Utamkumbuka Edward Lowassa kwa mambo gani?

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
1707755381427.png

Habari Wadau,

Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa

Soma: Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Katika mwaka enzi za uhai wake Mzee alipata kuwa na ushawishi Mkubwa nchini kiwango cha kuweza kujaza mikutano katika Uchaguzi wa Urais mwaka 2015.

Binafsi ntamkumbuka sana kwa uthubutu wake wa kuweza kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu alipohusishwa na tuhuma za ufisadi.

Wewe utamkumbuka Lowassa kwa mambo gani?
 
Habari Wadau,

Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa

Soma: Breaking News: - Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Akiwa Waziri Mkuu, Kumkemea na kutaka kumfukuza kazi DC wa Kigoma mjini , John Mongela ambaye Sasa ni mkuu wa Mkoa wa Arusha.
 
Namkumbuka Mzee Lowassa alikuwa anakuja sana shuleni kuongea na walimu, kufuatilia elimu ya watoto. Kati ya wazazi waliokuwa wanakuja sana shuleni.

This is way back when he was at AICC I think, and Lowassa was just Freddy's dad.

Before the political career.

Hivi ndivyo ninavyomkumbuka.

RIP.
 
Habari Wadau,

Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa

Soma: Breaking News: - Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Katika mwaka enzi za uhai wake Mzee alipata kuwa na ushawishi Mkubwa nchini kiwango cha kuweza kujaza mikutano katika Uchaguzi wa Urais mwaka 2015.

Binafsi ntamkumbuka sana kwa uthubutu wake wa kuweza kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu alipohusishwa na tuhuma za ufisadi.

Wewe utamkumbuka Lowassa kwa mambo gani?
Intelligent, resilient, exposed na mtu wa kukubali maendeleo regardless ya sehemu aliyopo
 
Distribution of Water Services kwa sehemu kubwa sana nchi hii alivyokuwa Waziri wa Maji...mpaka Wanajeshi walimkubali sana kipindi kile

Kuanzishwa kwa shule za kata na Vituo vya Afya vya kata ni Idea yake aliyoipendekeza kwa Mkapa na akaisimamia...leo watoto wetu wanapata haki ya elimu kuanzia STD 1 mpaka Form IV
 
Habari Wadau,

Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa

Soma: Breaking News: - Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Katika mwaka enzi za uhai wake Mzee alipata kuwa na ushawishi Mkubwa nchini kiwango cha kuweza kujaza mikutano katika Uchaguzi wa Urais mwaka 2015.

Binafsi ntamkumbuka sana kwa uthubutu wake wa kuweza kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu alipohusishwa na tuhuma za ufisadi.

Wewe utamkumbuka Lowassa kwa mambo gani?
Nitamkumbuka kwa kujilimbikizia mali zisizo na maelezo ya kutosha.

Pale Morogoro alivunja Rekodi ya kumega eneo la Jeshi la Magereza na kujenga Hoteli kubwa!!

Ama kweli kifo hakina huruma; unaondoka na nafsi yako tu na unaacha Kila kitu!!

TUJIFUNZE KWA HUYU NA WEZI WENGINE AMBAO NAO WATAKUFA
 
Back
Top Bottom