Kwa uteuzi wa Masele, Hakika sasa nimeamini Familia ya Kikwete ina Hisa kwenye Madini

Suala hapa siyo competence ye mtu bali ni taratibu zetu. kwa desturi uteuzi wa mawaziri unazingatia kubalance pia mikoa. Kama asingemteua Maselle unadhani kuyoka Shinyanga angemteua nani?
Mkuu hizi taratibu zimeandikwa wapi na za mwaka gani? Lakini hata kama ndo ivyo we unaona ni sahihi kufunika competence in the cloud of taratibu?
 
kwa utashi na mfumo tulionao sasa hapa bongo, cha kwanza kwa jk kukitizama ni utashi na maslahi yake kwanza. hayo mengine yote ni secondary kabisa kwake. kwa hiyo lolote alifanyalo atajitazama yeye kwanza. akishajiridhisha, ndo nyie wengine mtafuata
 
SalutationHonourableMember picture
1660.jpg
First Name: Stephen
Middle Name: Julius
Last Name:Masele
Member Type:Constituency Member
Constituent: Shinyanga Mjini
Political Party: CCM
Office Location: Box 127, Shinyanga
Office Phone: +255 658 286000/+255 767 286000
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Kilakala Primary School, MorogoroPrimary Education19871991PRIMARY
Kanawa Primary School, ShinyangaPrimary Education19921993PRIMARY
Mwenge Secondary School, SingidaO-Level Education19941997SECONDARY
Morogoro Teachers' CollegeCertificate19982000CERTIFICATE
University of Dar Es SalaamBA20012004GRADUATE
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Shinyanga Town Constituency20102015
MIC (T) LTD (TIGO)Distribution Coordinator Zonal20072010
Stanbic BankCustomer Relation Officer20052007
Standard Chartered BankLoan Officer20042005
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson - Regional UVCCM2008Todate
Chama Cha Mapinduzi, CCM2008Todate
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - University Youth Team2003
PUBLICATIONS
Description Published Date
No items on list
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type Recognition DateReasonAction TakenIssued by
No items on list

Napata wasiwasi na CV ya Masele kwani mujibu wa ufahamu wangu, chuo cha ualimu morogoro ualimu wa cheti ulikoma mwaka 1999. hapakuwa na wanachuo wa cheti mwaka 2000.yeye kahitimu mwaka 2000 (uongo). Mimi nilijiunga na mafunzo ya ualimu diploma mwaka 1998 na kuhitimu 2000, sikumfahamu Masele je alikuwa morogoro ipi.

Kwa level ya University ni sawa kabisa kwani alijiunga mwaka 2001 na kuhitimu 2004 kwani tulikuwa tunaishi wote Kijitonyma hostel.
Ukiangalia vizuri anasema 2000 kamaliza certificate ya ualimu morogoro, 2001 alijiunga university. je ni sifa gani zilimpeleka university? Certificate ya ualimu pekee haitoshi , je alikuwa na sifa zingine ambazo hazipo kwenye CV? any way this is our beloved country bwana!!

OMG..Hii CV ya huyu jamaa utumbo kabisa! Kikwete ni mvivu wa kufikiri... Ama kweli uwaziri ni wizi wa mchana kweupe katika Serikali hii ya Kikwete

Tutaendelea kuibiwa hadi tukome....
 
Suala hapa siyo competence ye mtu bali ni taratibu zetu. kwa desturi uteuzi wa mawaziri unazingatia kubalance pia mikoa. Kama asingemteua Maselle unadhani kuyoka Shinyanga angemteua nani?

Wapo akina Mh.Lembeli(khm), Ahmed(solwa), Nchambi(kishapu),
Chenge aka vijisenti(bariadi), nk.....
 
Kikwete ni mjanja. Wizara nyeti zote ameweka walinzi wake. Hata akiweka watendaji wazuri wanaokubalika na jamii lazima apachike mtu wake ili iwe rahisi kupenyeza mambo yake. Hilo ni donda ndugu halikwezi kwisha. Hakuna asiyejua kuwa Masele amepachikwa tu kwa ajili ya ulinzi wa mzee mzima.

Kujuana ndiyo sera,je unakubaliana nami kwamba mkuu wa kaya ni swahiba wa lukuvi? LUKUVI ni swahiba wa mgimwa? Hata mwaka 2010 kwenye kampeni pale wasa Lukuvi alisema je hamuoni hata majina yetu ni William?NCHI Hii ni ushikaji,naomba rais ajaye[CDM] ASIJE NITEUA KWA KUNIJUA KISHIKAJI,BALI KWA NGUVU YA UMMA.
 
