M4C tabata kimanga ni saa ngapi??

Makirita Amani

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,781
3,070
kwa wale wanaojua mkutano wa lema wa leo utakao fanyika tabata kimanga ni saa ngapi naomba watupe taarifa.
 
OOps! Na mimi naomba nihabarishwe please I will be there! Unajua huwa natumia muda wangu weekend kuhamasisha watu so itakuwa vizuri kama nikihudhuria mkutano nione kama kazi ninayoifanya kupita mitaani na kutumia simu inafanikiwa kwa kiasi. Tuna vikundi vyetu hapa Tabata kimanga tunahamasishana sana kila weekend na wakati wa jioni baada ya kurudi kazini. Pia huwa tunapanga mikakati na kuona ni kwa jinsi gani tunaweza kuwahamasisha watu tunapokwenda likizo vijijini. Watu wa kijijini kwangu Mtwara walikuwa wagumu sana kuondoka ccm ila kwa sasa napata unafuu baada ya kupokea massage nyingi kwamba wengi wamehamia CHADEMA. Ila Mungu ni mwema tutasaidiana kwa kila njia tuone ni kwa jinsi gani tutaing'oa ccm. Yaani sitaki kuisikia tena tumechoshwa jamani wanyama, madini na kila kitu kimehujumiwa
 
Nipo kimanga uongozi wa kitaifa hawajafika.eneo sio Zuri yn ni padogo sana.peoples power
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom