Las Mas Bobos
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 991
- 326
Fanya utafiti kidogo kuhusu thamani ya pesa Kiislamu, je ni karatsi, ni coins za fedha? coins za dhahabu? halafu rudi hapa jamvini tuijadili.
Wanachofanya katika Islamic Banking System ni kujaribu kuiweka kuwa ya Kiislamu kiasi wanachoweza.
Kuhusu wewe kuwa una running the world, ninachokuambia kuwa ndio inawezekana kuwa una run the world, lakini usisahau kuwa Misri chini ya Firauni ilikuwa iki run the world katika wakati wao, sasa hivi ni ardhi ya Waislamu, Levante (Syria,Lebanon,Jordan) hizi zote zili run the world katika wakati wao huku ikiwa ni stronghold ya Kanisa,leo hii ni nchi za Waislamu.
Ninakukumbusha tu.......vipi mjadala kuhusu "st" Nyerere!tuufunge?
This much honest, St. Sideeq!
Vipi sasa, baada ya kuwa ardhi ya Kiislamu, bado inaiongoza dunia au? Kwa hiyo umeanza sasa kupata akili eeh kuwa uislamu ukiingia maendeleo yanatokea mlango wa pili. Kwa hiyo na Misri nao waliharibiwa na Nyerere au?
Sasa kinachokufanya ushangae Pwani, Lindi na Mtwara ni nini ikiwa unajua kuwa ni ardhi ambazo waislamu mpo?