Kuvaa night dress kwa wanandoa/wapenzi...

Wakati mwingine baridi. Kuna night dress zenye mvuto mpenzi akikuona tu anapagawa, hafu inapendeza unapovuliwa nguo na mpenzi wako.
 
aaargh! wewe wa wapi?, night dress linapandisha mzuka bana! akikujia peku peku na midubwana inaning'inia kifuani utazani viloba vya kolosho si unaweza ukatokea dirishani kwa uwoga. halaf pia unapata ka bonus ka kumvua ambako pia kuna ka utamu wake. hivi tuko jukwaa la MMU au la wakubwa?

LOL.. umenena.
 
kule unyago tulifundishwa kuwa mwanamke ukiolewa shuti ulale bila night dress au chupi, It means ulale kama ulvozaliwa. wanasema hakuna haja ya mwanaume kuanza kudadavua hko ki night dress chako au chupi yako. Sasa kwa mawazo ya leo kutoka kwa wadau nakuwa njia panda kidogo kwamba nifwate lipi au niache lipi. In short niko njia panda.
 
Wewe fuata jinsi ulivyofundishwa na unavyolala/utakavyokuwa na partner wako
 
Naogopa kumuharibia kloro timing zake ndio msichana wake wa kwanza

Dah hebu fanyeni fasta maana kloro anaweza kumpiga kabali dereva wangu akaondoka na gari

Wa kwanza?Alikua anafanya nini enzi za chakachaka mpaka leo hii mzee mzima anaazima nike ili akubaliwe?

Anajua hata kufungua mlango kweli?

Enzi zile alikuwa ni mesenja wa wengine alikuwa anapelekea barua wengine halafu alikuwa muoga kweli
hehehe hivi mnajua kwamba mimi ni mtakatifu?, mkiona kesho mnataka kuingia JF lakini log in inakataa mtalazimika kwenda kuungama zambi zenu.
 
Back
Top Bottom