umeona enhee MMM..swali, kazi, jibu kwa cuf na ccm...akiachia ngazi, watatekeleza vipi matakwa ya katiba mpya waliyopitisha?
samahani mkuu, sisi tunabishana kule, eti wewe ndio maggid mjengwa?akiachia ngazi, watatekeleza vipi matakwa ya katiba mpya waliyopitisha?
Nadhani hat srekali itakuwa MUflisi/Void itabidi warudi kwenye uchaguziakiachia ngazi, watatekeleza vipi matakwa ya katiba mpya waliyopitisha?
Majid mjengwa hajafikia uwezo wa mwanakijiji.Haja maandiko yake mengi anatumia notisi za mkjj.Eg.Makala yake ya kambona.samahani mkuu, sisi tunabishana kule, eti wewe ndio maggid mjengwa?