Kwanini Mrisho Mpoto havai viatu?

Labda wizara ya afya wakimpa tenda ya kuhamasisha mapambano ya kupiga vita funza, ndio atabadili mawazo.
 
Mjomba Kageuka kua Shangazi,, Big Up Saana kwa wanaojiita watetea haki za wanyonge aka Roma na Mpoto
 
by barafuyamoto;
Havai kwenye video zake tuu na kwenye baadhi ya matukio anayokuwapo. Ukikutana nae kariakoo utamkuta na viatu.

Mkuu barafuyamoto Usiseme hivyo, huyu pimbi nimemshuhudia kama mara mbili hiviii Dodoma (st John's university) akiwa anaenda MSALANI peku peku bila viatu!!, vyoo vyenyewe vya chuooo????? Huyu jamaa ni bogus kabsaa!
 
Last edited by a moderator:

Kimekuuma nini?
Ndo maisha yake aliyoyachagua.
 
Last edited by a moderator:
by arola;
Kimekuuma nini?
Ndo maisha yake aliyoyachagua.

Kilichoniuma ni hiki~Alipita karibu yangu akanikanyaga na hilo gamba lake kavu la mguu huku akitokea MSALANI, na ukizingatia sipendi uchafu,
arola uwe unamwogesha na kumvalisha viatu hata kwa nguvu bhana anakutia aibu sana!
 
Vijana wa bavicha utawajua tu kupitia posts zao. Wamejaa chuki na roho mbaya kwa kila mtu asiyekubaliana na mawazo yao.
 
Last edited by a moderator:
by arola;
Vijana wa bavicha utawajua tu kupitia posts zao. Wamejaa chuki na roho mbaya kwa kila mtu asiyekubaliana na mawazo yao.

Unaona akili yako ilivyo sawa na huyo bwana'ako?
Hapa Bavicha inaingiaje?
Hili la kutomvalisha viatu na kutokuoga nitaendelea kutokukubaliana wewe daima arola,
 
Last edited by a moderator:
mbona hapa kavaa,nae ni muigizaji tu
Bwana-ShambaYonakulia-akiwa-na-Mrisho-Mpoto..jpg
 
Mimi ni mfuasi mkubwa wa msanii mkubwa sana hapa Tz na anayetambulika Afrika kwa ujumla Mrisho Mpoto,nataka kujaua kwa kina zaid kwanin huyu jamaa havai viatu wala baadhi ya mavazi km nguo za kisasa, kwanini aliamua kutembea peku mda mwingi? Nani anajua siri yake anifahamishe
 
Back
Top Bottom