Kumbuka siasa ni mchezo wa kuzidiana kete. wachea wapete tu, wakati unafaa. Lakini pia tuachane na majungu na kuchafuana kwenye jamvi. Mwenye ushahidi amwage hapa na tuatajua namna ya kuzitumia kwa maslahi ya nchi hata kama ni kufahamishana tu. Tuachane na mambo ya tetesi hayasaidii zaidi ya kutuongezea hasira.
Umenena kweli, asiyeweza kulitambua suala la "siasa ni mchezo wa kuzidiana kete" basi hawezi kuelewa siasa. Na hapo ndipo watu tunaingia kwenye mgogoro wa kupinga kila kitu kumbe kuna kundi tunalolifaidisha badala ya kuangalia issue muhimu za maendeleo.
 
WADAU,
Kwa muda mrefu kumekuwa na fununu mitaani kwamba mbunge wa Shinyanga Mjini Mhe. Masele ni swahiba mkubwa wa mtoto wa Kikwete R1 na inasemekana wakati wa uchaguzi wa ubunge uliopit, R1 ali-play role kubwa kuhakikisha Masele anashinda. Kwa wale wasiofahamu au kukumbuka, jimbo la Shinyanga ndiyo lililotia fora nchi nzima kwa wagombea kutofautiana kwa kura moja tu. Mhe. Masele alipotangazwa kuwa ni mshindi ilitokea vurugu kubwa iliyosababisha hata ofisi ya Halmashari ya Manispaa ya Shinyanga kupigwa kiberiti na Msimamizi wa uchaguzi Mkurugenzi wa Halmashauri kukimbia ofisi yake. Mgombea machachali wa cdm Marehemu Shelembi alipokwa ushindi mchana kweupe na kusababisha masikitiko makubwa kwa wakazi wa Manispaa ya Shinyanga. Baada ya hapo, mpaka leo wananchi wa Manispaa ya Shinyanga wamemkana Mhe. Masele. Inasemekana hivi karibuni Mhe. Masele aliitisha mkutano ili aweze kuongea na wapiga kura wake lakini wananchi wachache sana walihudhuria na kusababisha mkutano kuahirishwa.

Kinachonishangaza, pamoja na kutokubalika huko kwa Mhe. Masele, Kikwete ameona anafaa kuwa Naibu Waziri wa wizara nyeti kama ya Nishati na Madini. Kijana Masele ambaye hana elimu ya maana, aliyezaliwa mwaka 1976 hana rekodi yoyote ya utumishi wa umma iliyotukuka zaidi ya kuwa Meneja wa Tigo. Hivi Kikwete anaweza akatueleza ni nini alichokiona cha maana kutoka kwa kijana huyo kiasi cha kumkabidhi jukumu zito la kitaifa kama hilo!!! Mara kadhaa nimekuwa nikisikia kwamba familia ya Kikwete ina hisa kwenye Kampuni ya African Barrick Goldmine inayomiliki migodi ya Bulyankulu na Buzwagi kwa upande wa Shinyanga na inaaemekana ndiyo R1 rafiki wa karibu wa Masele anakopata mitaji yake ya biashara. Je, kwa uteuzi huu wa Masele kwa nini nisiamini fununu hizo na kwamba Masele amewekwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya familia ya Kikwete!!
Mkulu ameshajua kuwa game limefika mwisho lazima ajipange ili mwisho wa siku atakuwa na mahali pa kushika!!!!
 
Suala hapa siyo competence ye mtu bali ni taratibu zetu. kwa desturi uteuzi wa mawaziri unazingatia kubalance pia mikoa. Kama asingemteua Maselle unadhani kuyoka Shinyanga angemteua nani?
Umechemka ndugu unatumia akili za mabua hivi uteuzi ufanyike kikanda kwa manufaa ya kanda au taifa hapa tunachozungumzia ni masuala ya kitaifa.
 
Mkulu ameshajua kuwa game limefika mwisho lazima ajipange ili mwisho wa siku atakuwa na mahali pa kushika!!!!
Kwa madudu anayoyafanya hatakuwa na mahari pa kushika, kwani gaddaf si alishika yuko wapi leo mshahara wa dhambi ni............. inabidi wajifikirie kwa mapana zaidi.
 
Kujuana ndiyo sera,je unakubaliana nami kwamba mkuu wa kaya ni swahiba wa lukuvi? LUKUVI ni swahiba wa mgimwa? Hata mwaka 2010 kwenye kampeni pale wasa Lukuvi alisema je hamuoni hata majina yetu ni William?NCHI Hii ni ushikaji,naomba rais ajaye[CDM] ASIJE NITEUA KWA KUNIJUA KISHIKAJI,BALI KWA NGUVU YA UMMA.
Kwanza katiba mpya ifunge milango kuchagua mtu kwa kujuana; 1.Mawaziri wasiwe wabunge. ;2. Mtu achaguliwe kwa competence wala si vinginevyo; 3. Mtu kuchaguliwa uwaziri lazima ifanyike vetting elimu yake,integrity yake kwa jamii anayoishi; Ziwepo tume za kuchagua watu kwenye nyazifa fulani fulani ili tupate watu wenye weredi na maadili mema wa kuwajibika kwa taifa badala ya kuwajibika kwa mtu binafsi!!!

