Lakini kwa sababu zisizojulikana awamu iliyopita ilimyima Leseni na badala yake wakapewa Vodacom.
Lazima walimpa sababu kama kweli aliomba na kukataliwa. Haiwezekani unyimwe leseni na usiambiwe sababu. Hivyo labda vizuri ifuatiliwe sababu zipi alipewa za kunyimwa leseni.