Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,533
Mkuu hizi taratibu zimeandikwa wapi na za mwaka gani? Lakini hata kama ndo ivyo we unaona ni sahihi kufunika competence in the cloud of taratibu?Suala hapa siyo competence ye mtu bali ni taratibu zetu. kwa desturi uteuzi wa mawaziri unazingatia kubalance pia mikoa. Kama asingemteua Maselle unadhani kuyoka Shinyanga angemteua nani?