Kwanini Nyerere hakuendeleza kusini kwa miaka mingi?

kwa taarifa yako nyerere aling'oa reli kutoka bandarini mtwara hadi nachingwea iliyokuwa uti wa mgongo wa uchumi wa kusini kwa mazao ya mtama na korosho, akawaua kiuchumi kabisa maksudi.
''mtakatifu nyerere mwenye heri''

Mtama na korosho zenyewe zipo wapi? Ile reli ilijengwa na wakoloni kwa ajili ya kusafirisha karanga. Mradi ulipokufa kulikuwa hakuna sababu ya kuendelea kuwa na reli.
 
kikwete anajenga mahekalu kwao ..labda mlikuwa mnataka na Nyerere ajenge kwao butiama ili mpate cha kusema
attachment.php
 
Kwanini Nyerere hakuendeleza kusini kwa miaka mingi?
Kwanini sehemu nyingi zenye Waislamu wengi hazikuendelezwa kwa miaka mingi? (Hii ni tokea ukoloni)
Jadili.

Mkuu, umekuwa biased si kusini tu, hata Magharibi na Kati pia. Au na huko utasema sababu ni Uislamu? Kanda unazodai hazikuendelezwa zilikuwa na wasomi wachache pia ingawa Nyerere aliingiza mtindo wa quota ili kuwaewezesha kuingia sekondari.
 
hadi mwaka 1980 mikoa ya lindi na mtwara yenye ukubwa mra mbili ya kilimanjaro ilikuwa ina shule ya sekondari ya juu moja tu nayo ni NDANDA HIGH SCHOOL wakati wilaya ya hai ilikuwa na jumla ya sekondari za juu na kati 200. kwa nini wasipate kazi serikalini na waibe na kutoa sadaka kanisani jumapili. na kuendeleza udini, kwa nini katika mipango ya serikali wao wasijue kwanza na kuipeleka kwa maaskofu wao na kuwapa taarifa ya kile kinachoendelea serikalini ndo maana CIA ukiwa mkatoliki hupati kazi labda utumiwe na agent tu,
wao ndio wanajua hadi mipango miji hivyo huwahi viwanja vya makanisa vikubwvikubw ushahidi angalia kila vinapotoka viwanja vipya vya serikali kwa nini ni makanisa mawili tu ndo yanapata vile viwanja ni WAKATOLIKI NA WAANGLIKANA tena waanglikana wanalazimisha wakizubaa huwa wanapigwa bao sana tu angalia wakatoliki walivopata lile eneo kule bunju njia ya kwenda mbweni,
wakatoliki wamejaa nserikalini na hatari zaidi hadi usalama wa taifa wetu ni waumini wa kanisa katoliki tena devoted waumini! duh hii inasikitisha sana nchi ya uingereza huwezi kuwa M16 kama we ni mkatoliki, russia, holland, canada. na nchi nyingi tu, hii ni kwa usalama wetu
ukatoliki sio dini nyerere aliukumbatia kwa kutofahamu kwake na kusoma kwake sana akawa mvivu wa kufikiri na kutambua kuwa anauza nchi katika udini wa kupindukia.
nchi zote zenye wakatoliki wengi ama zenye kuutukuza ukatoliki zimekuwa maskini tukiwemo na sisi ,DRC,PHILLIPNES,PORTUGAL,MOZAMBIQUE,SPAIN,ITALY na nyinginezo.
wakatoliki ndio wanaofanya udini wa kukithiri katika nchi yetu.
 
Sometimes. Wewe uelewa wako ni wa chini kabisa. Ukiambiwa Afrika bara masikini,basi unaona wote masikini. Ukiambiwa Amerika ama Ulaya ni matajiri basi unachukulia watu wote huko ni matajiri!
Kama ni hivyo, kwanini mtu anakandya watu wa kusini wakati wapo matajiri pia!
 
wewe ndio punguani na utakuwa ni ccm tu wewe sio bure!!! yaani unaweza kuthubutu kusema mradi ghari kama wa reli ni wa kuweka na kutoa we mzima nini kama ndo hivo reli ya moshi inafanya nini hadi leo na hakuna jipya kule ile reli ya mtwara ilikuwa inakuja kuwainua waislam wa kusini kuwa na urahisi wa usafiri wa wao na mazao yao. kuelekea bandarini mtwara nyerere akaingo'a ili wazungu wa ndanda na songea peramihio waeneze ukristo kwa nguo za mtumba, na wawe maskiniii ili waukubali ukristo kwa njaaa
 
Mkoloni yupi unayemzungumzia? Muingereza alikuja kama "mdhamini" baada ya Mkoloni Mjerumani kushindwa vita ya Dunia, hivyo Muingereza alikuwa akijua kuwa wakati wowote ule ataondoka tu ndipo alipohakikisha kuwa siku ya kuondoka hataiwacha nchi katika mikono ya Waislamu, akawanyima elimu Waislamu na ndio maana hakujenga mashule katika maeneo ya Waislamu.
Muingereza akawapa elimu Wakristo ili kuhakikisha kuwa wakati atakapo ondoka anawaachia wao nchi!
Waislamu baada ya kuona wanabaguliwa wakaanza kudai uhuru kilichofuatia ni Nyerere kujipenyeza na kuli hijack suala zima la ukombozi wa nchi hii!

Mweeeeeehhhh!!!
 
Vipi sasa, baada ya kuwa ardhi ya Kiislamu, bado inaiongoza dunia au? Kwa hiyo umeanza sasa kupata akili eeh kuwa uislamu ukiingia maendeleo yanatokea mlango wa pili. Kwa hiyo na Misri nao waliharibiwa na Nyerere au?
Hawakusimamisha Shariah ya Kiislam! kama mapinduzi ya Misri na Egypt hivi karibuni mwanzoni ilikuwa ni kuweka Shariah ya Kiislamu lakini tena Marekani wameliteka suala zima la mapinduzi.
Las Mas Bobos said:
Sikumbuki kama Nyerere aliwahi kuwa kibaraka wa mtu kama ukibaraka huu tunaouona hapa. Hata kisa cha Nyerere kukataa kuchimbwa kwa madini ni ile hali ya ujeuri wake wa kukataa kuwanyenyekea wazungu
Kuna Kibaraka atakayekwambia mimi ni kibaraka?
Ninataka ufanye utafiti kuhusu nini kilimfanya Rais wa wakati huo wa Marekani lyndon B.Johnson aliweke suala la Zanzibar na Tanganyika top priority baada ya Vietnam na Cuba! nini kilimfanya William Attwood balozi wa wakati huo wa Marekani nchini Kenya aseme kuwa tuna mpango mwingine kama "mapinduzi" ya Zanzibar yatashindwa! nini kilimfanya US Secretary of State wa wakati huo Dean Rust aseme kuwa ni muhimu kwa Nyerere apewe msaada wa hali ya juu na nchi za Magharibi? listi haishii hapo! jamaa alikuwa ni msaliti na kibaraka!
Na kama ni lazima kwako uwe na baba wa Taifa, basi muite Rais wa Marekani wa wakati huo Johnson kuwa ndio babako wa Taifa kwa sababu ndiye aliye engineer uasisi wa nchi inayoitwa Tanzania.Nyerere alikuwa ni kibaraka tu aliyepewa majukum haya na Marekani (Soma kitabu kiitwacho US POLICY REVOLUTION: THE CREATION OF TANZANIA kilichoandikwa na Amrit Wilson kikionyesha baadhi ya official documents za Serikali ya US.
Kujiuza kwake kwa Wakatoliki kunajulikana wazi, sidhani hata kama kuna haja ya kuelezea.
 
nijuavyo mimi ni kuwa sehemu nyingi ambazo hazikuendelezwa ni zile ambazo zilithamini sana USHIRIKINA sijui kusini hali ikoje
 
Hawakusimamisha Shariah ya Kiislam! kama mapinduzi ya Misri na Egypt hivi karibuni mwanzoni ilikuwa ni kuweka Shariah ya Kiislamu lakini tena Marekani wameliteka suala zima la mapinduzi.Kuna Kibaraka atakayekwambia mimi ni kibaraka?
Ninataka ufanye utafiti kuhusu nini kilimfanya Rais wa wakati huo wa Marekani lyndon B.Johnson aliweke suala la Zanzibar na Tanganyika top priority baada ya Vietnam na Cuba! nini kilimfanya William Attwood balozi wa wakati huo wa Marekani nchini Kenya aseme kuwa tuna mpango mwingine kama "mapinduzi" ya Zanzibar yatashindwa! nini kilimfanya US Secretary of State wa wakati huo Dean Rust aseme kuwa ni muhimu kwa Nyerere apewe msaada wa hali ya juu na nchi za Magharibi? listi haishii hapo! jamaa alikuwa ni msaliti na kibaraka!
Na kama ni lazima kwako uwe na baba wa Taifa, basi muite Rais wa Marekani wa wakati huo Johnson kuwa ndio babako wa Taifa kwa sababu ndiye aliye engineer uasisi wa nchi inayoitwa Tanzania.Nyerere alikuwa ni kibaraka tu aliyepewa majukum haya na Marekani (Soma kitabu kiitwacho US POLICY REVOLUTION: THE CREATION OF TANZANIA kilichoandikwa na Amrit Wilson kikionyesha baadhi ya official documents za Serikali ya US.
Kujiuza kwake kwa Wakatoliki kunajulikana wazi, sidhani hata kama kuna haja ya kuelezea.

