Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika tasnia ya uchawi

Kigoma Region Tanzania

JF-Expert Member
May 25, 2021
229
593
Dondoo kadhaa kuhusu nadharia ya KOMBORA na KIPAPAI kwa yale yanayotendeka katika ulimwengu mpana wa giza.

Ni kazi kubwa kushindana na mchawi na ukashinda, mchawi na uchawi ni taasisi kubwa, ambayo huanzia ngazi ya kitongoji, mtaaa/Kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda, kitaifa na kimataifa.

Hivyo mchawi akishindwa kukushughulikia katika ngazi ya mtaa anaenda ngazi ya kata ambako kuna wataaalamu zaidi yake, amini lazima atakunasa tu ikiwa hauko imara.

...Bila shaka katika maisha yako umewahi kusikia neno 'KOMBORA' hususan katika tasnia ya lugha za kichawi, 'kwamba ntakupiga kombora' huwa sio lugha ya kificho, hiyo ndio lugha halisi ya kwamba ukipigwa kombora basi ujue unakufa.

Kombora ziko aina mbili, moja inaitwa (Kaliloze) ambayo hii inapiga masafa marefu kwa speed ya kufumba na kufumbua na nyingine inaitwa (Lilombamema) hii inapiga masafa mafupi.

Kombora ni tofauti na Kipapai,
Kipapai ni moja ya uchawi hatari sana, ni uchawi unaofanywa kwa lengo maalumu na kwa muda maalum, kipapai ni kuzubaishwa au kuangamizwa na kudhurika kimwili na kiakili, kwa kifupi haya ni matukio ya kupumbaza akili na kuja kushtuka baadae mambo yanapokuwa yamekwisha.

Kuna kipapai cha maradhi mfano wa kutupiwa maradhi mwilini) pia kuna kipapai cha kwenda hovyo kurukwa na akili au kurogwa.

Imeitwa kipapai kwasababu inavuruga akili mfano wa mbegu za papai zinavyo vurugika ukizipukuchua, pia mtendaji wa hili (mchawi) hupaka dawa kali sana ambayo hupelekea mikono yake kuwa mieusi mfano wa mbegu za papai.

76240628_2417509981693295_5238898333388374016_n.jpg

Ukipigwa Kipapai haufi, Ila ukipigwa Kombora ni lazima upoteze uhai (Kombora ni pigo la kuua) ambalo mchawi hulituma kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la kuangamiza.

Makombora kadhaa huwa yanapanguliwa na MUNGU mwenyewe, na akiruhusu likupate basi litakupata.

Kwanini mchawi anatuma kombora?
Ikiwa mlengwa ni mtu ambaye halogeki, hashikiki, na wala hasogeleki basi katika tasnia ya uchawi hupewa silaha hizo ili kuruhusu kutuma mashambulizi ya masafa marefu bila ya yeye kukusogelea (kukuwangia).

Makombora yanaweza kutumwa mengi bila kuchoka na hiyo ndio huwa njia ya mwisho ya mchawi.

Akikushindwa kukudhuru physically (Kuku-win kwa kukuloga) basi hutuma kombora, na endapo kombora litashindwa basi atalazimika sasa kwenda ngazi za juu kuomba msaada. Kumbuka mchawi huwa hachoki na wala hakati tamaa hadi afe au akamatwe.

Kombora linatumwa vipi?
Mchawi anatuma kombora kwa yeye kusimama na kuelekeza kombora lake kwenye mionzi ya jua, mwezi, nyota, upepo au mawimbi ya bahari. Bunduki hizi za kaliloze zinarushwa kwenye jua, au kupitia tundu la shimo kwenye ukuta.

Hapo chini utaona picha ya bunduki ya Kaliloze
Hii ni Kaliloze-Gun maarufu (tobolo ya kaliloze), bunduki nyeusi ya uchawi ambayo inaaminika kuwa wachawi hutumia kuua watu kwa kunyoosha kwenye mionzi ya jua. Inaaminika pia kwamba Kaliloze inaweza kuua mtu hata kama yupo Amerika au Uingereza. Kwasababu yenyewe hupiga masafa marefu, hutumika mchana au hata usiku.

271485137_5246518032028398_3208162315790971720_n.jpg

Je! unaruhusiwa kumiliki 'Kaliloze' hata kama sio mchawi?

Ndio katika uchawi unaruhusiwa kumiliki Kaliloze hata kama sio mchawi, lakini mipito yake hadi kuipata ni lazima kupitia kufuru za kichawi kwasababu 'Silaha hizi zinatengenezwa kwa kutumia mfupa wa paja la binaadamu (thigh bone).

