Maandamano ya kumtahadharisha Rais yamefanikiwa, tushuke chini zaidi

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,555
41,064
Maandamano yaliyofanyika kwenye majiji yalikuwa ya kumtahadharisha Rais asisaini uchafu uliopo mezani pake kuwa sheria, lakini kumkumbusha pia kuwa huko mtaani watu wanateseka kwa maisha magumu licha ya bidii kubwa wanaoyoifanya kupambania maisha yao. Mateso ya maisha magumu wanayoyapata ni kutokana na sera mbovu za uchumi za CCM, usimamizi mbaya wa taasisi mbalimbali, kodi na tozo kamua damu zilizowekwa na CCM, ufisadi wa viongozi wa serikali ya CCM, na urasimu wa hovyo kwenye shughuli mbalimbali za kibiashara na kiuchumi.

Ili kuondokana na madhira mbalimbali ambayo yametengenezwa na viongozi na watendaji wa CCM, ni lazima kuwepo na mifumo inayoruhusu watu wazuri, wenye uwezo, waadilifu na wenye uchungu na maisha ya wananchi kuweza kuwaongoza wananchi. Hilo nalo limekuwa ni gumu kutokana na sheria mbaya za kishetani zilizowekwa na hawa viongozi wa CCM, ambao kila mara hutengeneza mazingira rahisi ya kuiba kura, kupora uchaguzi na kuwatangaza wagombea wa uchaguzi ambao hawajachaguliwa na mwananchi yeyote kuwa wawakilishi wao, kupitoa sheria takataka za uchaguzi.

Ndiyo maana leo tuna Bunge batili. Ni bunge batili kwa sababu linaundwa na watu waovu waliopora mamlaka ya wananchi kuwachagua watu waowataka. Tuna Waziri Mkuu asiye na kura hata moja ya mwananchi yeyote. Na tuna mawaziri na wabunge rundo ambao hawajachaguliwa na yeyote. Licha ya mahakama kutangaza kuwa watu hao ni batili kuwepo bungemi, lakini bila aibu, wameendelea kubakia Bungeni, na kulifanya Bunge kuwa nyumba ya waovu.

Tahadhari imefikishwa kwa Rais kwa njia ya maandamano kuwa takataka aliyowekewa mezani na Bunge batili, kutaka aisaini kuwa sheria ya uchaguzi, asithubutu kufanya hivyo.

Wito ni kuwa maandamano yashuke ngazi ya mikoa, hatimaye wilaya, mpaka hapo itakapotamkwa kuwa hiyo takataka imeondolewa, na maoni ya wananchi ndiyo yatatengeneza sheria ya uchaguzi.

LAKINI ikitokea Rais akasaini hiyo takataka iliyopitishwa na Bunge batili kuwa sheria, basi maandamano yawe ya nchi nzima, na yasiyo na kikomo, mpaka matakwa ya umma kuhusiana na sheria ya uchaguzi, yatakapopewa uzito unaostahili. Wananchi tusikubali kamwe kupuuzwa wala kudharauliwa, tena na watu ambao ni wawakilishi batili.
 
kumtahadharisha Rais kujizatiti na kujiimarisha zaidi madarakani, kama ni hivyo basi hilo ni Jambo zuri sana aise. Ni uungwana wa kiwango cha juu sana 🐒

Kwakua mmemtahadharisha, atasani kilichopo mezani pake kutoka bungeni kama kilivyo, na nadhani mashirika, vyama vya kisiasa, mashirika ya kidini na kibinafsi yatatoka barabarani kwa maandamano makubwa sana ambayo hayajawahi kutokea humu nchini kumpongeza Rais🐒

Wanawake watampongeza kwa maandamano makubwa sana siku ya Wanawake duniani Marchi 08 na wafanyakazi watampongeza kwa maandamano makubwa zaid Mei Mosi katika siku yao ya wafanyakazi 🐒

kwani kuna Tatizo 🐒
 
Maisha magumu hayajaanzia Kwa samia tuh,hata enzi za jiwe mlikuwa mnasema kwamba vyuma vimekaza,ila hatukuwaona mkiingia barabarani kuandamana,kama kweli nyinyi ni wababe mngeandama zama za yule mwendazake,mmeshasahau mara hii??
 
Vyuma vilikaza ila cash ilikuwa ina flow mitaani.
 
