aabb
Senior Member
- Jan 2, 2011
- 105
- 19
Sehemu ambazo zimeendelea zimetokana na watu wake kupata elimu dunia toka wakati wa ukoloni. Sehemu ambazo elimu dunia haikupewa msisitizo mapema maendeleo ni kidogo.Kwanini Nyerere hakuendeleza kusini kwa miaka mingi?
Kwanini sehemu nyingi zenye Waislamu wengi hazikuendelezwa kwa miaka mingi? (Hii ni tokea ukoloni)
Jadili.