Kuvaa night dress kwa wanandoa/wapenzi...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...
 
Kulala na nguo ni ushamba
(Jinsi, mashati, sijui sketi)

Lakinia
kwa upande wa wanawake
Tuna night dress ambozo ukivaa
ni kivutio kwa mwanaume..
..
Mimi naona
kulala na nguo za usiku
ni chaguo la mtu ..
usema ukweli saa nyingine is not
About impressing someone but feel comfortable..
 
Ok...
wacha nikamshauri mamsapu...
 
Night dress, kujipamba na kujipodoa chumbani ni matayarisho na vichocheo kwenye mkao wa kula.
Kuna aina ya mvuto, uchawi, kukosa subira, haraka na hamu wakati unamvua nguo moja baada ya nyengine kulikoni kuingia uwanjani bila jezi.
 
We nawe bwana....nguo za usiku no moja wapo ya vivutio.Tatizo ni pale mtu anapolala na nguo ambayo hata kumgusa kiuno huwezi!
 
aaaaahhhhhhhh mie changu kipande cha khanga moja ya mchina tu!!! kwishiney

mchana nibanwe na usiku pia loh!!
 
aaaaahhhhhhhh mie changu kipande cha khanga moja ya mchina tu!!! kwishiney

mchana nibanwe na usiku pia loh!!

Huo nao ni urembo mwingine bibie.Alafu unakua huru kweli...ukiachilia kutoka bomba kama umejibeba!!Lolzz
 
sio kila nyt dress ina mvuto nyingine huwa mm naona kerooo tu,nyie mshakuwa mwili mmoja sasa hayo manguo ya nn?au unavaa kwa mda then wakat wa chakula mnavuana?sijaona mantik hata,(kwa wanandoa lakini)...
 
Hivi wanaume nao wavae ili wavutie, au wanawake tu?
 
aaargh! wewe wa wapi?, night dress linapandisha mzuka bana! akikujia peku peku na midubwana inaning'inia kifuani utazani viloba vya kolosho si unaweza ukatokea dirishani kwa uwoga. halaf pia unapata ka bonus ka kumvua ambako pia kuna ka utamu wake. hivi tuko jukwaa la MMU au la wakubwa?
 
Jamani mbona tunashushiana self-esteem arifu?????
 
hehehe AD bana, skuulizi bana! najua ka night dress kako umekapeleka laundry leo.

Hahahahahahahah lol
kuna topic kama hii tuli
Kutananayo nadhani december2010
we na Uporoto na Hashaycool
hayo maswali mmmhhh balaa

Ndo maana
nimeweka ngao
Mbele trip hii
hahahahahahahah lol
 
Jamani mbona tunashushiana self-esteem arifu?????
acha tubalance basi, na wanaume inabidi wavae mapajama sio wanawakabili wenza wao na midubwana inaning'inia kama mezani ilokufa spiringi. usiku lazima ukuwe romantik bana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom