Ukipata mnayependana mshikilie, usimwache aende. Utakuja kujuta kama wanandoa wengi wanavyojuta kwa sasa

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,233
22,316
Ukipata mnayependana mshikilie, usimwache aende. Utakuja kujuta kama wanandoa wengi wanavyojuta kwa sasa. Kukuta wote mnapendana inatokea mara chache sana maishani. Wengi wetu tuna wapenzi wenye wapenzi wa mioyoni mwao.

Wakuu leo nimeona tujikumbushe jambo muhimu kwenye haya maisha. MAPENZI. Nimeandika baada ya kushuhudia majanga mbalimbali yaliyosababishwa na mapenzi kwa 2022. Kama nilivyotangulia kusema ni kwamba mara nyingi inatokea mara moja tu maishani kukutana na yule mpenzi mnayependana kutoka moyoni kabisa. Unapoipata hiyo nafasi usiichezee. Mungu alivyo mwema huwa anafanikisha sana hili kutokea.

Bahati mbaya inapotokea hii nafasi wengi wetu tunaichezea. Kwa sisi wanaume utakuta tunawaacha wapenzi wa mioyoni mwetu na kwenda kufuata misambwanda, sura au jambo lingine tu lisilo la ulazima. Tukija kushtuka kwamba tumebugi huwa tayari tumechelewa na kuishia maumivu. Wanawake nao huwaacha wanaume wao wa mioyoni na kukimbilia pesa, umaarufu au ngono. Na wao pia wakishtuka tayari mara nyingi wanakuwa wamechelewa.

Matokeo ya haya matendo ni watu wasio na chemistry kuoana na kuishia kutuletea majanga kwa kushindwa kuvumiliana. Upendo wa kweli huvumilia. Sasa kama hakuna upendo je?... Ndoa ni ngumu. Imagine umelala na mtu kitanda kimoja huku mmejifunika blanket moja mara mwenzako kaachia ushuzi unanuka hatari... wakati unajiuliza imekuwaje ndo unakumbuka unatakiwa ulale na huyo mtu kwa maisha yako yote yaliyobakia...!!!

Ukipata mtu unayeona mmependana usisite kumng'ang'ania. Wakati mwingine inatokea mara nyingi kwa watoto wa matajiri kwamba anakuwa na mtu sio kwamba wamependana bali ni yale mazoea tu. Lakini siku moja mtoto wa kishua ndo inaweza kutokea akakutana na mpenzi wa kweli wa maisha yake basi mimi nashauri asisite kusitisha mahusiano yake yaliyopo na kuambatana na ampendaye.
 
Chochote unachoandika haki reflect ukweli. Ondoa kwanza hilo picha hapo juu. Hiyo picha inasema hamna mfumuko wa bei, Michele sh 3,700/ nyama 12,000/- na hamna increment
 
Ngoja niendelee kukamatia hapahapa.
Mungu ibariki ndoa yetu, Mungu bariki upendo wetu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mama Samia wewe jinsia gani?
Unatuletea uzi mzuri alaf unajizungumzia "kwa sisi wanaume" wewe mwanaume?
 
Ukipata mnayependana mshikilie, usimwache aende. Utakuja kujuta kama wanandoa wengi wanavyojuta kwa sasa. Kukuta wote mnapendana inatokea mara chache sana maishani. Wengi wetu tuna wapenzi wenye wapenzi wa mioyoni mwao.

Wakuu leo nimeona tujikumbushe jambo muhimu kwenye haya maisha. MAPENZI. Nimeandika baada ya kushuhudia majanga mbalimbali yaliyosababishwa na mapenzi kwa 2022. Kama nilivyotangulia kusema ni kwamba mara nyingi inatokea mara moja tu maishani kukutana na yule mpenzi mnayependana kutoka moyoni kabisa. Unapoipata hiyo nafasi usiichezee. Mungu alivyo mwema huwa anafanikisha sana hili kutokea.

Bahati mbaya inapotokea hii nafasi wengi wetu tunaichezea. Kwa sisi wanaume utakuta tunawaacha wapenzi wa mioyoni mwetu na kwenda kufuata misambwanda, sura au jambo lingine tu lisilo la ulazima. Tukija kushtuka kwamba tumebugi huwa tayari tumechelewa na kuishia maumivu. Wanawake nao huwaacha wanaume wao wa mioyoni na kukimbilia pesa, umaarufu au ngono. Na wao pia wakishtuka tayari mara nyingi wanakuwa wamechelewa.

Matokeo ya haya matendo ni watu wasio na chemistry kuoana na kuishia kutuletea majanga kwa kushindwa kuvumiliana. Upendo wa kweli huvumilia. Sasa kama hakuna upendo je?... Ndoa ni ngumu. Imagine umelala na mtu kitanda kimoja huku mmejifunika blanket moja mara mwenzako kaachia ushuzi unanuka hatari... wakati unajiuliza imekuwaje ndo unakumbuka unatakiwa ulale na huyo mtu kwa maisha yako yote yaliyobakia...!!!

Ukipata mtu unayeona mmependana usisite kumng'ang'ania. Wakati mwingine inatokea mara nyingi kwa watoto wa matajiri kwamba anakuwa na mtu sio kwamba wamependana bali ni yale mazoea tu. Lakini siku moja mtoto wa kishua ndo inaweza kutokea akakutana na mpenzi wa kweli wa maisha yake basi mimi nashauri asisite kusitisha mahusiano yake yaliyopo na kuambatana na ampendaye.
Daah nilimwachaga sania Mohamed mpak Leo najutaaaaaaa, yule mshiraz alikuwa ananipenda aisee
 
Kumbe wewe ni Mwanaume?
 
Back
Top Bottom