Maalim seif kuachia ngazi?

hakutakiwa kujiunga na ccm kabisa-sema kwa kuwa ni power monger-akaingiza interest zake hapo undercover of serikali ya umoja wa kitaifa-
For two opposing parties to work together-one must bring itself to its knees-and that is where the problems begin
 
kuna taarifa zisizo rasmi kuwa maalim seif amekuwa akitofautiana kwa kiwango kikibwa na serikali ya ccm
habari zilizotufikia zinasema maalim seif ameshauriwa na chama chake kuachia ngazi kwenye serikali mara moja
Acha unafiki wewe,nyie ndo wale mulokuja kuangusha vipeperushi eti waziri Mansour ajiuzulu,hahahahha yagujuuuu letu moja hapa zanzibar
 
Mtoa taarifa ni muongo na mnafik. Tupe souse. Muongo mkubwa wewe. Ulaaniwe, Wazanzibari wako kitu kimoja. Hatudanganyiki.
 
Kusema kweli nililitarajia hilo na nimekuwa nikiomba iwe hivyo, kwani serikal iliyokuwa haina upinzania sijui tuiiteje. Angelifanya kama vile alivyofanya F. W. de Klerk katika serikali ya Mandela. Wasiwasi wangu ni kama walivyosema wengine, yule balahau ni mpenda vyeo na nina imani kama walivyo magamba wengi, atahiari kufa kwenye mlo kama inzi (sio nyuki enh, nyuki ni ambaye angalau anatoa asali, lakini kinyesi tu).
 
We Maalim hawezi kuacha kunywa whisky Ikulu! hizi ni ndoto za Alinacha kufikiria ati atajiuzulu!
 
Tatizo la viongozi wetu ni NJAA hawapo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi, wapo kwa ajili ya kutumikia MATUMBO yao!
 
hi cuf ni maalim na lipumba tuuu?, mmeshakufa, 2015 mnazikwa kabisa!, byee!

@kujiuzuru maalim hawezi, ndoa yake na Philip Mangula waliyofungia ughaibuni bado iko fiti!, Mwambie maalim avumilie, kutofautiana mume na mke ni kawaida tu!
 
kuna taarifa zisizo rasmi kuwa maalim seif amekuwa akitofautiana kwa kiwango kikibwa na serikali ya ccm
habari zilizotufikia zinasema maalim seif ameshauriwa na chama chake kuachia ngazi kwenye serikali mara moja

Hivi hiyo ni serikali ya CCM au ya umoja wa kitaifa? Si watumie taratibu za kumuondoa Rais kama ana-abuse kiti chake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom