kwani shida yako ni nini au wewe ni msemaji wa jeshi la wananchi wa tanzania
kuna siasa gani hapo au ww mda wote ndio wawaza siasa? yaonekana huna hata ulijualo watu tuliuliza ili kufahamishwa na humu kuna watu wameshusha majibu na elimu ambayo hata ww hapo huna ufaham juu yahayo.usiwaze siasa mda wote ndugu utashindwa kufanya mambo ya msingi