Kwa wale wa mikoani, ukija Dar ni sehemu gani piga ua lazima uende?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,821
Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali. Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:-

1. Tabata Magengeni
2. Kimara Korogwe-Tabata Kimanga
3. Tabata kimanga-Ubungo Riverside via Jeshini Road
4. Kariakoo(hii angalau kila mtu)
5. Mbezi Makonde
6. Kivule

Hio ndo mitaa ambayo nina masela wengi wa kutulia nao mitaa mingine siielewi

Je, wewe lazima ukasaini wapi iwe umekuja kikazi,kibinafsi au kwa dharura?
 
Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali.Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:-
1.Tabata Magengeni
2.kimara korogwe-Tabata kimanga
3.tabata kimanga-Ubungo riverside via jeshini road
4.kariakoo(hii angalau kila mtu)
5.mbezi Makonde
6.kivule
Hio ndo mitaa ambayo nina masela wengi wa kutulia nao mitaa mingine siielewi
Je wewe lazima ukasaini wapi iwe umekuja kikazi,kibinafsi au kwa dharura?
fortyforty trabatra bima rakini pia zhakiem bar na pale zhakiem uwanjani kwenye vitrimotro vya haja aisee...🐒
 
Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali. Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:-

1. Tabata Magengeni
2. Kimara Korogwe-Tabata Kimanga
3. Tabata kimanga-Ubungo Riverside via Jeshini Road
4. Kariakoo(hii angalau kila mtu)
5. Mbezi Makonde
6. Kivule

Hio ndo mitaa ambayo nina masela wengi wa kutulia nao mitaa mingine siielewi

Je, wewe lazima ukasaini wapi iwe umekuja kikazi,kibinafsi au kwa dharura?
Dar ni mkoa! Ni kubwa mno na kote kumejengeka hakuna mapoli. Jaribu kuwaza mkoa wako wenye wilaya kibao alafu zimeunganishwa kwa majengo! Ndivyo ilivyo Dar! Na kila wilaya zina viunga vya miji na mitaa iliyojengeka na watu wanaendesha maisha yao kivyao. Kwa mfano mimi nimekaa Dar miaka zaidi ya 40 wilaya ya Kinondoni, lakini sijawahi kwenda Mbagara! Kwahiyo mbagara sikujui na sijui kama nitakuja kwenda kwasababu sina issue ya kunipeleka kule kila kitu nakipata ndani ya wilaya ya kinondoni na wilaya ya ilala!
 
Back
Top Bottom