Kwa hivyo katika baadhi za nchi ndani ya Africa walikua wanatumia watu mbalimbali hata kama sio wachawi, wengine walikua wakizinunua na kuzihifadhi, ukisikia mtu anasema huyo jamaa ana makombora basi elewa kwamba huyo mtu anamiliki 'Kaliloze' Pia bunduki hizo wakati mwingie wachawi hupiga na kurushiana makombora wenyewe kwa wenye, na pia kuna kozi maalum za kukwepa makombora hayo.

Tumepata kusimuliwa mtu aliyefariki katika Wilaya ya Lukona- Kalabo huko Zambia miaka ya 70. Alitoka kwenda kilabuni kunywa pombe kali (Hii ilikuwa kawaida yake wakati wa wikendi nyingi na alikuwa akiimba akirudi nyumbani). Akiwa njiani kurudi nyumbani, usiku huo wa maafa, mtu alimvizia kwa bunduki aina ya Kaliloze na kupigwa kifuani. Aliyumba kisha akasimama na kufanikiwa kufika nyumbani kwake. Alimweleza mkewe juu ya tukio hilo na akafariki usiku huohuo.

Mwaka 2014, Mfumo wa Silaha za mionzi ''Laser Weapon System'' (LaWS) ulizinduliwa na Jeshi la Wanamaji la Marekani. Una uwezo sawa, usahihi sawa, maajabu yenye kushangaza, usiri wa ajabu sawa kabisa na "Bunduki ya Usiku ya 'Kaliloze"

1702542026075.png

Silaha hiyo sasa imewekwa kwenye meli ya USS Ponce, meli ya uchukuzi ya Marekani. ''Laser Weapon System'' ndiyo "silaha ya kwanza ya mionzi duniani" - ambayo inaweza "kuua" ndege zisizo na rubani za kutisha - na iko tayari kuchukua hatua kwa wakati wowote na muda wowote itapohisi tishio.

1702542066038.png

Boriti ya mionzi ya mfumo wa ''Laser Weapon System'' hauna kelele ni mfumo wa kimya kimya, na wala hauonekani kabisa kwa macho ya binaadamu. Pia ni wenye haraka: Mionzi husafiri kwa kasi ya mwanga (maili 186,000 kwa sekunde, au kama kilomita 300,000 kwa sekunde), ikimaanisha kuwa ni karibu mara 50,000 ya kasi ya kombora la 'ballistic missile'

Mbali na kuwa na uwezo wa kuondoa vitisho hewani, ''Laser Weapon System'' zinaweza kugonga na kuzima vitu vilivyo kwenye maji.
...........
Katika kipindi cha Karne ya 20 Silaha nyingine ya 'Lilombamema', kama silaha ya kichawi, ilibuniwa kwa ajili ya kupiga masafa mafupi, ''Lilombamema' ilienea sana Afrika mashariki kwasababu yenyewe ina uwezo wa kupiga masafa mafupi labda mkoa kwa mkoa au mtaa kwa mtaa lakini haivuki ndani ya nchi nyingine, Kuanzia miaka ya 1970 'Lilombamema' kwa kiasi kikubwa imekuwa sawa na bunduki ya AK 47. Inaonekana sayansi hizi zilikuja polepole kutokea katika asili ya waafrika.

lilomba mema.jpg
......................
1702541282920.png

Advanced Lilombamema
1702541359862.png
...........

Unajua unaweza kushangaa sana jinsi sisi waafrika namna hii bunduki ya kichawi inaweza kufanya kazi kwa kumuua ndugu yako au mtu mweusi mwenzako. Inasikitisha sana kwamba pamoja na kuwa na teknolojia hii hatujitetei kwa lolote tulionewa na kuchukuliwa kama watumwa.

Jambo moja kwa hakika, tunahitaji kufanya utafiti wa kina ili kuelewa na kutumia uwezo na usahihi wa sayansi hii "iliyoainishwa" kwa kutumia sayansi ya kisasa.

Unapenda usipende, watu wa Afrika walikuwa mbele ya Wamarekani kwa suala la sayansi ya 'laser' na 'photon'. Baadhi ya wakoloni wanalaumiwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwaua wenyeji kwa kufanya mazoezi ya sayansi ambayo ilikuwa zaidi ya ufahamu wao.

