Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

CCM ni chama ambacho mwisho wake wa utawala ni swala la muda. Kuna kitu Watanzania wengi hatuangalii nacho ni kuwa asilimia kubwa ya watanzania sasa hivi wamezaliwa baada ya 1975, na kati hawa waliozaliwa baada ya utawala wa Nyerere kwisha ndio asilimia kubwa zaidi. Ifikapo 2020, zaidi ya 75% ya wapiga kura itakuwa kizazi kipya ambacho wao wanachojua ni CCM imewapa maisha magumu na wengi wako mtandaoni kwa hiyo wanaona nchi nyingine wananchi wao wanavyoenjoy maisha.

Sasa CCM hawa wazee wanaowadanganya na amani na utulivu baada ya 2020 wengi watakuwa hawapo na kama wapo vijana wao watawaelimisha.

Nina uhakika kila mwaka at least 1 million new voters wanafika umri wa kupiga kura, kwa hiyo by 2020 tutakuwa na wapiga kura wapyaat least 10 million, ukichanganya na hawa vijana ambao sasa wanamwamko, sijui CCM itatoka vipi.
 
dikteta kikwete ameutaka uraisi kwa miaka kibao, then, what's next?

Mkuu he is not my President, i say loud and clear, Kikwere, hata addition hajui...!!? kasema mwenyewe, so even magazijuto hola? how about statistics, calculus, probability & combinations, algebra, logic, logarithms, 3 way simulteneous equations, ndio maana anaahidi full upupu, hewa, so yaani bogus kweli, na sishangai kaiba kura maana that is what wasiojua ni kuibia angalia secs, varsity, wasiojua kazi kupiga vibuti, look watu mil20, halafu only 8 voted, then yeye kapata 5 mil kawin, what...? wengine wako wapi, more than 11 mil wameiba, yaani pamoja na kuiba ndio kapata 5mil, very simple uwizi upo wazi hapa, tena mwaka huu watu wengi wamejitokeza kupiga kura walipata hamasa sana bcoz of Dr Slaa, mm si Rais wangu it is my Legal right, Kikwere si my choice, period
 
amesema haruhusiki lakini anautumia mwanya huo ,sasa kosa lipo wapi ,ikiwa slaa babu zima ameogopa kuface umma na angeweza direct kuyakataa matokeo hapohapo kama kweli ni mpiganaji lakini wapi hakuwepo ,yaani huku nje unasema umeibiwa ,sasa kama ameibiwa kweli si angeenda hapo na hapo anajua kuwa angetakiwa kusema chochote ,ndio hapo angemwaga mboga ???

nyambaff mkubwa weee acha porojo za kudanganya wana jf....
 
Back
Top Bottom