WADAU,
Kwa muda mrefu kumekuwa na fununu mitaani kwamba mbunge wa Shinyanga Mjini Mhe. Masele ni swahiba mkubwa wa mtoto wa Kikwete R1 na inasemekana wakati wa uchaguzi wa ubunge uliopit, R1 ali-play role kubwa kuhakikisha Masele anashinda. Kwa wale wasiofahamu au kukumbuka, jimbo la Shinyanga ndiyo lililotia fora nchi nzima kwa wagombea kutofautiana kwa kura moja tu. Mhe. Masele alipotangazwa kuwa ni mshindi ilitokea vurugu kubwa iliyosababisha hata ofisi ya Halmashari ya Manispaa ya Shinyanga kupigwa kiberiti na Msimamizi wa uchaguzi Mkurugenzi wa Halmashauri kukimbia ofisi yake. Mgombea machachali wa cdm Marehemu Shelembi alipokwa ushindi mchana kweupe na kusababisha masikitiko makubwa kwa wakazi wa Manispaa ya Shinyanga. Baada ya hapo, mpaka leo wananchi wa Manispaa ya Shinyanga wamemkana Mhe. Masele. Inasemekana hivi karibuni Mhe. Masele aliitisha mkutano ili aweze kuongea na wapiga kura wake lakini wananchi wachache sana walihudhuria na kusababisha mkutano kuahirishwa.

Kinachonishangaza, pamoja na kutokubalika huko kwa Mhe. Masele, Kikwete ameona anafaa kuwa Naibu Waziri wa wizara nyeti kama ya Nishati na Madini. Kijana Masele ambaye hana elimu ya maana, aliyezaliwa mwaka 1976 hana rekodi yoyote ya utumishi wa umma iliyotukuka zaidi ya kuwa Meneja wa Tigo. Hivi Kikwete anaweza akatueleza ni nini alichokiona cha maana kutoka kwa kijana huyo kiasi cha kumkabidhi jukumu zito la kitaifa kama hilo!!! Mara kadhaa nimekuwa nikisikia kwamba familia ya Kikwete ina hisa kwenye Kampuni ya African Barrick Goldmine inayomiliki migodi ya Bulyankulu na Buzwagi kwa upande wa Shinyanga na inaaemekana ndiyo R1 rafiki wa karibu wa Masele anakopata mitaji yake ya biashara. Je, kwa uteuzi huu wa Masele kwa nini nisiamini fununu hizo na kwamba Masele amewekwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya familia ya Kikwete!!

Umbeya tu huna loloootee!!
 
Ajiandae kung'oka 2015,mzee mwenyewe nimejiandaa vilivyo!Dhuluma na manyanyaso kwa wananchi wa Shinyanga mwisho wake ufike.Mibunge mbumbumbu kama masele,lembeli na ile miarabu ni ya kutimua ikiwezekana hata kwa fimbo! Ni wachumia tumbo tu,ona mkoa ulivyo nyuma kimaendeleo,bungeni ni kimyaaa!!!!!!!! Kunguru kabisa.
 
safari ya maili elfu moja huanzia hatua ya kwanza.Naamini safari yetu ya maendeleo haijaanza na sioni timu ya uongozi na/au utawala ya kuianzisha,so nasema tujipange upya kwa 2015
 
Mtanzania!! hatuchagui mtu kwa kuangalia ametoka mkoa gani, kabila gani, dini gani!!! Huu ni ufinyu wa fikra na kitu ambacho kitatusumbua sana kizazi hiki. Tupo kwenye kipindi kigumu maana tunatamani kuandika historia kutoka kwenye kizazi hiki lakini kama bado tuko na watu wenye mawazo kama yako hakika tumepotea na hatuwezi fanya lolote la kukumbukwa na vizazi vijavyo. Tumia nafasi yako hasa kwenye jamvi hili kuelimisha umma wa Watanzania kwenye mambo ya msingi katika mustakabali wa taifa letu.Wizaraya nishati na madini ni sekta nyeti katika maendeleo ya taifa letu hatuitaji usanii wa aina yoyote kama umeona kuna kasoro kwenye uteuzi wa viongozi tafadhali tujuze ili tuweze kujua ni lipi tutegemee lakini sio masuala ya viashiria vya kuishiwa wa hoja. ACHANA NA FIKRA ZA KIBAGUZI KUWA SEHEMU YA MABADILIKO TUNAYO YATAFUTA KUTOKA KWENYE KIZAZI HIKI ILI TUANDIKE HISTORIA.
 
Back
Top Bottom