Kwanini Mrisho Mpoto havai viatu?

u
Misimamo mingine mi nadhani sio mizuri.

Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?

Anaingiaje kwenye public toilets?

Mimi nadhani its high time ashauriwe kuvaa viatu au hata open shoes.
unamfundisha kazi sio? kwani kukaa peku kunahusiana nn na maisha yako au yeye kuwa peku ameanza leo
 
hiyo ni imani yake hapaswi kuingiliwa.. sawa nawe ulivyo na imani yako hakuna anayekuingilia,,
 
Misimamo mingine mi nadhani sio mizuri.

Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?

Anaingiaje kwenye public toilets?

Mimi nadhani its high time ashauriwe kuvaa viatu au hata open shoes.
Mwaka jana TB joshua katua ardhi ya bongo peku peku mkamsifia kweli kweli,leo hii ndugu yenu mzaramo mrisho mpoto anapekua mna mponda,daah wabongo mna matatizo sana hadi shetani ana wagwaya!!
 
Misimamo mingine mi nadhani sio mizuri.

Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?

Anaingiaje kwenye public toilets?

Mimi nadhani its high time ashauriwe kuvaa viatu au hata open shoes.
anawakilisha uafrica wetu na asili yetu halisi
 
Misimamo mingine mi nadhani sio mizuri.

Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?

Anaingiaje kwenye public toilets?

Mimi nadhani its high time ashauriwe kuvaa viatu au hata open shoes.
Anafanya hivyo due to publicity. Attention, haswa akiona ameenda sehem ambazo watu flani watamuona because nishawahi kumuona kwenye shule moja bagamoyo alienda kum visit kijana wake na alivaa tu vizuri na viatu vyake tena vyakutumbukiza.
 
Hivi huyu msanii kutovaa viatu tatizo ni nini hasa sijamue kupekua na kuimba kwenye matamasha bila viatu
 
Back
Top Bottom