Love defined........................

natamani sana kuchangia hili sredi lakini limekaa kimombo mombo wakati mi kiinglish nimeishia fom tuu b shule ya mtakuja kata sekandare skuul..... Hatukufikia silabasi ya kuchangia sredi kwa kimombo.
njoo nikupige english course siku 2 tu unatema ngeli vibaya ila vigezo na masharti kuzingatiwa

Natamani sana kuchangia hili sredi lakini limekaa kimombo mombo wakati mi kiinglish nimeishia fom tuu B shule ya Mtakuja Kata sekandare skuul..... Hatukufikia silabasi ya kuchangia sredi kwa kimombo.

ODM mpenzi hujambo?yale maumivu yameisha?hivi kukujulia hali hivi si upendo?tunaiwekaje hii hasa ukizingatia alichosema mjukuu mtiifu..

Kwahiyo siku mtu ukiumizwa basi ile cycle ya love inakuwa imekamilika au it's just part and parcel ya experience??

Unakuwa umekamilisha sehemu ya cycle kwa sababu unaweaumizwa wakati bado hujajitoa, unawezaumizwa/za wakati bado hujapendwa ..........so its just a part. Ukipata mapenzi yenye furaha peke yake basi jua someting is not right na kuwa one part is not being him/herself. Kwenye mapenzi lazima kuna kuhitilafiana na hitilafu uendena na maumivu (ndio maana nikasema maumivu is subjective) Kitachokuumiza wewe kinawezakuwa kidogo sana kwa mwngine

Babu shakmoo..
Niambie basi upendo ni nini
kwa kiswahilina asanta...
(kwa mameno yako mwenyewe)
Marahaba kajukuu kema..

Kwani hapa kinachozungumziwa ni upendo au mapenzi?..........Kama ni upendo kaulize kanisani, kama ni mapenzi kamuulize Mbu.

Kama unahitaji maelezo yangu, bado waweza kuniuliza ila usiogope majibu yangu yakiwa na maneno ya nguoni.

NN mpenzi mbona unanidakia juu bana?...........kidhungu bana ah ni rahisi kudefine love kwa kizungu but kwa kiswahili mh!

MJ1…mambo mengine huwaga tunayagumisha (nimeliunda mwenyewe hili neno na sijui kama lipo kwenye kamusi ya mtu) tu sisi wenyewe. Kuyafasili mapenzi kwa lugha yetu ya Kiswahili wala siyo vigumu kama unavyodhania. Mapenzi ni dhana. Ni dhana inayofurahisha nafsi. Ni dhana inayomfanya mtu ajisikie naye ni mtu katika watu. Ni dhana yenye utamu na machungu. Ni dhana inayoweza kuleta raha na shida.

Ni dhana inayoweza kumpatia mtu wasiwasi ama amani. Ni dhana inayoweza kumfanya mtu ajione yuko kwenye dunia tofauti kabisa na wengine. Ni dhana inayoweza kumfanya mtu augue au awe mwenye afya.

Nasema mapenzi ni dhana kwa sababu mapenzi siyo kitu. Mapenzi hayashikiki, mapenzi hayaonekani – huwezi ukanyoosha kidole na kunionyesha eti yale ndiyo mapenzi, mapenzi hayana rangi na wala hayana harufu.

Mapenzi ni dhana iliyopo kichwani. Kutoka kichwani inaelekea moyoni. Ikitoka moyoni inaelekea usoni. Ikitoka usoni inaelekea tumboni. Na ikitoka tumboni inasambaa mwili mzima.

Marahaba kajukuu kema..

Kwani hapa kinachozungumziwa ni upendo au mapenzi?..........Kama ni upendo kaulize kanisani, kama ni mapenzi kamuulize Mbu.

Kama unahitaji maelezo yangu, bado waweza kuniuliza ila usiogope majibu yangu yakiwa na maneno ya nguoni.

mi ntaka yako babu ..

njoo nikupige english course siku 2 tu unatema ngeli vibaya ila vigezo na masharti kuzingatiwa
Nakuja hata kama masharti na vigezo havitazingatiwa.

