rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,569
- 42,158
Enzi hizo tumeripoti shulee waalimu wakaanza mikwaraa ya kujaa na Introduction za nguvuu watoto waliotoka Private wakaona eehe hii ndo shuleee..dadekii miezii ikaanza kukataaa na A level somo kama physics unaweza fika form six bado unasoma topic moja ya mechanics Hapo ndo utajua uliingia chaka kuwasikiliza waalimu ungekomaa ujisomeee na tuition maana Pepa wakitunga wanatunga mpaka ambavyo hawatarajiii kufundishaa.