Elections 2010 Lwakatare azindua kampeni Bukoba Mjini

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Waheshimiwa tupo bkb,ndg mbunge anazindua viwanja vya kashai.watu wameshajaa.naendelea kuwaletea hii live
 
yupi mchungaji au yule aliyekimbia kutoka CUF, baada ya uchaguzi akipigwa chini atachukua hamsini zake...yuko njiani kurudi ccm...kanyaboa hilo..

Ha ha haaa! Mwaka huu si mchezo ati!

Vipi shekhe Tumain, "kafu" yenu kule bukoba? Duni alikuwako kule majuzi.
 
Ahsante mkuu!! Hongera kwa kutupa live kutoka bkb. Naamini hutakata matangazo kama TBC.
Big up
 
yupi mchungaji au yule aliyekimbia kutoka CUF, baada ya uchaguzi akipigwa chini atachukua hamsini zake...yuko njiani kurudi ccm...kanyaboa hilo..

.
Mbona Cuf kama chama huko Zenj walirudi ccm. Si ni afadhali huyu hata kama kahama chama ambayo pia ni haki yake bado yupo upinzani? Tumain bana...
 
Sasa hivi anaongea mwenyekiti wa chadema wilaya juu ya kauli za kagasheki kuwa ameleta adabu kwenye jimbo.pia anakumbushia madhila waliyopata wana bkb kwa sababu ya kuchagua upinzani. Anamlipua mbunge wa nkenge aliyepita wa nkenge kamala kwa ufisadi katika mfuko wa jimbo.
 
Sasa katibu wa mkoa anaeleza watu juu ya falsafa na itikadi na sera za chadema.sasa anaimbisha watu PEOPLES POWER! Wanaitikia na wengine wanasimama badala ya kunyoosha mikono.naona waandishi wawili hawana utambulisho,na wapiga picha.anaongelea kero ya matengenezo ya uwanja wa ndege.watu wanashangilia.
 
Sasa katibu wa mkoa anaeleza watu juu ya falsafa na itikadi na sera za chadema.sasa anaimbisha watu PEOPLES POWER! Wanaitikia na wengine wanasimama badala ya kunyoosha mikono.naona waandishi wawili hawana utambulisho,na wapiga picha.anaongelea kero ya matengenezo ya uwanja wa ndege.watu wanashangilia.
Huo uwanja wa ndege wa Bukoba walishindwa nini kuupeleka nje ya mji mpaka waupanue katikati ya makazi ya watu?
 
Ndiyo sera za ccm hizo.na ndiyo maana wameshangilia kwa kejeli.yaani wanapasua mawe kwa baruti watu hawasikii tena,kwani masikio yamepasuka,nyumba zinapasuka na hakuna fidia,njia ya mkato kwenda kashai imefungwa,sasa unazunguka mbali sana.yaani ni wizi mtupu.
 
Siwezi kuweka picha hapa,sina vifaa stahiki. Ila watu ni wengi sana uwanja umejaa na watu wanahamasa kweli.lwakatare anaongea kwa hisia kuna mtu amechana mwenyewe kadi ya ccm na mwingine amerejesha kadi ya ccm,na naöna anapewa vazi la bendera ya chadema.
 
Ameahidi mambo mengi hasa kuhusu halmashauri,viwanja,uwekezaji, leseni,walemavu, motisha kwa walimu,kuöngeza uzalishaji na utalii, mfuko wa elimu, huduma za watu,kuibua maendeleo ya watu.
 
Anaongelea kwa uchungu kuhusu wizi wa kura kupigwa wafuasi wake na vyombo vya dola.anatambulisha wagombea wengine na kuomba wahudhurie kampeni za wengine. Aliyejiunga chadema anapewa kadi na lwakatare mwenyewe.anahitimisha kwa kuomba kura za dk slaa,yeye binafsi na wabunge wengine na madiwani.kuna mziki kidogo.watu wanatawnyika
 
Safi sana ukipata namna ya kuleta hapa hotuba pia safi sana; huenda utashirikiana na wazalendo kuleta picha hapo BKB pia tupe tathmin maana jimbo hilo linatakiwa litoke mikononi mwa mafisadi tena
 
Thanks Plato ongea na wapiga picha u download kwenye laptop yako baadaye utuletee humu JF.
 
attachment.php


Rwakatare azindua kampeni Bukoba mjini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom