muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 13,582
- 10,251
Huyu jamaa kwa misifa hajambo..
Mi ananiuzi ile miblauzi yake tu.
Hapana nadhani mkuu hujamwelewa huyu bwana,Elewa tu kuwa nyayo zake zina sifa zifuatazo;Kweli kuna vitu ni maamuzi binafsi ila is stupid kutokuvaa viatu sababu mjini hatari za magonjwa ni nyingi viwembe vimetupwa,public toilet chafu,magonjwa ya muambukizo kibao.Japo ni maamuzi binafsi ila sio sahihi.
Hapana nadhani mkuu hujamwelewa huyu bwana,Elewa tu kuwa nyayo zake zina sifa zifuatazo;
- Wadudu proof
- Ungua proof
- Mbigili proof
- Visiki proof
- Mawe proof
- kijikwaa proof
- kukanyagwa na watu proof
Ana maradhi ya ndunda.Mimi ni mfuasi mkubwa wa mrishi mpoto na msanii mkubwa hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla..napenda kujua kwanini huyu jamaa hapendi kuvaa viatu, naomba anayejua siri ya mafanikio yake aniambie.
ana prado la mill 60, nyumba tatu, show za ulaya kila wiki..miblauzi ndo imafanya hayo yoteMi ananiuzi ile miblauzi yake tu.