KERO Kero ya maji Tabata Kimanga

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

DustBin

JF-Expert Member
Jun 3, 2021
544
558
Wakazi wa Tabata Kimanga mtaa wa Mandela Juu hii ni wiki ya tatu mabomba yanaota kutu. Tatizo ni nini?? Ukame au maji yametibuka??
 
Watu wamebaki kusema mama anaupiga mwingi.
Watu wanashindwa hata kupata maji safi ya kunywa, kuoga na kuchambia.

Halafu msafara wa kiongozi mmoja unakuwa na gari mpya za kisasa zaidi ya 50.
Nchi ngumu sana hii.
Poleni sana wiki zote 3 na joto la DAR kweli mnadinyana au mnanuka jasho na shombo la sperm tu.??
 
Wakazi wa Tabata Kimanga mtaa wa Mandela Juu hii ni wiki ya tatu mabomba yanaota kutu. Tatizo ni nini?? Ukame au maji yametibuka??
Sio kwenu tu maeneo mengi maji yanasumbua sana
Dawasco wanadai umeme ni mdogo hauwezi kusukuma maji maeneo ya milimani
 
Back
Top Bottom