ODM mpenzi hujambo?yale maumivu yameisha?hivi kukujulia hali hivi si upendo?tunaiwekaje hii hasa ukizingatia alichosema mjukuu mtiifu..
Nimepona ghafla kwa upendo wako mkuu namna hii..........

Marahaba kajukuu kema..

Kwani hapa kinachozungumziwa ni upendo au mapenzi?..........Kama ni upendo kaulize kanisani, kama ni mapenzi kamuulize Mbu.

Kama unahitaji maelezo yangu, bado waweza kuniuliza ila usiogope majibu yangu yakiwa na maneno ya nguoni.

Aksante Babu so Wiselady ni Kajukuu kema mie nabakia Mjukuu Mtiifu si ndiyo??
Mbu sijui katokomea wapi maana katugaya siku hizi pengine hapa angetusaidia sana kufasiri.

Naomba tafsiri yako ya "love' Babu.......ntafumba macho kila nikifika kwenye neno la nguoni nsilione.

MJ1…mambo mengine huwaga tunayagumisha (nimeliunda mwenyewe hili neno na sijui kama lipo kwenye kamusi ya mtu) tu sisi wenyewe. Kuyafasili mapenzi kwa lugha yetu ya Kiswahili wala siyo vigumu kama unavyodhania. Mapenzi ni dhana. Ni dhana inayofurahisha nafsi. Ni dhana inayomfanya mtu ajisikie naye ni mtu katika watu. Ni dhana yenye utamu na machungu. Ni dhana inayoweza kuleta raha na shida.

Ni dhana inayoweza kumpatia mtu wasiwasi ama amani. Ni dhana inayoweza kumfanya mtu ajione yuko kwenye dunia tofauti kabisa na wengine. Ni dhana inayoweza kumfanya mtu augue au awe mwenye afya.

Nasema mapenzi ni dhana kwa sababu mapenzi siyo kitu. Mapenzi hayashikiki, mapenzi hayaonekani – huwezi ukanyoosha kidole na kunionyesha eti yale ndiyo mapenzi, mapenzi hayana rangi na wala hayana harufu.

Mapenzi ni dhana iliyopo kichwani. Kutoka kichwani inaelekea moyoni. Ikitoka moyoni inaelekea usoni. Ikitoka usoni inaelekea tumboni. Na ikitoka tumboni inasambaa mwili mzima.

NN I just wish ningekuwa nikingali kigori, ningelikuomba mapenzi yako. Hii post i,enifanya nitabasamu mbele ya huyu Baba Chanja wangu ambaye naye kaniuliza nacheka nini nimemjibu nimekumbuka enzi za ujana etu........sasa sijui kaniamini au ameamua tu kunipotezea kuepusha malumbano mwe!! Aksante NN

I think the best way it's always to give someone a chance, by doing that at least he/she can be able to show it with action apart from words

the hardest party just to understand that all that signs and words means love to him or her
though emotionallly someone may express his/her feelings to someone but in real words it hard to do that

Aksante Babu so Wiselady ni Kajukuu kema mie nabakia Mjukuu Mtiifu si ndiyo??
Mbu sijui katokomea wapi maana katugaya siku hizi pengine hapa angetusaidia sana kufasiri.

Naomba tafsiri yako ya "love' Babu.......ntafumba macho kila nikifika kwenye neno la nguoni nsilione.
Hapo ndipo mjukuu mtiifu unaponichanganya....kiinglishi hakipandi hapa bana....

Niambie kwa kinyerere, unataka kujua maana ya Upendo au Penzi? Hivi love ni pendo au penzi? Tuanzie hapo kwanza.....

Love is a combination of passion, commitmnt and positive feeling for someone special

Aksante Babu so Wiselady ni Kajukuu kema mie nabakia Mjukuu Mtiifu si ndiyo??

Mbu sijui katokomea wapi maana katugaya siku hizi pengine hapa angetusaidia sana kufasiri.

Naomba tafsiri yako ya "love' Babu.......ntafumba macho kila nikifika kwenye neno la nguoni nsilione.

MJ1 unataka kuwa kajukuu kema pia?huoni kuwa ni kujirundikia vyeo?hata hivyo nimekukosa muda sasa natamani Mungu atoe muda wa kuonana,hivi kukukosa hivi si Upendo pia?

Similar Discussions

Back
Top Bottom