KERO: Barabara Tabata Kimanga

Insidious

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
608
837
Habari,

Straight to the point, hii barabara imekua ni kero na chanzo cha fedha kwa wajenzi wa barabara hio kwani wamekuwa wakifanya spot rehabilitation tu.

Kila inyeshapo mvua mashimo yanarudi, hivi sasa ninavyoongea barabara hii kuanzia tabata bima-mawenzi hadi kimanga mwisho unachagua shimo au mashimo ya kuingia ili uendelee na safari yako.

Hii sio sawa, barabara hii itengenezwe kwa kiwango husika na kinachostahili.

Fun Fact; mbunge wa jimbo hili kashaleta mawaziri watatu ndani ya mwaka mmoja kutuhadaa kwamba njia hii itatengenezwa.

Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom