OOps! Na mimi naomba nihabarishwe please I will be there! Unajua huwa natumia muda wangu weekend kuhamasisha watu so itakuwa vizuri kama nikihudhuria mkutano nione kama kazi ninayoifanya kupita mitaani na kutumia simu inafanikiwa kwa kiasi. Tuna vikundi vyetu hapa Tabata kimanga tunahamasishana sana kila weekend na wakati wa jioni baada ya kurudi kazini. Pia huwa tunapanga mikakati na kuona ni kwa jinsi gani tunaweza kuwahamasisha watu tunapokwenda likizo vijijini. Watu wa kijijini kwangu Mtwara walikuwa wagumu sana kuondoka ccm ila kwa sasa napata unafuu baada ya kupokea massage nyingi kwamba wengi wamehamia CHADEMA. Ila Mungu ni mwema tutasaidiana kwa kila njia tuone ni kwa jinsi gani tutaing'oa ccm. Yaani sitaki kuisikia tena tumechoshwa jamani wanyama, madini na kila kitu kimehujumiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.