Kwa ufaulu huu wa Form Four kozi ipi yapasa nisomee na ajira zake bado zina patikana?

Sep 7, 2023
11
1
Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
 
Mimi ni mwanafunzi nilie maliza form 4 nina matokeo haya history-C english-C literature-C kiswahili-C Geography-D Civics-D na la ziada ni islamic-D je nashauriwa kozi ipi ni nzuri Na rahisi kuajiliwa naomba msaada pls
 
Mm ni mwanafunz nilie maliz form four mwaka juz natak kujua kutokana na ufaulu wangu huu kozi ipi nisomee yenye unafuu wa ajira kupatikan
History-C
Literature-C
English-C
Kiswahili-C
Civics-D
Geography-D. Pamoja na ziada ya
Islamic religion-D
Naomba majibu ndugu zangu nipate kujua kozi ipii itanisaidia kutokana na kuwep kwa nafas za ajira
 
Hapo rafiki kuchukua dip ya procurements,
 
Nenda advance ukaendelee kukua
Hahahhaah asant sema nili reseat mtihan mwaka mmoja hivo sija bahatika kupangiwa shule ya serikal kuendelea je unaweZ nshaur njia ipi inawez nsaidia sasa kurud katka mfumo wa shule za serikal ili kumudu gharama mana gharam za privat zip juu ndy inanifanya niulze vyuo ili wajiminye pesa ila nikiwa chuo na sio advanc afu tena waminyike na chuo badae mana hali za wazee ni duni
 
Ufaulu wako una C na D nyingi, ni dhahiri haujafaulu vizuri, hivyo labda ujiunge kwenye jeshi la polisi au kama vipi urudie mtihani kama inaruhusiwa.
 
Mm ni mwanafunz nilie maliz form four mwaka juz natak kujua kutokana na ufaulu wangu huu kozi ipi nisomee yenye unafuu wa ajira kupatikan
History-C
Literature-C
English-C
Kiswahili-C
Civics-D
Geography-D. Pamoja na ziada ya
Islamic religion-D
Naomba majibu ndugu zangu nipate kujua kozi ipii itanisaidia kutokana na kuwep kwa nafas za ajira
Tafuta Chuo cha Hombolo Dodoma afu angalia course wanazo offer.
 
Bachelor of science in witchcraft and sorcey hapo funga kazi mkuu.
 
Kasome fani yoyote veta kijana, utanishukuru badae,

Unge kuwa ume soma sanyans ingekua sawa lakin kwenye masomo ya Sanaa vikwazo ni vingi hakuna course yenye ajira moja kwa moja

Ila ukisoma veta miaka yako miwil fani utaweza kwanza kupiga mishe wakati unasotea ajira
 
Back
Top Bottom