Kwa uteuzi wa Masele, Hakika sasa nimeamini Familia ya Kikwete ina Hisa kwenye Madini

Mna moyo sana... ni kitu gani kiliwafanya muamini kuwa kuwa kanuni ambazo zinamuongoza rais kufanya uteuzi zingebadilika baada ya kuona teusi tatu za nyuma za mawaziri? kwanini leo abadilike?
 
Niliwahi kusema kuhusu masele kuteuliwa uwaziri, na hli nililigundua kutokana na tabia ya jk kulinda maslahi yake huku shyt[rejea post zangu] ila wanashy mimi ni mbunge wao mtarajiwa..
 
Kweli nimesikitishwa na huu uteuzi wa Masele kwani hana lolote, jimboni kwetu kwanza hakushkinda aliiba kura yeye na makamba yani hilo bomu kubwa sana kwetu sisi wanashinyanga
 
Kweli nimesikitishwa na huu uteuzi wa Masele kwani hana lolote, jimboni kwetu kwanza hakushkinda aliiba kura yeye na makamba yani hilo bomu kubwa sana kwetu sisi wanashinyanga
Poleni. Hiyo ndiyo bongolala. Wakubwa wanaweka mipango ya kulindana. Masele ndiye mbunge pekee asiyetakiwa na wananchi wa jimbo lake lakini bado kiwete ameona anafaa. Duuu, hakika bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
 
Sio vizuri kutumia hisia katika mambo kama haya, hebu tumpe nafasi Maselle na hiyo timu mpya nzima tuwapime kwa vigezo vya utendaji kazi wao, wakiboronga ni wembe ule ule uliowanyoa kina Ngeleja, Mkullo na wengine hautamuacha Maselle, Wabunge wetu vijana hawataki upuuzi tena kama yeye Maselle anafikiri hii nchi ni mali ya Ritz1; basi na aende akaboronge aone kitakachomsibu; it is no longer business as usual. This is Tanzania in the 21st century.

Yaani kabisa una matumaini kuwa anaweza kufanya vizuri kwenye serikali hii ya CCM na mfumo huu uliopo. Nna shaka kubwa na uelewa wako wa siasa za CCM.
 
ikiwa fiz1 ameyafanya hayo na kumshawishi baba yake kumchaguwa mtu ambaye hana sifa kiutendaji basi amefanya makosa makubwa.
 
Hivi kwanini JK hakumteua angalau James Lembeli kama alitaka watu wa kukamilisha uwakilishi kikanda? Masele is a timely bomb!
 
Pale kuna kampuni mmoja inachimba madini ya Almasi inamilikiwa na Mwarabu, Familia ya JK inaurafiki mkubwa sana na waarabu hawa. Huko nyuma kulikwisha wahi kuwa na kesi ya mipaka kati ya Kampuni hii na ile ya Williamson Diamonds lakini waarabu hawa walishinda kesi kwa mazingira ya kutatanisha sana (inasemekana Ikulu iliingilia). Waarabu hawa wana International school inayoitwa Savanahh Int. School hii ilifunguliwa na JK. Familia ya JK inaurafiki mkubwa sana na waarabu hawa ambao wanagandamiza maaendele ya wanaShinyanga na Tz kwa kuiba mali zao wakishirikiana na viongozi.
 
Ninajua kuwa katiba yetu inampa rais wa nchi madaraka yote ya kuteua mtu yeyote kuwa waziri. Anaweza kutumia madaraka hayo kuteua watoto wake wote na mke wake pamoja na nyumba zake ndogo zote kuwa mawaziri katika wizara mbalimbali bila kuwa amevunja sheria yoyote ile.

Jambo la maana ninaloona hapa ni huo uhusiano wa familia ya Kikwete na kampuni ya madini ya Barick. Mwaka 2005 alipokuwa akihutubia Bunge letu kwa mara ya kwanza baada ya kuukwaa urahisi, Kikwete aliahidi kupitia upya mikataba ya madini kusudi iwe na manufaa kwa taifa. Baada ya miezi miwili tu, Bwana Sinclair alikwenda kumtembelea hapo Ikulu, na kuanzia hapo ahadi za kupitia mikataba ya madini ikaanza kuyumbayumba na badala yake ikaanza kuwa ni hiari kwa makampuni ya madini kufanya hivyo, na kuwa hiyo 3% tuliyokuwa tunapata ndiyo the best deal. Kwa hiyo kila ninaposikia mambo yanayoihusisha familia ya Kikwete na makampuni ya madini, hasa Barick, huwa ninalisikitikia sana taifa langu hili.
 
