Kwa uteuzi wa Masele, Hakika sasa nimeamini Familia ya Kikwete ina Hisa kwenye Madini

jamani tuache kulalamika tusubiri 2015 tukiondoe hiki chama madarakani tuweke chama makini na chenye watu makini,tuelimishe watu na nijuavyo kila mtanzania mmoja anawategemezi wengi tu,tuanza nao kuwapa elimu ili ikifika 2015 tumondoee huyu mdudu,malalamiko haya saidii
 
Tanzania ni zaidi uijuavyo jamani.

Jamani,jamani mbona naona mnaumiza sana vichwa vyenu kwa vitu vyenye majibu
marahisi kabisa!
SIKU ZOTE PUTO HUJAZA HEWA INAYOHIMILIKA ZAIDI HUPASUKA,hata baba R1 ukiona
ameteuwa wasio waadilifu basi ujue naye ni.........
 
Tunaomba wanajamii mlio wazalendo tusaidiane kulikomboa jimbo la Isimani
lirudi mikononi mwa magwanda magama yameshindwa kwani yupo kijana msomi mzuri mwenye
uchungu na nchi kutoka cdm.
 
Suala hapa siyo competence ye mtu bali ni taratibu zetu. kwa desturi uteuzi wa mawaziri unazingatia kubalance pia mikoa. Kama asingemteua Maselle unadhani kuyoka Shinyanga angemteua nani?
Nyamafu? unataka kuniambia kila mikoa ina mawaziri? shinyanga kuna vichwa vingapi?
 
Huyu Hawa ana hisa gani ndani ya nchi yetu?kati ya watu walio shindwa mazima yeye yumo,
kashindwa wizara ndogo kama utumishi,ataweza Tamisemi yenye mikikimikiki mie sijui labda baba R1
atavunja tena baraza lake maana huyu lazima achemke tu.
 
Sio Masele peeyake angalia watu aliowaweka ktk bodi ya madini kamueka na yule swahiba wake richard kasesela
 
Napatwa na hasira jamani!!!! chuki dhidi ya ccm!!!

Kama ulitegemea kuwa baraza la mawaziri lingekuwa bora kuliko hilo lililopita lazima utakuwa mgonjwa kwani huwezi kuwa na kikapu cha samaki waliooza na ukategemea kutoa samaki ambae hakuoza kutoka kapu lile lile!!
 
Hakuna jema atakalotufanyia JK

Kielelezo cha uadilifu moja wapo ni uteuzi wa waandamizi wasiokuwa na kashfa yoyote. Kuteua wote wliopoka ubunge ni ukosefu wa uadilifu, na inamhusisha mwenyewe kama mshirki.

Kifo cha marehemu Shilabi (rip) je haina mikono ya hawa wachafu? Chunguzeni kwa kuunganisha nukta
 
sasa nimeamini kuna uhusiano mkubwa wa kuuza vocha na kuwa waziri wa nishati na madini, hata ngeleja si alikuwa muuza vocha wa vodacom!!! kumbe na masele alikuwa wa tigo!!
 
sasa nimeamini kuna uhusiano mkubwa wa kuuza vocha na kuwa waziri wa nishati na madini, hata ngeleja si alikuwa muuza vocha wa vodacom!!! kumbe na masele alikuwa wa tigo!!
kwi kwi kwi . . .
 
huo sio ujanja ndugu ni ujinga!! tuwe na uzalendo tusisifie maovu. Ujanja ungekuwa kumweka mtu atayewafanya watz waone faida ya raslimali zao. change you way of think mkuu, taifa linakutegemea
 
sasa nimeamini kuna uhusiano mkubwa wa kuuza vocha na kuwa waziri wa nishati na madini, hata ngeleja si alikuwa muuza vocha wa vodacom!!! kumbe na masele alikuwa wa tigo!!

.
Hii tigo ndio kampuni ambayo serikali ilikuwa na hisa humo ikaziuza zote kinyemela kwa ajili ya pesa za campaign na kuifanya Tigo kuwa kampuni pekee inayomilikiwa na wageni kwa 100% kinyume na sheria za nchi. Hapa nni jitihada za JK kutaka kujificha kwa kujifunika na kiganja cha mkono wake mwenyewe.
.
 
Sio vizuri kutumia hisia katika mambo kama haya, hebu tumpe nafasi Maselle na hiyo timu mpya nzima tuwapime kwa vigezo vya utendaji kazi wao, wakiboronga ni wembe ule ule uliowanyoa kina Ngeleja, Mkullo na wengine hautamuacha Maselle, Wabunge wetu vijana hawataki upuuzi tena kama yeye Maselle anafikiri hii nchi ni mali ya Ritz1; basi na aende akaboronge aone kitakachomsibu; it is no longer business as usual. This is Tanzania in the 21st century.
 
WADAU,
Inasemekana hivi karibuni Mhe. Masele aliitisha mkutano ili aweze kuongea na wapiga kura wake lakini wananchi wachache sana walihudhuria na kusababisha mkutano kuahirishwa.

Tetesi nyingi sana kwenye hii habari.

Nimeamua kutoiamini kabisa.
 
huyu atakuwa kama muigizaji cha pombe wajina wake, atalewa gold zetu na kututapikia mashimo, magonjwa ya ngozi na uaribifu wa mazingira.
 
Naomab niluze hivi kazi ya Prof. Mwandosya itakuwa ni ipi katika baraza kiraka hili? sielewi mantiki ya kuwa na waziri asiye na wizara!
 
Naomab niluze hivi kazi ya Prof. Mwandosya itakuwa ni ipi katika baraza kiraka hili? sielewi mantiki ya kuwa na waziri asiye na wizara!

Afya yake hairuhusu ndio maana katolewa kule.

Amewekwa hapo ili asitingwe sana na majukumu.
 
mambo ya ngonswe bwana, na yule prof. Ni ndugu yake? Hivi mnasoma hizo publication zake lakini? Kazi ya naibu ni kumshauri waziri na sio kulinda maslahi ya mtoto wa rais. Muhimu ni kufuatilia ngumbaru anawezaje kumshauri prof.

hivi naibu c kateuliwa na mkuu wa kaya? Kweri anawezaje kuwajibika kwa m2 km waziri ambaye hawjibiki kwake? All in all mfumo unatumaliza
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom