jamani tuache kulalamika tusubiri 2015 tukiondoe hiki chama madarakani tuweke chama makini na chenye watu makini,tuelimishe watu na nijuavyo kila mtanzania mmoja anawategemezi wengi tu,tuanza nao kuwapa elimu ili ikifika 2015 tumondoee huyu mdudu,malalamiko haya saidii