Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,507
- 113,628
- Thread starter
- #41
Mkuu Inkoskazi, (jina lako linanikumbusha Alan Quaterman), nakubaliana na wewe kwenye hili na pia naheshimu kutokubaliana. Pongezi zangu ni za kitu kiitwachwo "Live TV News Interactive", kukatisha taarifa ya habari na kujiunga na mtu live yuko studio nyingine"!. =TBC imefungua milango ya kuondoka toka new readers kuelekea kwenye news anchors!.Kaka sikubaliani nawe...labda ungesema wameileta ili kuficha aibu ya makinda...sijaona hata kipande kilichoonyesha ajali...japo ITV wameonyesha still pics.hata mahojiano na majeruhi,mashuhuda hamna...halafu masaa 7 baada ya ajali bado wanaripoti watu waliofariki ni 12 wakati BBC na VOA na taarifa sahihi tulizonazo hata humu JF zinathibitisha miili 62 Kuopolewa,,,am sorry Pascal kwa hili hapana!