Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 26,863
- 50,058
Kuna muda data unapika ukishajua range inaendaje...ukishaangalia pilot test iko aje unaweza kupika za chini...Pcb ilikua mziki sana ukizingatia bam nayo sio ya kitoto
Practical nilikua bingwa wa kufoji practical aisee, necta nilipangiwa sehemu ya kuanza kufanya practical ya umeme yule msimamizi alinichek mpaka akacheka, yaani sikuunga kitu chochote jamaa anakuja kuniambia muda unaenda mbona hufanyi practical anakuta ndo namalizia kuchora graph nishamaliza saa nyingi...
Akaishia kucheka tu ananiuliza sasa we hizi data umezipataje