Maandamano yaliyofanyika kwenye majiji yalikuwa ya kumtahadharisha Rais asisaini uchafu uliopo mezani pake kuwa sheria, lakini kumkumbusha pia kuwa huko mtaani watu wanateseka kwa maisha magumu licha ya bidii kubwa wanaoyoifanya kupambania maisha yao. Mateso ya maisha magumu wanayoyapata ni kutokana na sera mbovu za uchumi za CCM, usimamizi mbaya wa taasisi mbalimbali, kodi na tozo kamua damu zilizowekwa na CCM, ufisadi wa viongozi wa serikali ya CCM, na urasimu wa hovyo kwenye shughuli mbalimbali za kibiashara na kiuchumi.

Ili kuondokana na madhira mbalimbali ambayo yametengenezwa na viongozi na watendaji wa CCM, ni lazima kuwepo na mifumo inayoruhusu watu wazuri, wenye uwezo, waadilifu na wenye uchungu na maisha ya wananchi kuweza kuwaongoza wananchi. Hilo nalo limekuwa ni gumu kutokana na sheria mbaya za kishetani zilizowekwa na hawa viongozi wa CCM, ambao kila mara hutengeneza mazingira rahisi ya kuiba kura, kupora uchaguzi na kuwatangaza wagombea wa uchaguzi ambao hawajachaguliwa na mwananchi yeyote kuwa wawakilishi wao, kupitoa sheria takataka za uchaguzi.

Ndiyo maana leo tuna Bunge batili. Ni bunge batili kwa sababu linaundwa na watu waovu waliopora mamlaka ya wananchi kuwachagua watu waowataka. Tuna Waziri Mkuu asiye na kura hata moja ya mwananchi yeyote. Na tuna mawaziri na wabunge rundo ambao hawajachaguliwa na yeyote. Licha ya mahakama kutangaza kuwa watu hao ni batili kuwepo bungemi, lakini bila aibu, wameendelea kubakia Bungeni, na kulifanya Bunge kuwa nyumba ya waovu.

Tahadhari imefikishwa kwa Rais kwa njia ya maandamano kuwa takataka aliyowekewa mezani na Bunge batili, kutaka aisaini kuwa sheria ya uchaguzi, asithubutu kufanya hivyo.

Wito ni kuwa maandamano yashuke ngazi ya mikoa, hatimaye wilaya, mpaka hapo itakapotamkwa kuwa hiyo takataka imeondolewa, na maoni ya wananchi ndiyo yatatengeneza sheria ya uchaguzi.

LAKINI ikitokea Rais akasaini hiyo takataka iliyopitishwa na Bunge batili kuwa sheria, basi maandamano yawe ya nchi nzima, na yasiyo na kikomo, mpaka matakwa ya umma kuhusiana na sheria ya uchaguzi, yatakapopewa uzito unaostahili. Wananchi tusikubali kamwe kupuuzwa wala kudharauliwa, tena na watu ambao ni wawakilishi batili.
Uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka huu utakuwa na vurugu sana!!
 
Acheni porojo zenu.miswaada itasainiwa na Mheshimiwa Rais ili iwe sheria na kuanza kutumika.maana wananchi wameona kilichopitishwa na bunge kimekata kiu yao waliyokuwa nayo ,lakini pia wananchi hawapo tayari kuunga mkono mapendekezo ya kijinga ya CHADEMA yaliyokuwa yanapendekeza uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo jambo ambalo lingeongeza mzigo wa gharama kwa mtanzania mlipa kodi.
 
Naunga mkono hoja.
 
Wasipokusikia na chapisho hili, labda wana mpango wa kutuletea machafuko na wao wakwapue fedha benki wakimbilie wanako kimbilia na maburungutu ya visandalusi vya fedha.
 
kumtahadharisha Rais kujizatiti na kujiimarisha zaidi madarakani, kama ni hivyo basi hilo ni Jambo zuri sana aise. Ni uungwana wa kiwango cha juu sana

Kwakua mmemtahadharisha, atasani kilichopo mezani pake kutoka bungeni kama kilivyo, na nadhani mashirika, vyama vya kisiasa, mashirika ya kidini na kibinafsi yatatoka barabarani kwa maandamano makubwa sana ambayo hayajawahi kutokea humu nchini kumpongeza Rais

Wanawake watampongeza kwa maandamano makubwa sana siku ya Wanawake duniani Marchi 08 na wafanyakazi watampongeza kwa maandamano makubwa zaid Mei Mosi katika siku yao ya wafanyakazi

kwani kuna Tatizo
 
Acheni porojo zenu.miswaada itasainiwa na Mheshimiwa Rais ili iwe sheria na kuanza kutumika.maana wananchi wameona kilichopitishwa na bunge kimekata kiu yao waliyokuwa nayo ,lakini pia wananchi hawapo tayari kuunga mkono mapendekezo ya kijinga ya CHADEMA yaliyokuwa yanapendekeza uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo jambo ambalo lingeongeza mzigo wa gharama kwa mtanzania mlipa kodi.
Tumechagua kukupuuza huna akili hata hio familia yako sijui unaileaje
 
Maandamano yaliyofanyika kwenye majiji yalikuwa ya kumtahadharisha Rais asisaini uchafu uliopo mezani pake kuwa sheria, lakini kumkumbusha pia kuwa huko mtaani watu wanateseka kwa maisha magumu licha ya bidii kubwa wanaoyoifanya kupambania maisha yao. Mateso ya maisha magumu wanayoyapata ni kutokana na sera mbovu za uchumi za CCM, usimamizi mbaya wa taasisi mbalimbali, kodi na tozo kamua damu zilizowekwa na CCM, ufisadi wa viongozi wa serikali ya CCM, na urasimu wa hovyo kwenye shughuli mbalimbali za kibiashara na kiuchumi.

Ili kuondokana na madhira mbalimbali ambayo yametengenezwa na viongozi na watendaji wa CCM, ni lazima kuwepo na mifumo inayoruhusu watu wazuri, wenye uwezo, waadilifu na wenye uchungu na maisha ya wananchi kuweza kuwaongoza wananchi. Hilo nalo limekuwa ni gumu kutokana na sheria mbaya za kishetani zilizowekwa na hawa viongozi wa CCM, ambao kila mara hutengeneza mazingira rahisi ya kuiba kura, kupora uchaguzi na kuwatangaza wagombea wa uchaguzi ambao hawajachaguliwa na mwananchi yeyote kuwa wawakilishi wao, kupitoa sheria takataka za uchaguzi.

Ndiyo maana leo tuna Bunge batili. Ni bunge batili kwa sababu linaundwa na watu waovu waliopora mamlaka ya wananchi kuwachagua watu waowataka. Tuna Waziri Mkuu asiye na kura hata moja ya mwananchi yeyote. Na tuna mawaziri na wabunge rundo ambao hawajachaguliwa na yeyote. Licha ya mahakama kutangaza kuwa watu hao ni batili kuwepo bungemi, lakini bila aibu, wameendelea kubakia Bungeni, na kulifanya Bunge kuwa nyumba ya waovu.

Tahadhari imefikishwa kwa Rais kwa njia ya maandamano kuwa takataka aliyowekewa mezani na Bunge batili, kutaka aisaini kuwa sheria ya uchaguzi, asithubutu kufanya hivyo.

Wito ni kuwa maandamano yashuke ngazi ya mikoa, hatimaye wilaya, mpaka hapo itakapotamkwa kuwa hiyo takataka imeondolewa, na maoni ya wananchi ndiyo yatatengeneza sheria ya uchaguzi.

LAKINI ikitokea Rais akasaini hiyo takataka iliyopitishwa na Bunge batili kuwa sheria, basi maandamano yawe ya nchi nzima, na yasiyo na kikomo, mpaka matakwa ya umma kuhusiana na sheria ya uchaguzi, yatakapopewa uzito unaostahili. Wananchi tusikubali kamwe kupuuzwa wala kudharauliwa, tena na watu ambao ni wawakilishi batili.
Na wasimdanganye kwamba waliokuwa kwenye maandamano wamekusanywa kutoka mikoa mbalimbali kama wafanyavyo wao ccm,itakuwa wamemdanganya sana Tena sana.
 
Siku mkianzisha armed struggle mtanishitua niungane nanyi sio haya matembezi ya hisani yanayo endelea.
 