Kumbuka siasa ni mchezo wa kuzidiana kete. wachea wapete tu, wakati unafaa. Lakini pia tuachane na majungu na kuchafuana kwenye jamvi. Mwenye ushahidi amwage hapa na tuatajua namna ya kuzitumia kwa maslahi ya nchi hata kama ni kufahamishana tu. Tuachane na mambo ya tetesi hayasaidii zaidi ya kutuongezea hasira.
Hujui maana ya siasa.hata hivyo kama unahitaji ushahidi ili ufanyiwe kazi kwa manufaa ya taifa,hii taarifa ni chanzo cha kukufanya ufanye utafiti ili yote unayohitaji kwa ajili ya ku-pile kesi uyapate.
Labda tu kukuongezea ni kwamba ni kweli masele na R1 they are close friend moja,pili hata hiyo UDA usidhani inahujumiwa na Simon,yumo humo R1 na ndio maana hata mzee wa kuwaambia wabunge wanafikiri kwa masaburi alitoa lugha hiyo kwa vile anauhakika wa asilimia 100 kuwa kuna mkono wa mtoto wa mkuu wa kaya hivyo hakuna cha kumfanya.
Huyo Simon ni best friend wa R1 pia na ndio maana kipindi cha uchaguzi uliopita Simon alimpiga ngwala OCD wa Maswa na hakuna aliemchukulia hatua,zaidi R1 alikwenda maswa kumuongezea nguvu na kuzima hatua ambazo angeweza kuchukuliwa hatua.
 
Pale kuna kampuni mmoja inachimba madini ya Almasi inamilikiwa na Mwarabu, Familia ya JK inaurafiki mkubwa sana na waarabu hawa. Huko nyuma kulikwisha wahi kuwa na kesi ya mipaka kati ya Kampuni hii na ile ya Williamson Diamonds lakini waarabu hawa walishinda kesi kwa mazingira ya kutatanisha sana (inasemekana Ikulu iliingilia). Waarabu hawa wana International school inayoitwa Savanahh Int. School hii ilifunguliwa na JK. Familia ya JK inaurafiki mkubwa sana na waarabu hawa ambao wanagandamiza maaendele ya wanaShinyanga na Tz kwa kuiba mali zao wakishirikiana na viongozi.
Step hivi mwarabu mwenyewe si niyule mwenye jina linaloanzia na PHANTO.....kama ni huyo ni kweli anamiliki international school ambayo ilifunguliwa na kina JK na hata hivyo si nasikia mkuu wa kaya anahisa katika mgodi huo wa almasi kama unaelekea kule Idukilo,si ndiyo wanamaganzo?
 
Sio Masele peeyake angalia watu aliowaweka ktk bodi ya madini kamueka na yule swahiba wake richard kasesela

Umenena KWELI, hatuhitaji ushahidi wa maandishi, mazingira tu yatosha kusema "kumbe Magao toka kwenye madini ni mkubwa ila Taifa linaambulia 3% na vigogo wanakula zaidi"

Nimeunga dot inatokea picha ya kuundwa kwa baraza hili ni kufunika kombe, wakikaa mwaka tuna anza kuzungumzia uchaguzi Mkuu. Kutawala Tanzania ni rahisi sana-ni kucheza na matukio tu siku zina kwenda!
 
Pale kuna kampuni mmoja inachimba madini ya Almasi inamilikiwa na Mwarabu, Familia ya JK inaurafiki mkubwa sana na waarabu hawa. Huko nyuma kulikwisha wahi kuwa na kesi ya mipaka kati ya Kampuni hii na ile ya Williamson Diamonds lakini waarabu hawa walishinda kesi kwa mazingira ya kutatanisha sana (inasemekana Ikulu iliingilia). Waarabu hawa wana International school inayoitwa Savanahh Int. School hii ilifunguliwa na JK. Familia ya JK inaurafiki mkubwa sana na waarabu hawa ambao wanagandamiza maaendele ya wanaShinyanga na Tz kwa kuiba mali zao wakishirikiana na viongozi.

Mkuu
Malizia tu ni Phantom Hillary,baba Yake na Azza mbunge WA viti maalumu kutoka mkoa WA Shinyanga na mjumbe WA NEC ya CCM
 
Acheni ujinga. Kwani hamjui? Soma hapa chini:

Jk+rostam aziz+msekwa+masha+ngeleja+ridhiwani=vodacom
jk+rostam+ngeleja+masele=migodi ya madini and barick gold mines

kikwete atashtakiwa tu akishaacha urais. Nashindwa kujua kwanini anatembelea sana barick. Tutajua mengiiiiiiiiiiiii akishastaafu.
 
Back
Top Bottom