Pengine, ni wakati muafaka wa kutafakari upya mtazamo wetu kuhusu sayansi ya Kiafrika "iliyoainishwa", hasa sayansi ya Bunduki za 'Kaliloze' na 'Lilombamema' Silaha za Kiajabu zilizotumika hadharani Afrika na kwasasa zinatumika katika ulimwengu wa wachawi pekee.

Ninaunga mkono kabisa uamuzi wowote wa kujitosa katika sayansi hii kwa mtazamo wa kitaaluma. Hii inaweza kugeuka kuwa mzunguko mwingine wa pesa kwa Afrika.

Hebu fikiria kuhusu Tanzania kuuza nje "Bunduki za mionzi za 'Kaliloze" 10,000 zenye nguvu zaidi kuliko 'Laser Weapon System' ni kiasi gani cha pesa tutaingiza ? badala yake tunaendelea kuuwana sisi kwa sisi kutokana na husuda, chuki, wivu, roho mbaya na mambo mengine ya hovyo.
 
Ninachojua mimi ni kwamba life is spiritual, na hivyo kila kinachoonekana Kilian za katika Hali ya kutoonekana, (spiritual) hivyo kama na sisi ungekuwa Makini basi tungefanya tafiti namna ya kuamisha taaluma hiyo kutoka katika priritual to physical, na amini yote yanawezekana kwa Mungu na sio shetani, maana shetani hayo ma ujuzi yote kaiba kwa Mungu na ndio maana hato kuruhusu utajiri ke wewe mchawi ule maraha.... Kazi yake Kukutumikisha tu, kama unataka kufanya tafiti ni bora uje kwa Yesu akupe ma uwezo halisi... Ila huko kwa wachawi, niko pale na wasubiria kama mtatoboa😁😁
 
Ninachojua mimi ni kwamba life is spiritual, na hivyo kila kinachoonekana Kilian za katika Hali ya kutoonekana, (spiritual) hivyo kama na sisi ungekuwa Makini basi tungefanya tafiti namna ya kuamisha taaluma hiyo kutoka katika priritual to physical, na amini yote yanawezekana kwa Mungu na sio shetani, maana shetani hayo ma ujuzi yote katiba kwa Mungu na ndio maana hato kuruhusu utajiri ke wewe mchawi ule maraha.... Kazi yake Kukutana Isha tu, kama unataka kufanya tafiti ni bora uje kwa Yesu akupe ma uwezo halisi... Ila huko kwa wachawi, niko pale na wasubiria kama mtatoboa😁😁
Afrika
 
uchawi umefungamana sana na dhana ya husda katika afrika hii. na popote pale ukizungumzia husda unagusa hisia za kupinga maendeleo. kwa afrika uchawi hauwezi kwenda sambamba na maendeleo kwa muktadha huu
 
Ninachojua mimi ni kwamba life is spiritual, na hivyo kila kinachoonekana Kilian za katika Hali ya kutoonekana, (spiritual) hivyo kama na sisi ungekuwa Makini basi tungefanya tafiti namna ya kuamisha taaluma hiyo kutoka katika priritual to physical, na amini yote yanawezekana kwa Mungu na sio shetani, maana shetani hayo ma ujuzi yote katiba kwa Mungu na ndio maana hato kuruhusu utajiri ke wewe mchawi ule maraha.... Kazi yake Kukutana Isha tu, kama unataka kufanya tafiti ni bora uje kwa Yesu akupe ma uwezo halisi... Ila huko kwa wachawi, niko pale na wasubiria kama mtatoboa😁😁
Napingana na hoja zako. kipindi cha rennaisance ulaya wachawi waliuliwa sana... uchawi kabla haujafanyia kitu chochote kuunganisha na empirical world lazima kwanza uelezeke kisayansi.
 
Dondoo kadhaa kuhusu nadharia ya KOMBORA na KIPAPAI kwa yale yanayotendeka katika ulimwengu mpana wa giza.

Ni kazi kubwa kushindana na mchawi na ukashinda, mchawi na uchawi ni taasisi kubwa, ambayo huanzia ngazi ya kitongoji, mtaaa/Kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda, kitaifa na kimataifa.

Hivyo mchawi akishindwa kukushughulikia katika ngazi ya mtaa anaenda ngazi ya kata ambako kuna wataaalamu zaidi yake, amini lazima atakunasa tu ikiwa hauko imara.

...Bila shaka katika maisha yako umewahi kusikia neno 'KOMBORA' hususan katika tasnia ya lugha za kichawi, 'kwamba ntakupiga kombora' huwa sio lugha ya kificho, hiyo ndio lugha halisi ya kwamba ukipigwa kombora basi ujue unakufa.

