Isue inayojadiliwa ni Escort wewe unaanzisha story zako zakufikirika eti sijui fulani kupindua sijui nini. Stick kwenye Hoja. Halafu hata hayo uliyoandika kwa kweli Hujui lolote zaidi kuwa ni ILUSION tu.Mkuu wa majeshi ana ulinzi wake maalumu toka kwa wanajeshi wa kawaida na makomandoo, kule anakokwenda pia tayari kambi za huko huwa zimetaarifiwa juu ya ziara au msafara wa mkuu wa majeshi hivyo kujipanga kutoa ulinzi.
Kumbuka ndani ya jeshi kuna kitengo maalumu cha ujasusi, kwa hivyo ni vigumu sana kumjua nani jasusi na nani siyo hata TISS ina watu wake maalumu huku jeshini.
Endapo kuna mapinduzi ya kijeshi Mkuu wa majeshi huwa ahusiki ingawa taarifa za mapinduzi huwa anazo.
Wanajeshi wenye vyeo vya chini mfano Captain, kanali ndo huwa wanapindua nchi kwa Baraka za Wakuu wa kijeshi, hao wakuu wa kijeshi kazi yao ni kuwapa taarifa wakuu wa vikosi vya zones na mikoani