Leseni ya Vodacom ilikuwa Mengi apewe

Status
Not open for further replies.

Lakini kwa sababu zisizojulikana awamu iliyopita ilimyima Leseni na badala yake wakapewa Vodacom.

Lazima walimpa sababu kama kweli aliomba na kukataliwa. Haiwezekani unyimwe leseni na usiambiwe sababu. Hivyo labda vizuri ifuatiliwe sababu zipi alipewa za kunyimwa leseni.
 
Mengi angepewa ingekuwa ni njia nzuri ya kuinua wawekezaji wazalendo ambao wana mapenzi na machungu na nchi. Wapo wengine ambao wanamdhania Mengi kama dalali anayesimamia mitaji ya wakubwa wa nje huku yeye akijitapa kama ndie mwekezaji halali. Lakini yote katika yote ndio hivyo Mengi ni kipenzi cha Tanzania.
 
Thibitisha usemi wako kuwa Mengi ni kipenzi cha Tanzania
 
Kuna fununu kuwa mfanya biashara maarufu Bw. Reginald Mengi alikuwa wa kwanza kuomba leseni ya Mobile Telecommunication.

Lakini kwa sababu zisizojulikana awamu iliyopita ilimyima Leseni na badala yake wakapewa Vodacom.

Je kuna mtu anafahamu ukweli wowote kwenye fununu hii?

Je kama Mengi angepewa, ingekuwa ina impact gani katika uchumi wa nchi?

Je kuna specific number ya operators wa telecom ambayo TCRA wanataka tuwe nayo? Celtel ilikuja baada ya vodacom kama sikosei. Kama nafasi tayari zilikuwa zimejaa (sababu unayotaka tuamini ilifanya RM anyimwe/akose leseni) ilikuwaje celtel wakapata? Kuna wengine karibu wanne nasikia pia wapo mbioni kutoa telecom services (eg Excellent Telecom - HITS etc). Je hili linaweza kutupa mwanga ni kwa nini RM alikosa/alinyimwa leseni?
 
mheshimiwa tcra ndo kwanza ilikuwa imeundwa na ilikuwa hajawa as organised as it is now..back in 1999 when vodacom came in serikali had a long hand and influence on who gets those licenses!! watu kwenye telecoms wanajua mengi alibaniwa hii sio siri..uliza insiders pale tcra wakwambia..fanyeni utafiti!! and btw the telecoms business has nothing to do with your experience in telecoms especiallu local shareholders..na ukiwa una business ya kuuza kuku u can bring a telecoms company in and register and follow procedures za tcra..manji . caspian wanajua nini hukusu telecoms??
 
Ni kweli TCRA haikuwepo, lakini kwa hakika kulikuwa na chombo kingine (may be a department or something) ambacho kilifanya kazi ya kutoa leseni hizi. Lakini bado hujatuambia ni kwa nini RM alibaniwa. Muanzisha mada anajaribu 'kusema' leseni iliyokuwa apewe RM ilipewa Voda. Kama hili ni kweli basi inaelekea serikali ilikuwa na specific namba ya operators iliyotaka wawepo (na hivyo hoja ya Voda kusababisha RM kubaniwa inakuwa na mantiki). Lakini kama serikali ilikusudia kuwa na operators wengi iwezekanavyo then sioni ni vipi Voda ilisababisha RM kukosa leseni. Na hawa waliokuja baadae (celtel, HITs and the like) pia walipewa leseni ambazo mzee RM alistahili? Unaashiria kuna vitu vimejificha ambayo wengine (tusiofanya utafiti!) hatuvijui, lakini hapa ndio mahala pake hebu tumwagie hizi info (Nini kilitokea mpaka leseni iliyokuwa apewe mzalendo RM wakapewa 'wageni' Voda?). Nakubaliana na wewe kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba kuna matatizo makubwa katika utoaji wa leseni.
 
Naanza kusikia Harufu ya Mengism humu ndani. yaani jamaa anashindwa kufuata vigezo, akipigwa chini anaanza kulia lia naonewa na nyie mnakurupuka na kucheza ngoma teheee

labda hujanielewa mkuu, hata mimi am against hii hali ya Mengi kuonekana kama anaonewa katika kila kitu. Anafanya biashara nyingi sana kwa mafanikio, lakini katika hizo hatusikii akitoa sifa kwa mamlaka zinazofanikisha biashara zake. Yeye kila siku ni wa kulaumu tu, aina gani hii ya maisha ya kibiashara? kwani anayekwamishwa ni peke yake tu? Mbona wengien hatuskiii wakilalamika? au kwa sababu yeye ana medium ya kulalamikia?
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom