Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

Pamoja na uchakachuaji wameambulia 61% duh kweli walizidiwa..

duuu!pamoja na makelele yote chadema wameambulia asilimia 26 tu!
mwanaume kaumbwa na haya kumbe..............hajaonekana angeweka wp sura!
 
Anamshukuru Prof. Lipumba kwa maoni na kumpa ilani ya CUF na kuwa Ilani zote zitazingatiwa.

Tunajenga nyumba moja hatugombei fito. Anasema.
 
Anaishukuru tume. haikuwa kazi rahisi. Na ni kazi ya lawama.
 
Total valid -8398394
Appt-96933
ccm-5,276,827
chadema-2271941
cuf-695667
nccr-26388
Tlp-17482
dovutwa-13176
makame katangaza hivyo.ila nikifanya majumuisho ya kila mgombea hapo juu kunakuwa na utofauti na ile total number ya valid voters.CHUNGUZA.
 
Tayari Wagombea wote akiwepo JK wameshawasili.

Dr. Wibroad Slaa bado hajawasili:

==================

UPDATES:


WALIOJIANDIKISHA: 20,137,303

Waliopiga kura 8,626,283 = 42.84%

Kura zilizoharibika = 2.64%

Mgawanyo wa kura ni hivi:

APPT: 96,933 = 1.12%
CCM: 5,276,827 = 61.17%
CHADEMA: 2,271,941 = 26.34%
CUF: 695,667 = 8.06%
NCCR: 26,388 = 0.31%
TLP: 17482 = 0.20%
UPDP: 13,176 = 0.15%

Yaani nchi ya watu million 42, waliojiandikisha millioni 20 kisha wapige kura watu millioni 8, Hii ni aibu kubwa sana. Hata wote tungekuwa tumempa kura angekuwa hajafaa kuwa Rais kwani hao millioni 8 ni chini ya 20% ya watanzania wote. Sasa cheki hapo eti mtu anajiita Rais wa TZ
 
Anavishukuru vyombo vya habari kwa kazi nzuri. Anasema sasa vitumike kutibu majeraha: Udini, Ukabili, Maeneo, vyama vya siasa nk
 
Tayari Wagombea wote akiwepo JK wameshawasili.

Dr. Wibroad Slaa bado hajawasili:

==================

UPDATES:


WALIOJIANDIKISHA: 20,137,303

Waliopiga kura 8,626,283 = 42.84%

Kura zilizoharibika = 2.64%

Mgawanyo wa kura ni hivi:

APPT: 96,933 = 1.12%
CCM: 5,276,827 = 61.17%
CHADEMA: 2,271,941 = 26.34%
CUF: 695,667 = 8.06%
NCCR: 26,388 = 0.31%
TLP: 17482 = 0.20%
UPDP: 13,176 = 0.15%
Raisi kachaguliwa na 26% ya watu waliojiandikisha kupiga kura (20million) ni aibu sana! 'waliozuiwa' ni wengi mno..
 
Nimeangalia figure hizo za uchanguzi yaani ni hatari sana kwani amechanguliwa kwa asilimia 26.2% ya waliokuwa wamejiandikisha kupiga kura. Hii inaonyesha mvuto aliokuwa nao mwaka 2005 umekwisha kabisa amebakia mtupu.
 
Anavishukuru vyombo vya ulinzi na usalama.

Pia waangalizi wa ndani na nje.

Uchaguzi sasa umekwisha.

Ujenzi wa Nchi uendelee.

Shukrani kwa kuchagua CCM
 
Back
Top Bottom