Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Too Low ... Bro fanya vitu vya msingi, uchumi unaporomoka, ajira hakuna, gharama za maisha zinazidi kupanda.. Sekta ya afya hovyo, elimu hovyo almost kila kitu hovyo hovyo.. We unahangaika na kujikosha kwa wingi wa watu???

Leteni maendeleo kwa watu, acheni ufisadi, fateni utawala wa sheria, futeni viti maalum, ondoeni upendeleo, futeni ukuu wa wilaya na mikoa, wekezeni katika elimu na afya, lindeni raslimali.. Tutawaunga Mkono, ila kama mtaendelea kutukandamiza, na sisi tutawasagasaga, wananchi tuna hasira. Maneno kama haya hayafai kwa mtu kama wewe. All the best
 
Aaah afadhali we umesema ukweli! M4C ni kwa ajili ya kukusanya chenji ya walalahoi. Inasikitisha kuwa hamuwaonei huruma watu wanahangaika kujitafutia kipato nyie mwaja kukusanya vijisenti vyao! Wizi mkubwa.
ni kweli mkuu maana maisha yalivyo magumu chini ya uongozi wenu tuna taabu mno. ila kumbuka kuwa kila mtu anatoa kwa hiyari yake yaani kwa moyo wa kupenda mabadiliko chini ya M4C
 
  • Thanks
Reactions: ral
Anayejiamini aingie hapa
kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo
maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!!
Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza
muda!

Aa waapi! huna mbongo huna tu..mbona Lowassa unamfahamu na mko chama kimoja umemshindwa?
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Okey! Embu tuongee mambo ya msingi. Hivi swala la chama kujivua gamba kwa EL na CH limeishia wapi?
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!
Wana bodi Hebu nihakikishieni huyu ni Nape Yule kiongozi wa juu ndani ya ccm. Nimeapa Kama ni yeye ccm ni marehemu anajibu Kama mtoto anayejifunza kuongea! Mtu alitaja hata neno ccm nyumban kwangu nitammaliza
 
Hivi Nape umejuaje kuwa aliyeleta picha hizo ni Mwanachadema? Mbona umeirukia CDM hivyo? inakunyima usingizi siyo?
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Mimi najiamini lakini tatitiza ni li chama lako liko madarakani limezoea kukolimba watu 2015 naingia na jina langu rasmi
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!
Mkuu Nauye Jr. katika wana CCM wewe ni mmoja wa kuheshimiwa sana. You have to demonstrate political maturity and tolerance. Kumuita Dr. Slaa (Dr wa ukweli) kuwa ni feki, ni ku-stoop too low for your caliber. shape up man! dignify your self by what you do and say!
 
Nape ni mpiganaji na mtu wa propaganda za CCCCCM aliyebaki,najaribu kumfananisha na yule waziri wa habari wa serikali ya Sadam Hussein wakati wa vita vilivyomuondoa madarakani Sadam Hussein.Yule waziri alikuwa anaitwa Mohammed Saeed Al-Sahaf,huyu jamaa alikanusha kuingia kwa majeshi ya marekani katika jiji la Baghdad,ingawa alijua fika majeshi ya marekani yalikua umbali wa kilometa 3 kutoka alipokua akitoa matangazo.Jamani Nape anajua ukweli,yupo kwenye ajira,tusitarajia ukweli kutoka kwake,sisi wenyewe tumeshuhudia ukweli wa kufa kwa CCCCCM,hakuna mtu wa kutudanganya tena.
CCCCCCM umejikwaa na kuanguka,hautaweza kusima tena na kutembea kama ilivyokuwa kawaida yako,isalimie KANU,iambie sisi tunaendelea na maisha.
 
Aaah afadhali we umesema ukweli! M4C ni kwa ajili ya kukusanya chenji ya walalahoi. Inasikitisha kuwa hamuwaonei huruma watu wanahangaika kujitafutia kipato nyie mwaja kukusanya vijisenti vyao! Wizi mkubwa.