Utapoteza muda wako kusoma vitu ambavyo kamwe hutavielewa. Kama kulikwa na scene behind revolution na muungano wenyewe, basi ni imani yangu ilikuwa POLITICAL. Na si hapa kwetu, all over the World US Foreign Policy zilipenya na kufanya kazi. Zanzibar as a case, ni dhahiri ililazimu kuangaliwa hivyo kwa sababu za kiusalama.

Wasi wasi wangu kwa akili zenu unakuja hapa kwenye Ukatoliki. Kwa mfano, hawa Wamarekani unaowasema ni nambari moja kwa hujuma dhidi ya Ukatoliki wakifuatiwa na Wayahudi na nyie mkifuata. Sababu za kidini zinatoka wapi?

Nani aliwakataza Wamisri kuweka sharia za kiislamu? Kule Somalia na Sudan zipo, zimewasaidiaje kuwa na uchumi mkubwa kiasi waiongoze dunia zaidi ya kuona wamama wakicharazwa viboko na kukatwa vichwa kwa kesi za kupata mimba nje ya ndoa ilhali sioni mwanaume aliyewapa hizo mimba kichwa chake kikikatwa au kupigwa mawe. What is so special with sharia?
 
acha unafiki wewe, uchaguzi uliopita nyie waislamu kupitia redio yenu ya morogoro ndio mlitia unafiki ili dr Slaa asishinde kwa kishindo , sasa leo unaulaumu udhaifu wa kikwete unamaanisha nini, mlikuwa mnakata mti huku mmeukalia, kama alhaji Kikwete naye hamumuamini basi 2015 inabidi uamsho wasimamishe shehe wao yule agombee urais.

Ilikuwa ni kuchagua kati "afadhali vs. shauri yako"

Waislam tuliona tuchague afadhali???
 
Nafikiri Waislamu wa Darfur walikuwa na mawazo kama yako wakati wanamsapoti Al Bashir kupigana na watu wa kusini. Sasa hivi bila shaka wana akili timamu (kwa wale waliobahatika kusalia) na wanaelewa nini maana ya muungano. Zanzibar haiwezi kuishi bila adui wa kushindana naye na kumtupia lawama. Maalim kakaribishwa ikulu kwa hiyo sasa serikali yenu hamuwezi kuilaumu kwa hiyo sasa anatafutwa adui mpya.

Nimeanza kusikia waislamu wa bara wanaitwa CHOGO, nafikiri ni mapema mno. Endelea kuzuga, lkn mwenzio Sideeq kakubali na katupa mifano ya Syria na Misri. Mara baada ya kuwa ngome za waislamu, maendeleo yamerudi nyuma.

Wewe ni CHOGO au UAMSHO? Manake nisije nikawa naku-address kama Mzanzibari kumbe wewe ni wa hapa hapa ambaye tayari umeshaanza kubaguliwa

Eti wakristo kutoka Tanganyika wanawafundisha wazanzibar kitu bora kwao?? pathetic

Hivi wazanzibar wenyewe hawajui umuhimu wa muungano? kwanini nyie watanganyika (tena 100% wakristo) mko bitter sana swala la muungano au lina uhusiano na st. nyerere??
 