Kombora ziko aina mbili, moja inaitwa (Kaliloze) ambayo hii inapiga masafa marefu kwa speed ya kufumba na kufumbua na nyingine inaitwa (Lilombamema) hii inapiga masafa mafupi.

Kombora ni tofauti na Kipapai,
Kipapai ni moja ya uchawi hatari sana, ni uchawi unaofanywa kwa lengo maalumu na kwa muda maalum, kipapai ni kuzubaishwa au kuangamizwa na kudhurika kimwili na kiakili, kwa kifupi haya ni matukio ya kupumbaza akili na kuja kushtuka baadae mambo yanapokuwa yamekwisha.

Kuna kipapai cha maradhi mfano wa kutupiwa maradhi mwilini) pia kuna kipapai cha kwenda hovyo kurukwa na akili au kurogwa.

Imeitwa kipapai kwasababu inavuruga akili mfano wa mbegu za papai zinavyo vurugika ukizipukuchua, pia mtendaji wa hili (mchawi) hupaka dawa kali sana ambayo hupelekea mikono yake kuwa mieusi mfano wa mbegu za papai.

Ukipigwa Kipapai haufi, Ila ukipigwa Kombora ni lazima upoteze uhai (Kombora ni pigo la kuua) ambalo mchawi hulituma kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la kuangamiza.

Makombora kadhaa huwa yanapanguliwa na MUNGU mwenyewe, na akiruhusu likupate basi litakupata.

Kwanini mchawi anatuma kombora?
Ikiwa mlengwa ni mtu ambaye halogeki, hashikiki, na wala hasogeleki basi katika tasnia ya uchawi hupewa silaha hizo ili kuruhusu kutuma mashambulizi ya masafa marefu bila ya yeye kukusogelea (kukuwangia).

Makombora yanaweza kutumwa mengi bila kuchoka na hiyo ndio huwa njia ya mwisho ya mchawi.

Akikushindwa kukudhuru physically (Kuku-win kwa kukuloga) basi hutuma kombora, na endapo kombora litashindwa basi atalazimika sasa kwenda ngazi za juu kuomba msaada. Kumbuka mchawi huwa hachoki na wala hakati tamaa hadi afe au akamatwe.

Kombora linatumwa vipi?
Mchawi anatuma kombora kwa yeye kusimama na kuelekeza kombora lake kwenye mionzi ya jua, mwezi, nyota, upepo au mawimbi ya bahari. Bunduki hizi za kaliloze zinarushwa kwenye jua, au kupitia tundu la shimo kwenye ukuta.

Hapo chini utaona picha ya bunduki ya Kaliloze
Hii ni Kaliloze-Gun maarufu (tobolo ya kaliloze), bunduki nyeusi ya uchawi ambayo inaaminika kuwa wachawi hutumia kuua watu kwa kunyoosha kwenye mionzi ya jua. Inaaminika pia kwamba Kaliloze inaweza kuua mtu hata kama yupo Amerika au Uingereza. Kwasababu yenyewe hupiga masafa marefu, hutumika mchana au hata usiku.

Je! unaruhusiwa kumiliki 'Kaliloze' hata kama sio mchawi?

Ndio katika uchawi unaruhusiwa kumiliki Kaliloze hata kama sio mchawi, lakini mipito yake hadi kuipata ni lazima kupitia kufuru za kichawi kwasababu 'Silaha hizi zinatengenezwa kwa kutumia mfupa wa paja la binaadamu (thigh bone).

Kwa hivyo katika baadhi za nchi ndani ya Africa walikua wanatumia watu mbalimbali hata kama sio wachawi, wengine walikua wakizinunua na kuzihifadhi, ukisikia mtu anasema huyo jamaa ana makombora basi elewa kwamba huyo mtu anamiliki 'Kaliloze' Pia bunduki hizo wakati mwingie wachawi hupiga na kurushiana makombora wenyewe kwa wenye, na pia kuna kozi maalum za kukwepa makombora hayo.

Tumepata kusimuliwa mtu aliyefariki katika Wilaya ya Lukona- Kalabo huko Zambia miaka ya 70. Alitoka kwenda kilabuni kunywa pombe kali (Hii ilikuwa kawaida yake wakati wa wikendi nyingi na alikuwa akiimba akirudi nyumbani). Akiwa njiani kurudi nyumbani, usiku huo wa maafa, mtu alimvizia kwa bunduki aina ya Kaliloze na kupigwa kifuani. Aliyumba kisha akasimama na kufanikiwa kufika nyumbani kwake. Alimweleza mkewe juu ya tukio hilo na akafariki usiku huohuo.

