yupi mchungaji au yule aliyekimbia kutoka CUF, baada ya uchaguzi akipigwa chini atachukua hamsini zake...yuko njiani kurudi ccm...kanyaboa hilo..
This message is hidden because Tumain is on your ignore list.
View Post
Remove user from ignore list
yupi mchungaji au yule aliyekimbia kutoka CUF, baada ya uchaguzi akipigwa chini atachukua hamsini zake...yuko njiani kurudi ccm...kanyaboa hilo..
Waheshimiwa tupo bkb,ndg mbunge anazindua viwanja vya kashai.watu wameshajaa.naendelea kuwaletea hii live
yupi mchungaji au yule aliyekimbia kutoka CUF, baada ya uchaguzi akipigwa chini atachukua hamsini zake...yuko njiani kurudi ccm...kanyaboa hilo..
Huo uwanja wa ndege wa Bukoba walishindwa nini kuupeleka nje ya mji mpaka waupanue katikati ya makazi ya watu?Sasa katibu wa mkoa anaeleza watu juu ya falsafa na itikadi na sera za chadema.sasa anaimbisha watu PEOPLES POWER! Wanaitikia na wengine wanasimama badala ya kunyoosha mikono.naona waandishi wawili hawana utambulisho,na wapiga picha.anaongelea kero ya matengenezo ya uwanja wa ndege.watu wanashangilia.