NYIE MLIOCHUKUA ZA EPA NA MTU ANAYECHUKUA ZA WALALA HOI NANI MWIZI KWA MAANA YAKO MISIKITI NA MAKANISA NAO NI WEZI

UOTE=Daudi mchambuzi;4001293]
Nnauye Jr a.k.a nape hebu jaribu kuongea kama katibu muenezi.
The way you sound ni kama wale kina mama wanaoimba mipasho.
Wakati wewe unapita kugawa pesa kwa wapiga kura kwa nia ya kukwamisha mageuzi, chadema wanapita kukusanya pesa za michango ya kusaidia mageuzi, hebu ona iyo tofauti kati ya kichwa maji na werevu.
Hebu re-think namna ya kukabiliana na werevu bwana nape.[/QUOTE][/QUOTE]
 
Hivi Nape utakua lini uanze kuongea kwa hekima kama kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala? Mtu wa hadhi yako hapaswi kumwita Slaa kuwa ni Dr feki. Huko ni kukosa hekima. Maneno ya aina hiyo unapaswa kuyaacha yasemwe na akina Rejao, Mafilili, Faiza Fox nk. Wewe unapoongea ndo taswira ya ccm. Unapoongea pumba unakidhalilisha chama chako. Acha huo utoto. Jenga tasira nzuri ya chama tawala. Hiyo misemo ya kishambenga waachie kima Malalia Sugu.
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Daaah! Kaka hapa sasa ndo ulipolikoroga kabsaa.. Yaani huna hoja hata kidogo.. Ulishaambiwa kuwepo CCM ni utaahira, naona sasa inajidhihirisha.. We siku zote unajua JF tunatumia Fake IDs leo umezidiwa hoja ndo unaomba tu'reveal IDs zetu.. Siku zote ulikuwa wapi? Hapa sio facebook pa kuuza sura mjomba, hapa ni kufikiri zaidi na kuuza hoja.. Sio kupga pcha na kinadada na kuzipost ili watu wa'like. Hatuna hyo, labda we junior member umekosea, rudi fb! Hapa huwezi..

Ila hata FB ambapo sura zetu zipo huwa huwezi kujibu hoja. Mimi ni kati ya watu ambao kila siku hucomment on ur shallow posts.. Sasa kule 90% ya wanaokomenti huwa wanakucriticize..

Kimsingi kaka huwezi kujenga hoja mbele ya waelewa na wasomi.. Nadhani umepewa hyo nafasi coz unaweza mipasho kama bosi wako au kiimla kama kawa (Nnauye Sr.) na wewe ndo unachangia kuiua NyiNyiEm yenu, kwa kutojua uongee nini, muda gani na mahala gani, unaishia kushndana na CDM yenye mtandao mkubwa mioyoni mwa watu. Huwa unaanzisha jambo halafu huwezi kulitetea au kulisimamia kimantiki, hvyo unakosa sifa ya uongozi. Jitambue kaka JK anakutumia kama chambo kuangamiza mtandao wa Lowasa ambao yeye mwenyewe umemshnda, na wewe umeshakushnda.. Kwa taarifa tu kidogo, hivi sasa kutoka upinzani EL ndo anakubalika, yaani CCM wamteue awe mgombea urais apambane na CDM.. Na nakuhakikishia mtamteua tu by any means.. Na ikitokea bahati mbaya akaukwa urais, wewe na JK mtahama nchi!

So kaka jipange, jiheshmu.. Japo kutetea CCM ni ngumu kwa sasa, lakn wewe kwa kuwa umeanza basi malizia, au kama unaona soo huna hoja za msingi tumia anonymous kama Ritz, Rejao, Waberoya, Tume ya katiba, Judi wa Kishua na mapunguani wengne ambao wamekukimbia kwenye huu uzi wako.. Pia stop calling Dr.Slaa fake Dokta, huwezi lingnisha degree zake na honorary degree ya JK, aliyopewa kwa kubwabwaja.

Mbumbumbu intelligent.
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu

Somo la 1.Nami nakupa darasa kama kaka yako. Nasema hivi, nenda ukamwangukie Mzee Makamba. Kwani alifanya vibaya kuusimamia msiba wa Mzee wetu Nnauye Senior? Kabla ya kuleta sadaka madhabauni, kapatane na mwenzako.