Mwaka 2014, Mfumo wa Silaha za mionzi ''Laser Weapon System'' (LaWS) ulizinduliwa na Jeshi la Wanamaji la Marekani. Una uwezo sawa, usahihi sawa, maajabu yenye kushangaza, usiri wa ajabu sawa kabisa na "Bunduki ya Usiku ya 'Kaliloze"

Silaha hiyo sasa imewekwa kwenye meli ya USS Ponce, meli ya uchukuzi ya Marekani. ''Laser Weapon System'' ndiyo "silaha ya kwanza ya mionzi duniani" - ambayo inaweza "kuua" ndege zisizo na rubani za kutisha - na iko tayari kuchukua hatua kwa wakati wowote na muda wowote itapohisi tishio.

Boriti ya mionzi ya mfumo wa ''Laser Weapon System'' hauna kelele ni mfumo wa kimya kimya, na wala hauonekani kabisa kwa macho ya binaadamu. Pia ni wenye haraka: Mionzi husafiri kwa kasi ya mwanga (maili 186,000 kwa sekunde, au kama kilomita 300,000 kwa sekunde), ikimaanisha kuwa ni karibu mara 50,000 ya kasi ya kombora la 'ballistic missile'

Mbali na kuwa na uwezo wa kuondoa vitisho hewani, ''Laser Weapon System'' zinaweza kugonga na kuzima vitu vilivyo kwenye maji.
...........
Katika kipindi cha Karne ya 20 Silaha nyingine ya 'Lilombamema', kama silaha ya kichawi, ilibuniwa kwa ajili ya kupiga masafa mafupi, ''Lilombamema' ilienea sana Afrika mashariki kwasababu yenyewe ina uwezo wa kupiga masafa mafupi labda mkoa kwa mkoa au mtaa kwa mtaa lakini haivuki ndani ya nchi nyingine, Kuanzia miaka ya 1970 'Lilombamema' kwa kiasi kikubwa imekuwa sawa na bunduki ya AK 47. Inaonekana sayansi hizi zilikuja polepole kutokea katika asili ya waafrika.

......................
...........

Unajua unaweza kushangaa sana jinsi sisi waafrika namna hii bunduki ya kichawi inaweza kufanya kazi kwa kumuua ndugu yako au mtu mweusi mwenzako. Inasikitisha sana kwamba pamoja na kuwa na teknolojia hii hatujitetei kwa lolote tulionewa na kuchukuliwa kama watumwa.

Jambo moja kwa hakika, tunahitaji kufanya utafiti wa kina ili kuelewa na kutumia uwezo na usahihi wa sayansi hii "iliyoainishwa" kwa kutumia sayansi ya kisasa.

Unapenda usipende, watu wa Afrika walikuwa mbele ya Wamarekani kwa suala la sayansi ya 'laser' na 'photon'. Baadhi ya wakoloni wanalaumiwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwaua wenyeji kwa kufanya mazoezi ya sayansi ambayo ilikuwa zaidi ya ufahamu wao.

Pengine, ni wakati muafaka wa kutafakari upya mtazamo wetu kuhusu sayansi ya Kiafrika "iliyoainishwa", hasa sayansi ya Bunduki za 'Kaliloze' na 'Lilombamema' Silaha za Kiajabu zilizotumika hadharani Afrika na kwasasa zinatumika katika ulimwengu wa wachawi pekee.

Ninaunga mkono kabisa uamuzi wowote wa kujitosa katika sayansi hii kwa mtazamo wa kitaaluma. Hii inaweza kugeuka kuwa mzunguko mwingine wa pesa kwa Afrika.

Hebu fikiria kuhusu Tanzania kuuza nje "Bunduki za mionzi za 'Kaliloze" 10,000 zenye nguvu zaidi kuliko 'Laser Weapon System' ni kiasi gani cha pesa tutaingiza ? badala yake tunaendelea kuuwana sisi kwa sisi kutokana na husuda, chuki, wivu, roho mbaya na mambo mengine ya hovyo.
Naomba intern kwenye mautafiti haya ya kupaa na ungo. nimekuwa na desire kubwasana ya kuielewa hii ishu kisayansi
 
Umetumia neno muhimu kwamba uchawi utakupata pale tu MWENYEZI MUNGU AKITAKA. Maana kwa roho mbaya za binadamu, dunia ingebaki tupu hivi sasa,si makazini wala majumbani

WhatsApp Image 2023-12-14 at 13.49.25.jpeg

Back
Top Bottom