Tundu Lissu kama Shujaa Magufuli, atembelea Vijiwe Vya Tabata na Buguruni kisha kafanya Mkutano mkubwa Vingunguti!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,029
142,090
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu leo amekutana na Wananchi Katika Vijiwe Vya Tabata Mwananchi, Kimanga, Umoja na Buguruni kwa Mnyamani

Baada ya Kubadilishana Mawazo na Wananchi kwenye Vijiwe hivyo alielekea Viwanja Vya Vingunguti ambako alifanya mkutano mkubwa sana

Mlale Unono 😀
 
Rais bora
Acha kumfananisha Rais bora tuliyewahi kumpata na vitu vya kijinga
Rais bora ni Magufuli? We ni bwege kweli. Yule marehemu wenu alikuwa fisadi mshamba. Mabilioni yalikutwa nyumbani kwake baada ya kufa, mengine yalikutwa China. Uwanja wa ndege wa Chato una kazi gani, kuanikia dagaa. Magu hafikii hata robo ya Lissu kwa akili. Aliwapumbaza mazuzu km wewe
 
Yule jiwe mwendawzimu, mshamba, muuaji , mtekaji na mporaji ndiyo unamlinganisha na gwiji la sheria Tundu Antipas Mughwai Lisu??
Sasa kwa nini twende mbali kote huko (kuzimu) kufananisha, wakati yupo Samia akipumua. Naona 'chawa' wengi wapo kule kwenye mada ya "dharura" iliyoanzishwa na mkuu wa "machawa"Lucas.

Mi nasema Samia haingii hata robo ya Lissu kwa lolote unalotaka kuwapima katika ubora wa uongozi.; na hasa katika maswala ya uzalendo wa nchi hii. Samia hana chochote kinachomsukuma kuwatumikia waTanzania, mbali ya kujinufaisha yeye na wenzake.
 
Yule jiwe mwendawzimu, mshamba, muuaji , mtekaji na mporaji ndiyo unamlinganisha na gwiji la sheria Tundu Antipas Mughwai Lisu??
Naanzaje kumfananisha au achilia mbali kumlinganisha True Son of Africa na kuwadi wa Soko huria alietupiga fix tutashtakiwa MIGA, muacheni Chuma apumzike yule ni akili kubwaz sio wakubwabwaja
 
Back
Top Bottom