ukazunguka nchi nzima na kuwataja baadhi ya watu leo hii hakuna hata mmoja na wengine wanazidi kupewa nyadhifa mbali mbali ndani ya chama na serikali na wana ccm wenzako wenyeviti kamati za bunge sito ona ajabu mawaziri walioondolewa wakapewa ukurugenzi ubalozini .
si msemei mtu mimi binafsi nimewachoka hata nikawaoona nasikia kutapika mnanuka harufu ya ubaya

watu wanateseka kwa ajili ya chama chenu kushika dola unaibiwa, ukienda police inabidi utoe pesa ndio usaidiwe ,damu hospital lazima utowe mfukoni.ukitaka uongozi ccm lazima uwe na pesa za kuwapa wapiga kura .
acha angalia shida au mtatuwe shida zilizopo ...hayo mnayofanya hayawasaidii
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Alokwambia JF ni ya wanaume tu ni nani? Wewe ulilazimishwa utumie ID yako? Jibu hoja na siyo kulialia wewe katibu Mwenezi wa mipasho.
 
Mheshimiwa Nnauye Jr usikate tamaa endelea kuimarisha uhai wa chama tawala. Wapinzani wako wanakwenda kwenye uwanja wa mapambano kama "team" ikijumuisha mtendaji mkuu (Katibu Mkuu) na wabunge wao; wewe mbona kama wamekuacha peke yako "Front line"?
 
Last edited by a moderator:
Better them who hide IDs and write sense than you who reveals it and paste stupid non-senses.

I admit, Nape hashauriki, hafundishiki. He doesn't know the tone of writting for a person of his position. He does it as a mediocre FB adolescent.

Can the JF mods create a Childish forum to be called and used by Napes?

Kwa vijana wa CCM Mwigulu is Smart,Mzee Mkama hakukosea aliposema Nape hovyo na akamsifia Mwigulu kwamba ni kijana msikivu.Makama kiasi ingawa naye ni mnafiki
 
nape kwel mipasho unaiweza yaan nimecheka sana the way unavyo deffence hoja zako.
Kutoficha ids au kuficha ids kuna uhusiano gan ktk kutetea ama kujenga hoja?
Mkuu wewe kwel ni katibu mwenezi wa ccm hii ya nyerere?du!inatia mashaka

Ha! ha ha haaaa! Nape amenikumbusha zile ngumi za utotoni za kuchora mstari chini na kumwambia opponent wako "kama wewe ni mwanaume ruka mstari huu tuzipige". Hizo ndizo burudani ya Katibu Mwwenezi wa Chama Tawala. Mtoto kama baba kwa burudani!
 
Back
Top Bottom