Kwanini Mrisho Mpoto havai viatu?

Mkubwa hayo Maamuzi binafsi sana Mbona huwaambii hawa masharobaro wasinyoe viduku.....kikubwa misimamo yake anataka kufeel nature...,Mbona mapadre wakapuchini Moja ya sheria zao ni kutovaa viatu bana..mi naheshimu maamuzi yake
 
Nimeangalia upande wa afya hasa ukizingatia magonjwa ya milipuko kama ebola nk
 
Kweli kuna vitu ni maamuzi binafsi ila is stupid kutokuvaa viatu sababu mjini hatari za magonjwa ni nyingi viwembe vimetupwa,public toilet chafu,magonjwa ya muambukizo kibao.Japo ni maamuzi binafsi ila sio sahihi.
 
Anadai anataka mahusiano ya moja kwa moja kati ya ardhi na mwili wake ila hata simuelewi kivipi.
 
Back
Top Bottom