Somo la 2. Nape punguza mlo. Utaugua magonjwa ya moyo ukiwa bado kichanga. Mzee wako angekuwa mlafi kama wewe asingeufikia umri aliokufa nao. Ukipewa zawadi huko mikoani zikatae au wagawie wahitaji walio katika eneo hilo. Mzee wako alisifika Uganda kwa kuwafunda wanajeshi wenzie wasipore mali za Waganda; ila wewe naona uko tofauti kabisa.
 
Duh mh Nape bajeti ya kuwalipa watetezi wako imekata au?au umeshtuka kuwa ni wanafiki?hapa simuoni mafilili,kiboko yenu,rejao wala ma fox,unapambana peke yako mkuu!!sio dalili nzuri ninayoiona upande wako.
 
Aaah afadhali we umesema ukweli! M4C ni kwa ajili ya kukusanya chenji ya walalahoi. Inasikitisha kuwa hamuwaonei huruma watu wanahangaika kujitafutia kipato nyie mwaja kukusanya vijisenti vyao! Wizi mkubwa

masikini hapo kwenye red, nakuonea huruma sana maaana hujui unaloliongea. Tatizo lenu mnafikili kwa kutumia masabuli, mnaongea kwa kutumia lusinde.
 
Hahahaa! KUJIDANGANYA WENYEWE NA KUJARIBU KUWADANGANYA WAFADHILI WENU NI SIFA HALISI YA VYAMA VYA WANA HARAKATI.... NA HASA BAADA YA KUONA KUWA UONGO WA MWANZO UNAKOSA MASHIKO. OOOH CCM IMEKUFA!!!NIMEINGIA SONGEA WENYEWE MMEFYATA MKIA KWA MSHANGAO JINSI WATU WALIVYOJITOKEZA MKUTANONI, HALAFU HAKUNA MATUSI SERA TU.MKAWA MNADANGANYA WATU MNAYO NJOMBE YOTE, MKUTANO WA JANA NJOMBE UMEWAUMBUWA SANA SANA.MMEBAKI NA DUA LA KUKU, POLENI SANA.NARUDIA SIWASHANGAI KWANI NDIO TABIA YA VYAMA VYA WANAHARAKATI.UOTE=Candid Scope;4001152]
3.JPG
03.jpg
Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
[/QUOTE]Nape, wenzio wametoa na picha kuonyesha hali halisi. Na wewe tuwekee picha zaidi ya hizo tatu za kwao ili tukuamini kwamba ulikuwa na Nyomi la kutisha na si hao chekechea na hao ambao wanalingana na idadi ya bemdera.
 
Aaah afadhali we umesema ukweli! M4C ni kwa ajili ya kukusanya chenji ya walalahoi. Inasikitisha kuwa hamuwaonei huruma watu wanahangaika kujitafutia kipato nyie mwaja kukusanya vijisenti vyao! Wizi mkubwa.

UOTE=Daudi mchambuzi;4001293]
Nnauye Jr a.k.a nape hebu jaribu kuongea kama katibu muenezi.
The way you sound ni kama wale kina mama wanaoimba mipasho.
Wakati wewe unapita kugawa pesa kwa wapiga kura kwa nia ya kukwamisha mageuzi, chadema wanapita kukusanya pesa za michango ya kusaidia mageuzi, hebu ona iyo tofauti kati ya kichwa maji na werevu.
Hebu re-think namna ya kukabiliana na werevu bwana nape.[/QUOTE][/QUOTE]

Dah!!! usingesema hivi bana.
Weka hoja za msingi bana alafu kubali ukweli usipende kupinga kila kitu eti kwasababu kimesemwa na Chadema, kama haujui siri kwasasa hivi Unatakiwa uende sawa na chadema sio mkizidi chadema tafuteni kwenda sawa ndio chance iliyobaki kukizidi hamwezi its too late.
So hoya utakazo leta ziwe za kuwateka watu kisaikolojia ili wakuonee huruma vinginevyo game ni gumu.
Sana maana sasa hv vijijini naona ndio kumekucha sasa.
 
kizuri hakìhitaji kujiuza,kibaya lazima kijiuze, cdm jitahidini lakini ukabila na ukanda WENU utawafanya mfe kifo cha kawaida tu. Wapi nccr ya mrema.
 
Back
Top Bottom