hadi mwaka 1980 mikoa ya lindi na mtwara yenye ukubwa mra mbili ya kilimanjaro ilikuwa ina shule ya sekondari ya juu moja tu nayo ni NDANDA HIGH SCHOOL wakati wilaya ya hai ilikuwa na jumla ya sekondari za juu na kati 200. kwa nini wasipate kazi serikalini na waibe na kutoa sadaka kanisani jumapili. na kuendeleza udini, kwa nini katika mipango ya serikali wao wasijue kwanza na kuipeleka kwa maaskofu wao na kuwapa taarifa ya kile kinachoendelea serikalini ndo maana CIA ukiwa mkatoliki hupati kazi labda utumiwe na agent tu,
wao ndio wanajua hadi mipango miji hivyo huwahi viwanja vya makanisa vikubwvikubw ushahidi angalia kila vinapotoka viwanja vipya vya serikali kwa nini ni makanisa mawili tu ndo yanapata vile viwanja ni WAKATOLIKI NA WAANGLIKANA tena waanglikana wanalazimisha wakizubaa huwa wanapigwa bao sana tu angalia wakatoliki walivopata lile eneo kule bunju njia ya kwenda mbweni,
wakatoliki wamejaa nserikalini na hatari zaidi hadi usalama wa taifa wetu ni waumini wa kanisa katoliki tena devoted waumini! duh hii inasikitisha sana nchi ya uingereza huwezi kuwa M16 kama we ni mkatoliki, russia, holland, canada. na nchi nyingi tu, hii ni kwa usalama wetu
ukatoliki sio dini nyerere aliukumbatia kwa kutofahamu kwake na kusoma kwake sana akawa mvivu wa kufikiri na kutambua kuwa anauza nchi katika udini wa kupindukia.
nchi zote zenye wakatoliki wengi ama zenye kuutukuza ukatoliki zimekuwa maskini tukiwemo na sisi ,DRC,PHILLIPNES,PORTUGAL,MOZAMBIQUE,SPAIN,ITALY na nyinginezo.
wakatoliki ndio wanaofanya udini wa kukithiri katika nchi yetu.

Ukatoliki haukwepeki yakhe. Unaona bungeni, taratibu kama za kanisa katoliki, hatoki mtu mpaka Spika atoke kwanza tehe tehe tehe! Ile fimbo ya bunge ni sawa na msalaba, unatolewa na spika anatoka halafu wengine wanafuata, kama chechi vile nasikia raha kweli.

Katoe maoni na wewe kwenye tume ya katiba jengo la bunge livunjwe tujenge upya lielekee kibra
 
mkuu unauaaaa...!
 
Pathetic!

Hujui nini unataka? Nakuuliza hivi: Unauliza kama vyuo na hospitali havikukuwepo kabla 1992 au unasema kuwa havikukuwepo?

Labda nikuongeze na swali lingine dogo: Unazijua hospitali za kanisa zinazopata ruzuku ya serikali au unasema kile unachohisi?

Before 1992 (kuanza mkataba wa kifisadi) kanisa halikuwa na hospitali wa chuo hata kimoja??

Kama una ushahidi mwingine tuwekea hapa..
 
Eti wakristo kutoka Tanganyika wanawafundisha wazanzibar kitu bora kwao?? pathetic

Hivi wazanzibar wenyewe hawajui umuhimu wa muungano? kwanini nyie watanganyika (tena 100% wakristo) mko bitter sana swala la muungano au lina uhusiano na st. nyerere??

Sijakuelewa, povu la nini kama Bassaleh. Ongea taratibu nikuelewe. Wakristo wamefanyaje?

Halafu nimekuuliza wewe ni chogo au uamsho?

Watanganyika walishawahi kukuambia kuwa bila muungano wao watakufa? Kuna nini kinalimwa huko Zanzibar ambacho tutakikosa? We kweli juha. Suala la muungano kaulize kwenye ikulu ya mkoa wenu wa Zanzibar, mimi sio ndio Rais wako. Kamuulize Maalim, kwa nini hatujitoi? Nenda sasa hivi, acha kutoa povu
 
Ukatoliki haukwepeki yakhe. Unaona bungeni, taratibu kama za kanisa katoliki, hatoki mtu mpaka Spika atoke kwanza tehe tehe tehe! Ile fimbo ya bunge ni sawa na msalaba, unatolewa na spika anatoka halafu wengine wanafuata, kama chechi vile nasikia raha kweli.

Katoe maoni na wewe kwenye tume ya katiba jengo la bunge livunjwe tujenge upya lielekee kibra

Unakubali kumbe bunge la wakatoliki na la kikatoliki...sasa kaa kimya umeme ukikatika..hivi ndivyo wakatoliki wanavyoongoza..

Peleka mihela kanisani upate paradise kama st. nyerere..
 
Sijakuelewa, povu la nini kama Bassaleh. Ongea taratibu nikuelewe. Wakristo wamefanyaje?

Halafu nimekuuliza wewe ni chogo au uamsho?

Watanganyika walishawahi kukuambia kuwa bila muungano wao watakufa? Kuna nini kinalimwa huko Zanzibar ambacho tutakikosa? We kweli juha. Suala la muungano kaulize kwenye ikulu ya mkoa wenu wa Zanzibar, mimi sio ndio Rais wako. Kamuulize Maalim, kwa nini hatujitoi? Nenda sasa hivi, acha kutoa povu

Haya tupige makofi na tuimbe pamoja haleleuya??? nimekusikia

Sasa usijadili mambo ya wazanzibar kwani ni kiazi mno
 
Back
Top Bottom