Maandamano yaliyofanyika kwenye majiji yalikuwa ya kumtahadharisha Rais asisaini uchafu uliopo mezani pake kuwa sheria, lakini kumkumbusha pia kuwa huko mtaani watu wanateseka kwa maisha magumu licha ya bidii kubwa wanaoyoifanya kupambania maisha yao. Mateso ya maisha magumu wanayoyapata ni kutokana na sera mbovu za uchumi za CCM, usimamizi mbaya wa taasisi mbalimbali, kodi na tozo kamua damu zilizowekwa na CCM, ufisadi wa viongozi wa serikali ya CCM, na urasimu wa hovyo kwenye shughuli mbalimbali za kibiashara na kiuchumi.

Ili kuondokana na madhira mbalimbali ambayo yametengenezwa na viongozi na watendaji wa CCM, ni lazima kuwepo na mifumo inayoruhusu watu wazuri, wenye uwezo, waadilifu na wenye uchungu na maisha ya wananchi kuweza kuwaongoza wananchi. Hilo nalo limekuwa ni gumu kutokana na sheria mbaya za kishetani zilizowekwa na hawa viongozi wa CCM, ambao kila mara hutengeneza mazingira rahisi ya kuiba kura, kupora uchaguzi na kuwatangaza wagombea wa uchaguzi ambao hawajachaguliwa na mwananchi yeyote kuwa wawakilishi wao, kupitoa sheria takataka za uchaguzi.

Ndiyo maana leo tuna Bunge batili. Ni bunge batili kwa sababu linaundwa na watu waovu waliopora mamlaka ya wananchi kuwachagua watu waowataka. Tuna Waziri Mkuu asiye na kura hata moja ya mwananchi yeyote. Na tuna mawaziri na wabunge rundo ambao hawajachaguliwa na yeyote. Licha ya mahakama kutangaza kuwa watu hao ni batili kuwepo bungemi, lakini bila aibu, wameendelea kubakia Bungeni, na kulifanya Bunge kuwa nyumba ya waovu.

Tahadhari imefikishwa kwa Rais kwa njia ya maandamano kuwa takataka aliyowekewa mezani na Bunge batili, kutaka aisaini kuwa sheria ya uchaguzi, asithubutu kufanya hivyo.

Wito ni kuwa maandamano yashuke ngazi ya mikoa, hatimaye wilaya, mpaka hapo itakapotamkwa kuwa hiyo takataka imeondolewa, na maoni ya wananchi ndiyo yatatengeneza sheria ya uchaguzi.

LAKINI ikitokea Rais akasaini hiyo takataka iliyopitishwa na Bunge batili kuwa sheria, basi maandamano yawe ya nchi nzima, na yasiyo na kikomo, mpaka matakwa ya umma kuhusiana na sheria ya uchaguzi, yatakapopewa uzito unaostahili. Wananchi tusikubali kamwe kupuuzwa wala kudharauliwa, tena na watu ambao ni wawakilishi batili.
Kwa hakika maisha mtaani ni magumu, hata afya za raia zimedhoofu.
 
kumtahadharisha Rais kujizatiti na kujiimarisha zaidi madarakani, kama ni hivyo basi hilo ni Jambo zuri sana aise. Ni uungwana wa kiwango cha juu sana

Kwakua mmemtahadharisha, atasani kilichopo mezani pake kutoka bungeni kama kilivyo, na nadhani mashirika, vyama vya kisiasa, mashirika ya kidini na kibinafsi yatatoka barabarani kwa maandamano makubwa sana ambayo hayajawahi kutokea humu nchini kumpongeza Rais

Wanawake watampongeza kwa maandamano makubwa sana siku ya Wanawake duniani Marchi 08 na wafanyakazi watampongeza kwa maandamano makubwa zaid Mei Mosi katika siku yao ya wafanyakazi

kwani kuna Tatizo

Mashirika ya dini hawana ubia kwenye uovu wa CCM, ndiyo maana walitoa maoni yanayofanana kabisa na Watanzania wenye akili timamu na wanaolipenda Taifa.

Maoni ya mashirika ya dini na ya Watanzania wenye akili timamu na wanaolipenda Taifa, yamepuuzwa. Yakapitishwa matakwa ya majitu majizi yasiyopenda haki.

Ondoa kabisa mashirika ya dini kwenye orodha ya wanaoweza kumpongeza Rais katika kusaini huo uchafu uliopelekwa na bunge haramu mezani kwa Rais.
 
Back
Top Bottom