BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...
Ushamba wako uko wapi yani hupendelei au? night dress inaweza kuwa na manjonjo kweli kweli!..
Actually ni kati ya vazi ninalolipenda maalum kwa usiku kupumzika..zipo mbalimbali kwa rangi, muundo, display n.k. zinavutia sana!!